RAIS WA ZANZIBAR DK,SHEIN ATUNUKU NISHANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bwana Aboud Talib Aboud katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na waliotunukiwa nishani mbalimbali katika hafla ya kutunuku nishani ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA WATU 74


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74.

Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa vyama na serikali pamoja na wananchi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa kutokana na uwezo wake aliopewa chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya Mambo ya Rais namba 5 ya mwaka...

 

5 years ago

Dewji Blog

Rais atunuku Nishani za miaka 50 ya JWTZ

PG4A4612

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania  JWTZ, Mkuu wa majeshi  ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange  katika sherehe  za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa   Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa  wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.(Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4799

Rais Jakaya Kikwete  akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani ...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR

 Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Pius Chipanda Msekwa baada ya kumtunuku Nishani. Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili Samuel John Sitta. 
 Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Ushupavu Kassim Said Kassim ambaye ni muuza Chips katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kassim alitunukiwa Nishani hiyo baada ya kupambana na jambazi aliyevamina na kupora wateja katika eneo la biashara yake na kumpiga chepe na kusababisha...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI MAOFISA 30 WA MAJESHI

 Baadhi ya Maafisa Waandamizi, Wakaguzi, Wakaguzi Wasaidizi, Stesheni Sajini, Sajini na Koplo wa Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama wakifuatilia masuala mbalimbali wakati hafla ya utoaji wa nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, nishati ya utumishi wa muda mrefu na nishani ya utumishi wa muda mrefu na tabia iliyofanyika jana (Jumanne Septemba 1, 2015) Ikulu Jijini Dar es Salaam. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na...

 

5 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha. Amiri Jeshi Mkuu Rais...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50. Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya...

 

4 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametunuku Nishani kwa watumishi wa vyombo vya ulinzi na Usalama nchini katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.Pichani Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watumishi waliotunukiwa nishani za madaraja mbalimbali..Viongozi wengine katika picha waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais Wa Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein(watano kushoto), Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(picha na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani