RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEINA ZUNGUMZA NA VYAMA VYA UPINZANI LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na viongozi wa Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magalie John P.Shibuda alipokuwa akitoa mchango wake katika Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

CHADEMA Blog

Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania.

Taarifa kwa Wanahabari Juu ya AZIMIO LA ZANZIBAR Tamko la Vyama vya Siasa vya Upinzani Vilivyokutana Zanzibar tarehe 16 -18 Desemba, 2018 KUTAFAKARI Khatima ya Demokrasia Nchini Tanzania. SISI, Viongozi na Wanachama waandamizi wa Vyama vyetu sita vilivyosaini tamko hili, tumekutana hapa Zanzibar Disemba 16 – 18 kufanya tafakuri na kujadili juu ya dira yetu kama Taifa. Mkutano huu maalum wa

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Dkt. Shein amevitaka vyombo vya habari kutoa matukio na maendeleo ya Serikali ili jamii iendelee kujenga imani na Serikali yao

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amevitaka vyombo vya habari vya Serikali kufuatilia kwa karibu matukio na maendeleo ya Serikali kwa kujua vipaumbele vyake na kuwa vya mwanzo kutoa taarifa muhimu na zilizo sahihi ili jamii iendelee kujenga imani na Serikali yao.

Dk. Shein ameyasema hayo leo huko katika ukumbi wa Baraza la Zamani la Wawakilishi wakati akifungua Semina ya siku moja ya Viongozi, Watendaji Wakuu wa SMZ, Waandishi wa Habari, Wapiga...

 

3 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli, vyama vya upinzani ‘wanapigana vita’ wasivyoshinda

Mwanzoni mwa miaka ya tisini, msanifu maarufu wa katuni ambaye ni raia wa Marekani, Bill Watterson alichora, katika mfululizo wa kazi zake za Calvin & Hobbes, mchoro wenye nukuu ya mtoto akimuuliza baba yake: “Baba kwa nini wanajeshi wanauana ili kumaliza matatizo ya dunia?”

 

2 years ago

Michuzi

RAIS HAJATANGAZA KUFUTWA KWA VYAMA VYA UPINZANI- MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais, Dkt. John Magufuli hajawahi kutangaza ama kutoa kauli ya kufutwa kwa vyama vya siasa nchini.
Ametoa kauli hiyo leo (Februari, 2, 2017) Bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mheshimiwa Freeman Mbowe  katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu.
Katika swali lake Mheshimiwa Mbowe alisema Rais Dkt.  Magufuli alinukuliwa akisema atahakikisha anafuta vyama vyama vya upinzani na ifikapo mwaka 2020...

 

4 years ago

Habarileo

Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen WasiraWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Majaliwa: Rais hajawahi kutangaza kufutwa kwa vyama vya upinzani

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt John Magufuli hajawahi kutangaza au kutoa kauli ya kufutwa kwa vyama vya siasa nchini.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo Alhamisi hii, Mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Hai, Freeman Mbowe. Swali lake lilikuwa linasema kuwa, Rais Magufuli alinukuliwa akisema kuwa ifikapo mwaka 2020 vyama pinzani vitakuwa havipo.

Sambamba na kujiamini kusema kama akileta ushahidi huo, Mbowe alimtaka waziri mkuu kujiuzulu, ndipo Naibu Spika wa...

 

2 years ago

Bongo5

Rais hajawahi kutangaza kufutwa kwa vyama vya upinzani- Waziri Mkuu

Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt John Magufuli hajawahi kutangaza au kutoa kauli ya kufutwa kwa vyama vya siasa nchini.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo Alhamisi hii, Mjini Dodoma, alipokuwa akijibu swali la mbunge wa Hai, Freeman Mbowe. Swali lake lilikuwa linasema kuwa, Rais Magufuli alinukuliwa akisema kuwa ifikapo mwaka 2020 vyama pinzani vitakuwa havipo. Sambamba na kujiamini kusema kama akileta ushahidi huo, Mbowe alimtaka waziri mkuu kujiuzulu, ndipo Naibu Spika wa...

 

3 weeks ago

Malunde

Rais Magufuli Akataa Ombi la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vyama vya Upinzani

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Albert Chalamila amesema,haoni sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini badala yake kuwe na chama kimoja tu kitakachoitwa 'Magufuli Ruling Party'. 
Chalamila ameyasema hayo leo Jumanne, Aprili 30, 2019, wakati akitoa salamu za mkoa wake kwa Rais Magufuli kwenye mkutano wake na wananchi wa Wilaya ya Kyela.
“Mheshimiwa Rais umefanya mengi sana mema kwa nchi yetu, umetoa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo, hapa Kyela umetupatia vitambulisho 10,000, wananchi 8,850...

 

2 years ago

Malunde

KIKWETE AVITAKA VYAMA TAWALA BARANI AFRIKA VITAMBUE KUWA VYAMA VYA UPINZANI SIYO MAADUI WA SERIKALI

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amevitaka vyama tawala barani Afrika kutovichukulia vyama vya upinzani kama maadui wa serikali badala yake vionekane kama moja ya nguzo muhimu katika kutimiza utawala wa sheria.

Aidha, Rais Kikwete amewataka wabunge wa vyama tawala pamoja na viongozi wengine, kuvikosoa vyama vyao pale vinapokwenda mrama badala ya kuwa waoga na kuunga mkono mambo yote.

Rais Kikwete ambaye ni maarufu Tanzania kwa jina la...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani