Rais wa Zanzibar afanya Uteuzi wa Viongozi wawili

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi katika Taasisi zifuatazo:-

1. Kwa mujibu wa Uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 8(1) cha Sheria ya Uanzishwaji wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Namba 11 ya mwaka 2003, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua BALOZI MOHAMED RAMIA ABDIWAWA kuwa MWENYEKITI WA BODI YA UTUMISHI YA OFISI YA MDHIBITI NA...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Uteuzi: Rais wa Zanzibar afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-

1. MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 94(2) cha Katibaya Zanzibar ya 1984,Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa
Dkt. Ali Mohamed Shein amewateua Bwana Khamis Ramadhan Abdalla na Bibi Aziza Iddi Suweid kuwa Majaji wa Mahakama Kuu...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Rais wa Zanzibar afanya uteuzi wa viongozi 18 leo

Kufuatia mabadiliko ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika hivi karibuni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi na kuwabadilsha wadhifa baadhi ya watendaji wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:
1. OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS
Bwana Shaaban Seif Mohamed ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.

2. WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar afanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi imeeleza kuwa.
1. BODI YA MAPATO (ZRB)Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 14 cha sheria ya Bodi ya Mapato  ya 1996, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Shein afanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .


IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

———————————

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd. Bakari Khamis Muhidin ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi.

Mkurugenzi wa Idara ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi mabalozi wawili

The post Rais Magufuli afanya uteuzi mabalozi wawili appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wabunge wawili na Balozi mmoja

Ikulu, Dar es Salaam: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Januari, 2017 amefanya uteuzi wa Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Balozi mmoja.

Wabunge walioteuliwa ni Alhaji Abdallah Majula Bulembo na Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Wabunge wateule hawa wataapishwa kwa taratibu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Benedicto Martin Mashiba kuwa Balozi.

Kituo cha...

 

3 years ago

Dewji Blog

Dkt.Shein afanya uteuzi wa viongozi wa taasisi mbalimbali za Serikali ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd. Bakari Khamis Muhidin ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi.

Mkurugenzi wa Idara ya Mipango ya Raslimaliwatu ni ndugu Khamis Haji Juma na...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais inayohusika na ufuatiliaji Miradi ya Matokeo Makubwa Sasa (PDB).  Aidha Bwana Mafuru pia alikuwa Kaimu Mtendaji...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani