Rasmi Ronaldinho arejea Barcelona kwa mara nyingine

Baada ya miaka nane tangu aondoke Barcelona, staa wa zamani wa klabu hiyo, Ronaldinho amerudi katika klabu hiyo huku akikabidhiwa jukumu lingine tofauti na kucheza soka.

Ronaldinho ambaye aliichezea Barcelona msimu wa 2003-2008 na kufunga magoli 91, kutoa pasi za magoli 52 katika michezo 198 kwa sasa atakuwa balozi wa dunia wa Barcelona.

Taarifa zinaeleza kuwa sababu ya Barcelona kumtumia Ronaldinho kuwa balozi ni kutokana na umaarufu alionao maeneo mbalimbali na lengo lao ni kukuza jina la...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: July 20 2003 Ronaldinho alijiunga na Barcelona, jikumbushe goli lake la kwanza

ronaldinho-barcelona

Najua watu wangu wa nguvu mnaopenda soka la Ulaya na mnakumbukumbu, basi najua utakuwa unakumbuka kuwa July 20 2016 mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Ronaldinho ndio siku ambayo alijiunga na FC Barcelona ya Hispania akitokea Paris Saint Germain ya Ufaransa. Ronaldinho ana rekodi nyingi katika soka na kafanikiwa kushinda kila katika maisha yake ya soka ikiwemo […]

The post VIDEO: July 20 2003 Ronaldinho alijiunga na Barcelona, jikumbushe goli lake la kwanza appeared first on...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Lissu kupasuliwa kwa mara nyingine

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), muda huu atafanyiwa upasuaji mwingine katika mguu wake wa kulia, ikiwa ni mara ya 20 tangu alipoanza kutibiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Lissu amesambaza ujumbe katika mitandao ya kijamii ulioeleza: “Napenda kuwajulisha kwamba ndani ya nusu saa ijayo ninaingia kwenye operesheni nyingine tena.” Amesema ...

 

4 years ago

Vijimambo

MKISI AIBUKA MSHINDI KWA MARA YA NYINGINE

Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge uliofanyijka jana katika kanisa la Moravian Mjini Vwawa. (Picha na Kenneth Ngelesi)Mshindi wa nafasi ya kwanza uchaguzi wa marudio kura za maoni wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya chma cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Jimbo la Vwawa Fanuel Mkisi akiwa juu ya gari huku akipunga Mikono kwa wafuasi...

 

2 years ago

RFI

Rais Kiir kwa mara nyingine ataka kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir kwa mara nyingine, ametoa wito kwa wanasiasa na makundi ya waasi nchini humo kukubali kuweka silaha chini ili kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa.

 

3 years ago

Dewji Blog

DJ Kflip aachia mixtape nyingine kwa youtube isikilize kwa mara ya kwanza hapa

dj kflip

Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)… Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide.

Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga mzigo ndani ya moja ya Hottest radio station inayo kuja kwa kasi toka pande za Rock City, amesema kuwa huo ni mwanzo wa mpango wake wa kuachia Mix Tape kila wiki kupitia Youtube na rasmi ameanza kufanya hivyo wiki hii (leo) yenye historia kwa taifa la Tanzania ambapo taifa linashuhudia...

 

5 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

3 years ago

Dewji Blog

UKAWA watinga Bungeni na nguo nyeusi, Watoka nje kwa mabango kwa mara nyingine

Toka toka nje ya Wabunge wanaounda Umoja wa Katiba (UKAWA) Wameendelea kufanya kile wanachokiamini ambapo asubuhi ya leo wametoka tena nje ya ukumbi huo huku wakiwa na mabango sambamba na kuvaa nguo nyeusi.

Katika kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma, Wabunge hao wamefanya hivyo baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge, walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

13502781_1270175223023016_1880710282252335415_o

Baadhi ya mabango yaliyokuwa yakisomeka baada ya wabunge hao...

 

4 years ago

Vijimambo

DR SHEIN KUGOMBEA KWA MARA NYINGINE URAIS VISIWANI

Zanzibar. Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar imepitisha azimio la pamoja la kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais uchaguzi unaotarajia kufanyika mwaka huu,imefahamika Visiwani humo.

Tamko hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika Kongamano lililofanyika Ukumbi wa Shule ya...

 

5 years ago

Bongo5

Davido kuja Tanzania kwa mara nyingine tena

Hitmaker wa ‘Skelewu’ Davido wa Nigeria anatarajia kuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena. Mwaka jana msanii huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam. Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani