Raisi wa mchezo wa Kick Boxing Zanzibar ameitaka S M Z kuunga mkono mchezo huo

Raisi wa mchezo wa Kick Boxing Zanzibar ambaye amewahi kuwa Bingwa wa Mashindano mbali mbali Ashraf Suleiman ameitaka serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunga mkono mchezo huo ambao utaitangaza Zanzibar kimataifa.

Akizugumza na Zanzibar24 nyumabani kwake Mpendae  Ashraf amesema yeye binafsi ameteuliwa na Shirikisho la mchezo Kick Boxing duniani ( WKNY) kuwa Raisi wa Chama cha mchezo huo kwa upande wa Zanzibar ambao inapeperusha bendera kama Zanzibar.

Aidha Ashraf amefunguka na kusema kuwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo

 

golf

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo ‘Maprofessionals’ nchini ili waweze kufikia viwango vya kimataifa.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa chama hicho Joseph Tango wakati wa mahojiano na channel ten mara baada ya kukamilika kwa kliniki maalum ya mchezo wa gofu kwa vijana iliyokuwa ikiendeshwa nchi nzima na mtaalam wa mchezo huo kutoka makao makuu ya chama cha gofu ulimwenguni Norman Mashaba ambaye ni Raia...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO

 Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo Bw. Makoye Nkenyenge (kulia) akiwatambulisha viongozi wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) walipomtemtembelea kumkabidhi hati ya kutambuliwa na Shirikisho la dunia la mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akipokea hati ya utambulisho wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Huo mzuka wa Bilionea wa Taifa Jang'ombe si mchezo

HAPA visiwani Zanzibar mabilionea Yusuf Manji na Mohammed Dewji ‘MO’ sio habari hata kidogo. Watu wa hapa wanapenda vya kwao na mtu maarufu zaidi katika soka la hapa ni Mbunge wa Mpendae, Salim Turuk ‘Mr White’.

 

5 years ago

GPL

WADAU KIKAPU DAR WAOMBA SAPOTI KUFUFUA MCHEZO HUO

Wadau mbalimbali wa mchezo wa basketball.
Wanahabari toka vyombo mbalimbali wakiwa katika…

 

3 years ago

Dewji Blog

Man United yaifunga Arsenal 3 – 2, magoli ya mchezo huo yapo hapa

Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea kwa michezo miwili iliyopigwa jioni ya leo Jumapili.

Mchezo uliovuta mashabiki wengi wa soka ni Manchester United iliyowakaribisha Arsenal na mchezo huo kumalizika kwa wenyeji Man United kuibuka na ushindi wa goli tatu kwa mbili.

Magoli ya Man United yalifungwa na mchezaji chipukizi, Marcus Rashford katika dakika ya 29 na 32 na baada ya magoli hayo Danny Welbeck aliifungia Arsenal goli moja katika dakika ya 40 na kwenda pumziko wakiwa mbili kwa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Waamuzi wa mpira wa miguu wajipanga kuzitendea haki sheria 17 za mchezo huo

Kamati ya Waamuzi Visiwani Zanzibar kupitia Mwenyekiti wao Issa Ahmada Hijja “Jogoo” amesema wamejipanga vyema kusimamia sheria 17 za soka hasa katika mzunguko huu wa mwisho ambao unatarajiwa kuanza rasmi kesho kutwa Jumatano.

Amesema wamejipanga vyema kulinda heshma yao na kila timu ipate haki yake lakini pia ameviomba vilabu kuyakubali matokeo na si kuwatupia lawama wao.

“Tumejipanga vyema na sina wasi wasi wowote na vijana wangu, kwenye Mashindano ya Mapinduzi walichezesha vizuri na...

 

2 years ago

Global Publishers

Samatta si wa Mchezo Mchezo, Aibeba Stars, Atupiamo Dakika 3 za Mwanzo na 3 za Mwisho

MSHAMBULIAJI wa anayeiwakilisha Tanzania Kimataifa kutoka Klabu inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji na Europa League, KRC Genk, Mbwana Ally Samatta ameibeba Taifa Stars baada ya kuongoza jahazi na kufanikiwa kutupia bao mbili za kwake wakati Taifa Stars ikiichapa Botswana bao 2-0.

Katika mchezo huo wa kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Samatta alitupia bao hizo kunako dakika ya 3 na ya 87 ya mchezo huo huku akionesha kiwango bora cha...

 

1 year ago

Malunde

Video ya asili : EMMASON - NIELEZE MARIA ...WANENGUAJI SIYO WA MCHEZO MCHEZO...BALAA

Ninayo ngoma nyingine ya asili kutoka kwa Emmason,wimbo unaitwa Nieleze Maria...Hii video balaa,wanenguaji hawa siyo wa mchezo mchezo.
Tazama hapa chini

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Harmorapa si wa mchezo mchezo, aonyesha mahela mtandaoni

Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni.

Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii zimesambaa picha mtandaoni akionyesha kinachompatia jeuri.

Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa rapa huyo yupo chini ya wafanyabiashara wakubwa jiji Dar es salaam.

Rapper huyo hivi karibuni aliachia wimbo mpya ‘Usigawe...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani