RC GEITA ATOA ONYO KALI KWA VIONGOZI WA VIJIJI, KATA NA TARAFA WANAOTUMIA MICHANGO YA WANANCHI KWA MASLAHI BINAFSI

Viongozi wa vijiji, kata na tarafa Wilayani Bukombe wametakiwa kutumia michango inayotolewa na wananchi kwa shughuli zilizokusudiwa ili kuwaletea wananchi maendeleo katika maeneo yao.

Akizungumza katika kijiji cha Kazibizyo kata ya Ng'anzo Wilaya ya Bukombe Mhandisi Robert Gabriel Mkuu wa Mkoa wa Geita amesema katika  vijiji, kata na tarafa wananchi wamekuwa wakihimizwa kujitolea kuchanga michango ya hiari ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo lakini baada ya michango hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

NEEC imetoa onyo kali kwa taasisi au watu binafsi wanaowatoza wananchi fedha kama ada ya usajili

Screen Shot 2016-08-22 at 3.54.29 PM

Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi  (NEEC) limetoa onyo kali kwa taasisi au watu binafsi wanaowatoza wananchi fedha kama ada ya usajili wa vikundi ili wawe na sifa ya kupata milioni 50 kwa kila kijiji zilizoahidiwa na serikali ya awamu ya tano.

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Bi. Bengíi Issa ametoa onyo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na kuwaambia wale wote wanaofanya kitendo hicho kuwa ni utapeli, huku baraza lake likitoa onyo kali kwa...

 

5 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIA VIBAYA MITANDAO

Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu. Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri. Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji...

 

3 years ago

Michuzi

WAKUU WA IDARA WILAYANI IKUNGI, MAAFISA TARAFA, WATENDAJI WA KATA, VIJIJI NA WENYEVITI WA VIJIJI WAFUNDWA.

 Wakuu wa Idara na vitengo, Maafisa Tarafa, Watendaji wa Kata, Vijiji, na Wenyeviti wa Vijiji wakifatilia mafunzo kutoka kwa wawasilishaji Afisa utumishi wa Wilaya ya Ikungi Evodius Buberwa akifafanua na kutofautisha majukumu ya watendaji wote ngazi ya Wilaya, Tarafa, Kata na Vijiji.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

1 year ago

Michuzi

DC ATOA ONYO KWA WATUMISHI WA SERIKALI WATAKAOSHINDWA KUSHIRIKI MICHANGO YA MAENDELEO

Na Shushu Joel, Busega.
MKUU wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu, Tano Mwera ametoa onyo kali kwa watumishi wa serikali watakaoshindwa kutoa michango ya maendeleo kwenye sehemu wanazoishi kwa kisingizio cha utumishi wa serikali.
Akitoa agizo hilo kwenye baraza la madiwani mkuu huyo wa wilaya aliwataka madiwani wote kwenda kuwasambazia watumishi wote wa serikali walio katika kata zao kushiriki kikamilifu michango yote ya kijamii ili kuhakikisha wanafanikisha malengo waliyojiwekea kwenye kijiji au...

 

3 years ago

Dewji Blog

Jaji Mutungi atoa onyo kwa wanaotumia jina la cheo chake vibaya

Siku kadhaa baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kutoa maoni yake juu ya kile kinachoendelea katika Chama cha Wananchi (CUF) na baada ya hapo wanasiasa kuwa wakitumia jina lake kwa kupinga na wengine kukubali maoni yake, Jaji Mutungi ametoa taarifa kuhusu hilo.

Katika taarifa ambayo imetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili, Monica Laurent amesema kuwa kuna watu wamekuwa wakitumia jina la ofisi ya msajili kwa kuzungumza na vyombo vya habari na...

 

3 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

 

3 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani