RASTARAFI BABA T ANDAA KITABU KIPYA CHA KUWAENZI VIONGOZI MASHUHURI DUNIANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo5

Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure

Mwandishi wa vitabu, JK Rowling anatoa kitabu kipya cha Harry Potter kupitia mtandaoni na kitakuwa cha kusoma bure. Kitabu hicho kitaendelea na historia ya familia ya kichawi ya Porter katika karne ya 12. Kitapatika kwenye tovuti ya Pottermore.com. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

3 years ago

BBCSwahili

Kitabu kipya cha Papa kuchapishwa

Vatican imefichua maelezo kuhusu kitabu kipya cha papa Francis "the name of God is Mercy", kitakachochapishwa kote duniani kwa muda wa siku mbili zijazo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Kitabu kipya cha Game of Thrones kuchelewa

Mwandishi wa mwendelezo wa vitabu vinavyotumiwa katika filamu za Game of Thrones amesema kitabu kipya cha mwendelezo huo kitachelewa.

 

4 years ago

Michuzi

Kitabu Kipya cha Mhe. Hamisi Kigwangalla: "Kigwanomics and The Tanzania We Want: From Renaissance to Transformation"

Ndugu,
Ninafuraha isiyokadirika kwa hatimaye kufanikisha kazi niliyoianza takriban miaka minne iliyopita kuandika kitabu kinachoainisha mawazo yangu juu ya Tanzania tuitakayo, Tanzania ya mabadiliko, Tanzania ya mapinduzi kuelekea kupata maisha bora kwa kila mtu. Ndani yake nimejaribu kuelezea, kwa kadri nilivyojaaliwa, jukumu la kizazi chetu ni nini haswa? Misingi ya ukombozi wa kiuchumi na kijamii ni ipi haswa? Nini chanzo cha umaskini na utajiri wa nchi? Nini kifanyike ili tuvune na...

 

2 years ago

Malunde

NGORONGORO KITOVU CHA UTALII KINACHOWAVUTIA WATU MASHUHURI DUNIANI

Na Jumia Travel TanzaniaInaonekana mwaka 2017 umeanza vizuri katika sekta ya utalii nchini Tanzania kutokana na watu kadhaa mashuhuri kuzuru vivutio vyake. Sehemu ambazo zimeonekana kuwavutia watu wengi zaidi ni hifadhi ya mbuga ya Serengeti na bonde la Ngorongoro.Alianza mwigizaji maarufu wa filamu kutokea Hollywood nchini Marekani, Will Smith na mkewe Jada Pinkett-Smith. Mwanzoni mwa mwezi Machi walitua nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kujivinjari katika...

 

2 years ago

Bongo5

Obama anaweza kulipwa hadi shilingi bilioni 99 kuandika kitabu kipya cha maisha yake

Barack Obama amepumzika sasa baada ya kuitumikiaa Marekani kwa miaka minane kama Rais. Lakini, hiyo haimaanishi kuwa ametoka kwenye mzunguko wa fedha. Na tena, huenda akaanza kuingiza nyingi zaidi, asante kwa mikataba minono inayomuwinda kutoka kwa wachapishaji wa vitabu.

Yeye na mkewe Michelle, ni uamuzi wao tu, kukubali kusaini mikataba ya vitabu, yenye thamani ya kuanzia dola milioni 20 hadi 45. Fedha hizo, pamoja na matumizi mengine, zitamwezesha kugharamikia bili za ndege binafsi,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani