Ray Kigosi Afunguka Kutokuwa na Wivu kwa Irene Uwoya na Dogo Janja

Msanii Vicent Kigosi maarufu kama Ray ambaye ndiye aliyemfungulia milango ya kuingia kwenye sanaa muigizaji Irene Uwoya, amesema hawezi kuwa na wivu kwa kuolewa na Dogo Janja.

Ray na Irene Uwoya enzi hizo

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Ray amesema yeye alianza kumuona Irene kabla ya Dogo Janja, lakini hakuvutiwa kumuoa, hivyo hawezi kuwa na hisia za wivu kwa yeye kumuoa muigizaji huyo mwenye mvuto wa kipekee.

“Mimi siwezi kuwa na wivu nilianza kumuona Irene...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo Movies

Mama Uwoya Afunguka Mapya Kuhusu Ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja

Dar es Salaam. Mama yake, Irene Uwoya, Neema Mrisho amesema hampendi Dogo Janja kwa sababu msanii huyo hana adabu.

Ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Irene Uwoya kusema ameshindwa kumpeleka Dogo Janja kwa wazazi wake, kutokana na kuwa mama yake kuwa mtu wa kusafiri mara kwa mara.

Akizungumza na MCL Digital leo Machi 19, mama Uwoya amesema hata wangeamua kwenda kujitambulisha asingewapokea kwa kuwa Dogo Janja hana adabu ndiyo maana amefunga ndoa bila hata kufuata...

 

1 year ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Afunguka Kuolewa na Dogo Janja

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi juu ya tetesi iliyopo mtaani kuhusu kuolewa na msanii wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja na kusema ni kweli ameolewa na msanii huyo kwani ndiye mwanaume wa ndoto yake.

Irene Uwoya kupitia mtandao wake wa Instagram amethibitisha hilo na kusema kuwa anampenda sana msanii huyo na kudai huyo ndiye mwanaume wa ndoto yake hivyo anafurahi kuona wamefunga pingu ya maisha.

“Nimeolewa na mwanaume wa ndoto zangu, bado naendelea kulia na...

 

1 year ago

Bongo Movies

Mama Yake Dogo Janja Afungukia Ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Mama mzazi wa msanii Dogo Janja Bi. Zaituni Omari, amesema habari za mtoto wake kuoa ni za kweli na yeye kama mzazi alimpa baraka zote, vinginevyo asingeweza kuoa.

Mama yake Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa habari na kusema kwamba yeye kama mzazi ameridhika kwani pia ametimiza matakwa ya dini.

“Alishawahi kuniambia kuwa anataka kuoa na mimi nikampa baraka zote, alivyokuwa tayari alinijulisha akaniambia kama kuna uwezekano niende isipokuwa kuna mambo yakaingilia...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mama wa Uwoya aikana ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja

Mama mzazi wa muigizaji wa filamu Irene Uwoya ameeleza kuwa hamtambui mume wa sasa wa mwanaye, Dogo Janja na anachokijua yeye mpaka sasa mwanaye ni mjane, kwani aliyekuwa mume wake halali wa ndoa , Ndikumana amefariki dunia mwaka jana, na kabla ya kifo chake walikuwa wana ugomvi tu ila hawakuwahi kuachana.

Mama Uwoya aliendelea kueleza kuwa mwanaye, Irene uwoya, alifunga ndoa ya kanisani na aliyekuwa mumewe, marehemu Ndikumana, ambaye walijaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume na walikuwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Anafaa – Dogo Janja

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya.

Akizungumza na mtandao wa East Africa Television, Dogo Janja ambaye mara nyingi hapendi kuzungumzia maisha yake binafsi, ameamua kusema kuwa msanii huyo anafaa.

“Irene ni mwanamke mzuri, anavutia, kila mwanaume anayejua mwanamke mzuri anafaa kuwa naye, ila kwa upande wangu mimi namkubali sana Irene Uwoya,...

 

2 years ago

Bongo Movies

Dogo Janja Amfungukia Irene Uwoya, ‘Nampenda Sana’

Msanii wa Bongo Flava, Dogo Janja amezungumzia taarifa zilizokuwa zikidai kuwa anatoka kimapenzi na Muigizaji wa filamu Irene Uwoya.

Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya leo ‘Ngarenaro’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa ukaribu wao ulikuwa wa kawaida tu na hakuna kilichokuwa kinaendelea kati yao ingawa watu waliwachukulia vinginevyo.

“Nampenda sana yule dada lakini kuwa na mazoea naye kidogo kumezua maneno mengi,” amesema Dogo Janja.

July mwaka huu zilienea taarifa katika...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Irene Uwoya athibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja

Msanii wa bongo movie Irene Uwoya ameweka wazi kuwa yeye na msanii wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja ni kweli wameowana.

Irene Uwoya kupitia mtandao wake wa Instagram amethibitisha hilo na kusema kuwa anampenda sana msanii huyo kwani ndiye mwanaume wa ndoto yake hivyo anafurahi kuona wamefunga pingu ya maisha.

“Nimeolewa na mwanaume wa ndoto zangu, bado naendelea kulia na kutokwa na machozi ya kwa furaha. Dogo Janja nakupenda sana na nimefurahi kumaliza maisha yangu ya duniani nikiwa na...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Angalia video: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Wakati mjadala ukiendelea kuhusu taarifa zinazodai Dogo Janja na Irene Uwoya kufunga ndoa, hatimaye Dogo Janja ametuletea video hii inayoonesha tukio zima la sherehe yake

The post Angalia video: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Bongo Movies

Dogo Janja na Irene Uwoya Wasisikilize Maneno ya Watu-Madee

Msanii Madee Seneda ambaye ni baba mlezi wa Dogo Janja, amewataka maharusi wake Irene Uwoya na Dogo Janja kutosikiliza watu kwani wakifanya hivyo hata mwaka hawatamaliza.

Madee ameyasema hayo alipokuwa akipiga stori na Queen Fifi na JR kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba amefurahi kuona Dogo Janja kaoa ingawa alishtushwa na taarifa hizo, lakini kikubwa ni kuwaombea ili wasisikilize maneno ya watu.

Madee ameendelea kusema kwamba wawili hawa wote ni watu maarufu hivyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani