RC MAKONDA AMEKABIDHIWA GARI AINA YA WINGLE 5 NA KAMPUNI YA GREAT WALL MOTORS

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhiwa gari aina ya Wingle 5 na Kampuni ya Great Wall Motors ya nchini China kwa kushirikiana na kampuni ya wazawa ya Kifaru Motors (T).
Akielezea sababu ya kukabidhi gari hiyo kwa serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam Meneja Mwandamizi wa Kampuni hiyo nchini Afrika Kusini Jianguo Liu ameeleza kuwa ni kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Meneja Liu ameeleza kuwa gari hiyo inathamani ya shilingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AKABIDHIWA GARI AINA YA WINGLE 5 NA KAMPUNI YA GREAT WALL MOTORS

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhiwa gari aina ya Wingle 5 na Kampuni ya Great Wall Motors ya nchini China kwa kushirikiana na kampuni ya wazawa ya Kifaru Motors (T).
Akielezea sababu ya kukabidhi gari hiyo kwa serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam, Meneja Mwandamizi wa Kampuni hiyo nchini Afrika Kusini Jianguo Liu ameeleza kuwa ni kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Meneja Liu ameeleza kuwa gari hiyo inathamani ya shilingi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mercedes yatoa toleo jipya la gari aina ya SUV ili kuchuana na kampuni ya BMW

Kampuni maarufu ya utengenezaji wa magari duniani ya Mercedes-Benz imetoa toleo jipya la gari la kifahari ambalo linatarajiwa kushindana katika soko la biashara ya magari na wapinzani wake wakubwa BMW na LEXUS.

Uamuzi wa kampuni hii maarufu duniani  kutoa toleo jipya la gari la kifahari aina ya GLC43 unafuatia baada ya uhitaji wa watu na wanunuzi wa magari katika soko la biashara ya magari.

Gari hilo jipya aina ya GLC43 lililotoka hivi karibuni linafanana kiasi na toleo la gari hilo la mwaka...

 

2 years ago

BBC

Why is Africa building a Great Green Wall?

Eleven countries are planting a wall of trees from east to west across Africa in order to push back the desert - and in Senegal it's already working.

 

5 years ago

Michuzi

Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...

 

3 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BE FORWARD YAKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA IST KWA MSHINDI JIJINI ARUSHA KATIKA PROMOSHENI YA JISHINDIE IST


DSC00871Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Be Forward Geoffrey Mibaz akimkabidhi mshindi ambaye ni Mwalimu wa Shule ya St. Jude Mkoani Arusha aliyeambatana na familia yake,  Rasul Mngazija gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12 katika promosheni ya jishindie IST iliyofanyika jana jijini Arusha iliyoendeshwa na kampuni ya uuzaji magari ya Be Forward Tawi la TanzaniaDSC00877Muonekano wa Gari aina ya Toyota IST yenye thamani ya Sh. Milioni 12
DSC00875Mshindi Rasul Mngazija akiwa na mkewe Hazina...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: RC Paul Makonda amekabidhiwa hizi milioni kwaajili ya madawati…..

IMG-20160714-WA0168

Baada ya Rais Magufuli kutangaza elimu bure kuanzia elimu ya msingi mpaka kufikia kidato cha nne, kumekuwa na changamoto kubwa ya uhaba wa madawati ambapo Serikali ilianzisha kampeni ya uchangiaji wa madawati. Sasa leo July 14, 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda  amepokea milioni 27 kutoka ofisi ya Mbunge  Mussa Azzan Zungu jimbo […]

The post VIDEO: RC Paul Makonda amekabidhiwa hizi milioni kwaajili ya madawati….. appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Michuzi

UKUTA MKUBWA WA BEIJING (THE GREAT WALL) UNAVYOINEMEESHA NCHI YA CHINA KATIKA SEKTA YA UTALII

Sehemu ye Ukuta Mkubwa ndani ya Mji wa Beijing nchini China (The Great Wall),kama uonekanavyo pichani mapema leo mchana,ambapo Maelfu ya watu wakiwemo Wenyeji na wageni hufurika kutembelea ukuta huo wenye historia kubwa nchini humo.Kuusoma zaidi BOFYA HAPA,Ukuta huo umekuwa kivutio kikubwa kwa wenyeji na wageni mbalimbali ambao wamekuwa wakifurika kila kukicha na kujionea historia kubwa ya ukuta huo nchini China,inaelezwa kuwa ukuta huo ni mojawapo ya chanzo kikubwa cha mapato katika...

 

2 years ago

Channelten

Paul Makonda amekabidhiwa hekari 1500 za ardhi kujenga Viwanda “Dar es Salaam Industrial Area”

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda amekabidhiwa hekari 1500 za ardhi katika eneo la Lingati Kisarawe 2 Wilayani Kigamboni jijini Dsm litakalotumika kujenga Viwanda vidogo vidogo na vyakati litakalojulikana kama Dares salaam Industrial Area.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa hekari hizo na Mkurugenzi wa Azimio Estaste inayomiliki maeneo mengi ya Uwekezaji hususan Viwanda katika wilaya ya kigamboni Bw,Mohamed Iqbar amesema hekali hizo zitagawanywa katika makundi ya...

 

5 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani