Rais wa zamani Afrika Kusini asema hamuungi mkono Jacob Zuma

Motlanthe ameiambia BBC kuwa, kura yake kwa ANC haifai kuchukuliwa kama 'iliyotiwa kwenye kapu' itapotimia uchaguzi mwaka wa 2019.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

7 months ago

CCM Blog

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALAKIWA NA RAIS DK. MAGUFULI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa mawili (Tanzania & Afrika Kusini)  zikipigwa katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

2 years ago

Channelten

Wabunge nchini Afrika kusini watawasilisha hoja ya kumshitaki rais Jacob Zuma

 

zuma3

Wabunge nchini Afrika kusini watawasilisha hoja ya kumshitaki rais Jacob Zuma baadaye leo ikiwa ni baada ya mahakama kuu ya nchi hiyo kutoa hukumu kwamba rais huyo alikiuka katiba kwa kutumia mamilioni ya dola fedha za umma kukarabati nyumba yake ya binafsi.

Chama kikuu cha upinzani, The Democratic Alliance, kilitoa wito wa Zuma ashitakiwe baada ya mahakama ya katiba kutoa hukumu wiki iliyopita.

Lakini Zuma huenda akanusurika na changamoto hiyo, wakati bunge la nchi hiyo litahitaji wingi...

 

1 year ago

MillardAyo

Maamuzi ya Bunge la Afrika Kusini juu ya Rais Jacob Zuma kutakiwa kujiuzulu

South African President Jacob Zuma delivers his State of the Nation address at Parliament in Cape Town February 9, 2012. Zuma on Thursday promised to keep the country's powerful mining sector "globally competitive", the latest comment from a senior government official to knock down the prospects of nationalising the mines.  REUTERS/Mike Hutchings (SOUTH AFRICA - Tags: POLITICS ENERGY BUSINESS INDUSTRIAL)

November 10 2016 wabunge wa Bunge la Afrika Kusini wamefuta kabisa pendekezo la kupiga kura ya kutokua na imani dhidi ya Rais wa Afrika Kusini wa nchi hiyo Jacob Zuma pamoja na kuwepo madai ya hivi karibuni kuhusu ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kwa kiongozi huyo. Kwa mujibu wa Radio France International, Uchunguzi uliofanywa na tume […]

The post Maamuzi ya Bunge la Afrika Kusini juu ya Rais Jacob Zuma kutakiwa kujiuzulu appeared first on millardayo.com.

 

7 months ago

Michuzi

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku tatu nchini Tanzania


Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Afrika Kusini nchini
1. UTANGULIZI
(i) Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Gedleyihlekisa Zuma anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini, kuanzia tarehe 10 hadi12 Mei 2017, kwa mwaliko wa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
(ii) Ziara hii inafanyika baada ya Mheshimiwa Rais Magufuli na Mheshimiwa Rais Zuma kukutana mjini Addis Ababa, Ethiopia wakati wa Mkutano wa 28...

 

7 months ago

CCM Blog

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA KUWASILI NCHINI LEO NA UJUMBE WA WATU 120

DAR ES SALAAM
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anawasili hapa nchini Tanzania na ujumbe wa watu 120, leo saa tatu usiku, kufanya ziara ya siku mbili ya kikazi hapa Nchini.

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa mkoa wa dar es Salaam, Paul Makonda imesema, Rais Zuma atapokewa Raismi na Mwenyeji wake Rais Dk. John Magufuli, kesho Alhamisi saa tatu asubuhi, Ikulu jijini Dar es Salaam.

"Amani, Upendo, Umoja, Mshikamano, Bidii na Juhudi za Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli vyote kwa pamoja vimekuwa nguzo...

 

7 months ago

Michuzi

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI,JACOB ZUMA LEO JIJINI DAR

  Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma pamoja na mwenyeji wake Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu na wananchi waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa sambamba na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma mapema leomara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es salaam mei 11,2017. Rais Dkt Magufuli akimsikiliza Makamua wa Rais,Samia Suluhu...

 

4 years ago

Michuzi

wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo

Umati wa watu wa Afrika Kusini na wengine kutoka nchi mbali mbali,ukiwa nje ya Majengo ya Umoja yaliopo kwenye Mji wa Pritoria nchini humo,tayari kwa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini,Mh. Jacob Zuma inayoendelea kufanyika hivi sasa.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani