Rayvanny Ameshinda Tuzo ya BET 2017

Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.

Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET 2017 kama ‘Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! 😭….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale‘

‘THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!!
WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Rayvanny baada ya kutajwa kuwania tuzo BET Awards 2017

Majina ya wanaowania tuzo za BET 2017 tayari yametoka huku Tanzania ikitajwa kwenye orodha kupitia kwa Mwimbaji wa Bongofleva kutoka kundi la WCB Rayvanny ambaye anawania tuzo kwenye kipengele cha Best International View’s Choices akiwa ni Msanii pekee kutoka Afrika. Baada ya kuzipokea taarifa hizo Rayvanny alikuwa na haya ya kuwaeleza mashabiki wake, unaweza kubonyeza […]

The post VIDEO: Rayvanny baada ya kutajwa kuwania tuzo BET Awards 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo Movies

Picha: Mapokezi ya Rayvanny Akiwa na tuzo yake ya BET

Leo mchana kwenye majira ya saa tisa, msanii Rayvanny aliwasili nchini akiwa na tuzo yake ya BET ambayo aliinyakuwa usiku wa Jumamosi nchini Marekani aliwasili katika uwanja wa JK. Nyerere na kupata mapokezi makubwa kama ya kifalme.

Hitmaker huyo wa Mbeleko alipokelewa katika uwanja huo na mabosi wake wa WCB wakiongozwa na Diamond, Mkubwa Fella, Sallam pamoja na wasanii wenzake akiwemo Harmonize, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava walioambatana na Bi. Sandra ambaye ni mama mzazi wa...

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA RAYVANNY KUSHINDA TUZO YA BET

Msanii wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) ameshinda tuzo ya BET (Black Entertainment Television) kipengele cha ‘Viewers Choice Best New International Act Artist’.

Kufuatia ushindi huo msanii Diamond Platnumz ambaye anaiongoza WCB amepongeza ushindi huo wa Rayvanny, amesema kuwa zaidi ya miaka mitatu tunaenda na kurudi patupu lakini safari hii si patupu tena kufuatia ushindi huo.

“Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! ….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi...

 

2 years ago

MillardAyo

Rayvanny atajwa kwenye list ya BET Awards 2017

Jina la mwimbaji staa anayewakilisha WCB kwenye Bongofleva Rayvanny limetajwa kuwa moja ya majina yanayowania tuzo za BET 2017 Marekani ambapo ametajwa kuwania tuzo kwenye kipengele cha Best International Views Choices. Rayvanny ni msanii pekee kutoka Afrika kuwania tuzo hiyo ambayo itampambanisha na wasanii wengine sita kutoka Marekani, Ulaya na Asia. List yote iko hapa, utaliona […]

The post Rayvanny atajwa kwenye list ya BET Awards 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya CEO Bora wa Afrika 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL Group) Mohammed ‘MO’ Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Bora wa Mwaka wa Afrika 2017. Tuzo hizo hutolewa na Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji Afrika ‘Africa CEO Forum’ akiwashinda CEO wa BUA Group Abdulsamad Rabiu, CEO wa Cevital Issad Rebrab, CEO wa OTMT Investments […]

The post Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya CEO Bora wa Afrika 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017

Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21. Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa timu ya taifa ya Ureno aliyowaongoza kushinda […]

The post Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017 appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

BBCSwahili

Mohamed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora mwaka huu PFA 2017-18

Mchezaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya PFA mchezaji bora 2017-18, Huku Leroy Sane akishinda tuzo ya mchezaji bora kijana mwaka huu

 

2 years ago

MillardAyo

FULL LIST: Majina ya mastaa wanaowania tuzo za BET 2017

Kituo cha TV cha Black Entertainment kutoka New York Marekani kimetangaza majina ya mastaa wanaowania BET Awards mwaka 2017 huku Mastaa Beyonce na Bruno Mars wakitajwa kwenye vipengele vingi. Star mwimbaji Beyonce ametajwa kwenye category 7 za BET Awards, akifatiwa na Bruno Mars ambaye ametajwa kuwania tuzo tano. Tuzo hizi zitatolewa June 25, 2017 kwenye ukumbi […]

The post FULL LIST: Majina ya mastaa wanaowania tuzo za BET 2017 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

TheCitizen

Rayvanny, Diamond’s protégé who beat the odds at BET awards

It has been a long way but finally the black entertainment television award jinx for Tanzania was finally broken.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani