RC Ayoub tutahakikisha tatizo la madawati linakwisha mkoa wa mjini

Mkuu wa mkoa wa mjini wa magharib Mhe, Ayoub mohammed Mahmuud amesema wataendelea kushirikiana na serikali kuu katika  kutatua tatizo la madawati kwa skuli za mkoa wa mjini ili kuimarisha ubora wa elimu nchini

Akizungumza na waandishi wa habari katika ziara maalumu katika  eneo lililotengwa kwa ukati wa miti itakayotumika kutengenezea madawati ya  skuli za mkoa wa mjini alisema  hatua hiyo imekuja kutokana na upungufu wa madawati katika skuli za mkoa wa mjini lilosababishwa na kuongezeka kwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Hii hapa ratiba ya ziara za RC Ayoub ndani ya Mkoa wa mjini magharib

Ndugu wananchi na wapenda maendeleo kuanzia tarehe 27/11/2017 ntaanza ziara yangu ndani ya Mkoa wa mjini magharib kwa kupita kila shehia.

ili kusikiliza changamoto na kuzitafutia ufumbuzi

RATIBA YA ZIARA KATIKA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

RATIBA HII YA AWAMU YA KWANZA ITAGUSIA WILAYA YA MAGHARIBI “B” TU

UWANJA WA MPIRA DIMANI

SAA: 9:00 JIONI

Tarehe 27/11/2017

KUNDI A  SHEHIA:-

1-Fumba
2-Bweleo
3-Dimani
4-Kombeni
5-Nyamanzi
6-Shakani
7-Maungani
8-Kisauni

UWANJA WA TOMONDO MAGEREZA

SAA: 9:00...

 

3 years ago

Channelten

Wito kwa wananchi juu ya uchangiaji madawati Mkoa wa Mjini Maghribi

Screen Shot 2016-07-26 at 3.33.50 PM

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghrib Ayoub Mohamed Mahmoud ametoa wito kwa wananchi, wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa Maendeleo kujitokeza na kuchangia kwa hali na mali katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa madawati linaloikabili Zanzibar ambayo ina upungufu wa madawati 45,000 huku Mkoa huo ukiwa na upungufu wa madawati 33,000 sawa na asilimia 90 ya mahitaji ya kitaifa.

Bwana Ayoub Mohamed Mahmoud ametoa wito huo, katika hafla fupi ya makabadhiano ya hundi ya shilingi milioni 15...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Kamati ya Rais ya Madawati Zanzibar yakutana na Waziri Riziki na RC Ayoub

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imesema inakabiliwa na upungufu mkubwa wa madawati, vyumba vya madarasa, vifaa vya maabara ambao unachangia kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi.

Akizungumza na kamati ya Rais inayohamasisha upatikanaji wa madawati ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi , Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma, amesema kunahitajika ushirikiano kati ya taasisi za serikali na binafsi ili kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.

Amesema kutatuliwa...

 

2 years ago

Channelten

Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa kuchangia upungufu wa madawati Zanzibar, alipatia ufumbuzi tatizo la madawati

hii

Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa kuchangia upungufu wa madawati Zanzibar, ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bwana Haroun Ali Suleiman amesema tatizo la upungufu wa madawati visiwani humo litapatiwa ufumbuzi kwa kiwango cha asilimia 90 ifikapo Disemba mwaka huu.

Akizungumza na Channel Ten katika mahojiano maalum yaliyofanyika ofisini kwake eneo la Mazizini, Waziri Haroun Ali Suleiman amesema jumla ya madawati 40,000 yanahitajika na...

 

3 years ago

Channelten

Kamati ya madawati mkoa wa Dsm inayoongozwa na CHANNEL TEN imekabidhi madawati 100 shule msingi kinyerezi

Screen Shot 2016-08-31 at 2.44.31 PM

Kamati ya madawati mkoa wa dar es salaam imemaliza kero ya upungufu wa madawati iliyokuwa ikiikabili shule ya msingi kinyerezi iliyopo manispaa ya Ilala baada ya kukabidhi madawati 100.

Akikabidhi madawati hayo mkuu wa wilya ya Ilala Sophia Mjema amesema kero hiyo iliokuwa ikizikabili shule nyingi za jijini dar e salaam imeanza kumalizika hivyo ni wakati sasa wa kuendelea kuwaomba wadau mbalimbali wa elimu kuwasaidia katika ujenzi wa vyumba vya madarasa tatizo ambalo  pia linazikabili shule...

 

3 years ago

Channelten

Kamati ya kuchangia madawati ya Mkoa wa DSM yakabidhi jumla ya Madawati 100 kwa Shule ya Sekondari ya Mikocheni

madawati20

Kamati ya Harambee ya kuchangia madawati ya Mkoa wa Dar es salaam inayoongozwa na Kituo cha Channel Ten kwa ushirikiano na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam leo imekabidhi jumla ya Madawati 100 kwa Shule ya Sekondari ya Mikocheni, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ili kutatua changamoto ya upungufu wa madawati uliokuwa ukiikabili Shule hiyo.

Shule hiyo ni ya kwanza kwa Sekondari za jijini Dar es salaam kukabidhiwa msaada wa madawati tangu harambee ya kuchangia madawati...

 

3 years ago

Habarileo

Arumeru yamaliza tatizo la madawati

HALMASHAURI za Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha zimefanikiwa kumaliza tatizo la uhaba wa madawati katika shule za sekondari na msingi.

 

5 years ago

Uhuru Newspaper

Rungwe yapania kumaliza tatizo la mabara, madawati


NA MWANDISHI WETU, TUKUYU
HALMASHAURI ya Wilaya Rungwe, imetenga sh. milioni 150 kwenye bajeti yake ya mwaka 2014/2015, kununua vifaa vya maabara na kufunga mifumo imara ya gesi, katika shule zake 28 za sekondari zilizoko wilayani humo.
Kiasi hicho cha fedha kitatengwa kupitia ruzuku ya kukuza mtaji katika Serikali za Mitaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Veronica Kessy, alisema hayo alipokuwa akielezea mkakati wa kujenga na kutumia maabara kwa wanafunzi wa shule za...

 

5 years ago

Habarileo

Pinda ahoji dhamira kumaliza tatizo la madawati

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza kushangazwa na hatua ya wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchini kushindwa kutengeneza madawati ili kuwaokoa watoto kutokaa sakafuni, huku vijana wanaoshiriki shindano la Maisha Plus wameweza kutengeneza madawati 30 kwa muda mfupi waliokaa katika kijiji walichopo wilayani Bagamoyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani