RC GAMBO AFUNGUA SEMINA YA BODI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, JIJINI ARUSHA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua Semina ya Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kufungua semina hiyo, itakayowajengea uwezo Wajumbe wa Bodi ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kuhusu sekta ya Viwanda kuwa kama fursa ya Uwekezaji, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Nchini (TSSA), Meshack Bandawe akizungumza machache wakati akitoa muongozo wa Semina hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gold Crest, Jijini Arusha leo Mei 19, 2017.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII (SSRA) YATOA SEMINA KWA MAMENEJA NA MAAFISA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Mkurugenzi wa Huduma za Sheria, Bw. Onorius Njole akitoa mada ya masuala ya baadhi ya Miongozo iliyotolewa na Mamlaka ili kuboresha utendaji katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa Mameneja na Maafisa wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, Mkoani Morogoro hivi karibuni.Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera, Bw. Ansgar Mushi akifafanua jambo la kitaalamu katika Semina iliyotolewa na SSRA kwa Mameneja na Maafisa wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, mkoani Morogoro hivi karibuni.Mameneja na Maafisa wa Mifuko...

 

4 years ago

Michuzi

MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASAKARI POLISI MJINI MOSHI.

Ofisa mnadhimu namba moja wa jeshi la polisi mkao wa Kilimanjaro SSP Koka Moita akichangia jambo wakati wa semina juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa kwa maofisa wa jeshi hilo wa ngazi mbalimbali. Kamanda wa polisi wa wilaya ya Moshi,OCD Deusdedit Kasindo akizungumza jambo wakati wa semina hiyo.
Viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii.
Baadhi ya askari polisi wa wilaya ya Moshi...

 

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb 5, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kamishina Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, wakati walipokutana baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika kwenye Hoteli ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb 5, 2015. (Picha na OMR).

2B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kamishina Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, wakati walipokutana baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NANE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi cheti katika Mkutano wa Nane wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika Mashariki na Kati. Makamu wa Rais amefungua rasmi mkutano huo leo katika Ukumbi wa Benki Kuu. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akiteta jambo na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama katika ufunguzi wa Mkutano wa nane wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Afrika...

 

2 years ago

Michuzi

RC ARUSHA MRISHO GAMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KUJITAMBULISHA KWA VIONGOZI WA DINI JIJINI ARUSHA LEO

Nteghenjwa Hosseah – Arusha


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo ameendelea  na  ziara yake ya kujitambulisha kwa viongozi wa dini  ukiwa ni utaratibu aliojiwekea wa kukutana na viongozi  baada ya kuteuliwa kushika  wadhifa huo hivi karibuni.


Mh.Gambo amekutana na  Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosis ya Kaskazini Kati, Mchungaji  Solomon Masangwa , Askofu wa  Kanisa la Evangelistic Assemblies of God(EAGT) mkoa wa Arusha,Leonard Mwizarubi  na Askofu  Stanley Hotay wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Changamoto za mifuko ya hifadhi ya jamii

Wiki iliyopita nilielezea baadhi ya mambo yanayosababisha kuwagusa wachangiaji wa mifuko ya pensheni ya hifadhi ya jamii, hasa wanapokuwa wanapoteza uanachama na kinga yao ya hifadhi ya jamii na pale wanapoondoka au kuhamia mfuko mwingine wakiwa ndani ya nchi na akivuka mpaka na kwenda nje ya nchi.

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali inafilisi Mifuko Hifadhi ya Jamii

Tunalazimika tena leo kuitahadharisha Serikali kuhusu athari zinazotokana na utamaduni wake wa kutolipa madeni.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani