RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA MAKONTENA YENYE SAMANI ZA OFISI ZA WALIMU

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amepokea shehena ya Makontena 20 Kati ya 36 yenye samani (furniture) zenye thamani ya Shillingi Billion 2 zilizotolewa na Diaspora waishio Nchini Marekani waliounga mkono kampeni ya RC Makonda ya ujenzi wa Ofisi 402 za Walimu Dar es salaam.
Ndani ya Kontena hizo zipo Meza za umeme zenye hadhi ya kimataifa 2500, Meza za kawaida 2500,Viti zaidi ya 5,000,Makabati makubwa ya vitabu 1300, Ubao za kisasa (writing board) zisizotumia chaki 700...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI ZA WALIMU

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa vifaa vya  ujenzi vyenye thamani ya Sh.milioni 400 kutoka kiwanda cha MMI Steel ltd kwaajili ya kampeni ya ujenzi wa ofisi 402 za walimu Dar es salaam.
Vifaa alivyokabidhiwa ni Mabati 15,000 yenye thamani ya Sh.million 360, nondo tani 22 zenye thamani ya Sh.million 40 ambapo kiwanda hicho kimemuahidi tena kumpatia vifaa vingine ikiwemo rangi, nondo na mabati. 
Akipokea vifaa hivyo leo jijini Dar es Salaam, Makonda ameshukuru kiwanda cha...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi...

 

1 year ago

Michuzi

Ndoto ya Ujenzi ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa fikira ya kutaka kuwa na ofisi bora za walimu katika mkoa wa Dar es Salaam imeanza kutimia kwa baadhi ofisi kufikia hatua ya upauaji.
Akizungumza leo katika uzinduzi ofisi ya walimu wa shule ya msingi Mapinduzi, Makonda amesema sasa anapata usingizi kuona ndoto yake inanitimia ya kuwapa ofisi nzuri za wanafunzi.
Makonda amesema kuwa wakati alipikuja na wazo hilo alijua hali ni kazi ngumu lakini kutokana...

 

4 years ago

StarTV

Shehena ya mizigo zakamatwa kwenye makontena.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Shehena ya mizigo mbalimbali zimekamatwa kwenye makontena yenye thamani ya shilingi milioni 300 katika ukaguzi wa kushtukiza uliofanyika kwenye Bandari Kavu ya jijini Dar es Salaam.

 

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiongozana na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ukaguzi huo baada ya Serikali kubaini ongezeko la wafanyabishara wanaokwepa kodi kupitia udanganyifu wa bidhaa zinazoingizwa nchini.

 

Akizungumza mara baada ya...

 

2 years ago

Michuzi

WADAU WAZIDI KUMUUNGA MKONO RC MAKONDA UJENZI OFISI ZA WALIMU.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amekutana na kufanya mazungumzo na chama cha Wamiliki wa Malori ya Usafirishaji wa Mchanga ambao wamemuunga mkono kwenye kampeni ya ujenzi wa ofisi za walimu kwa kujitolea kusafirisha mchanga wote utakaohitajika. 
Wamiliki hao kwa kauli moja wamemwambia Makonda kuwa suala la kusafirisha mchanga wa kujenga ofisi zote 402 watalibeba hao hivyo yeye aendelee na majukumu mengine. 
Makonda ameshukuru chama hicho kwa kutambua thamani na mchango wa...

 

2 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AZINDUA UJEZI WA OFISI 402 ZA WALIMU JANA JIJINI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ,amezindua zoezi la ujenzi wa Ofisi za kisasa 402 za Walimu Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema kukamilika ujenzi huo kutasaidia kuinua kiwango cha elimu mkoa hapo na kuongeza kuwa ujenzi wa Ofisi utafanka kwa haraka, chini ya Vijana wenye morali ya kazi kutoka JKT, Magereza na Jeshi la Polisi.
Ramani ya ofisi hizo inaonyesha kuwa na Ofisi ya Mwalimu Mkuu, Mwalimu Mkuu Msaidizi, Ofisi ya Walimu wa kawaida, Mhasibu, Karani, Chumba cha kuhifadhi...

 

2 years ago

Channelten

Ofisi za walimu 402 kujengwa DSM, Paul Makonda ametangaza rasmi kamati

PAUL MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo ametangaza rasmi kamati ya Ujenzi wa Ofisi za walimu 402 katika jiji la Dsm ambapo jeshi la wananchi,JKT Magereza ,polisi pamoja na Kituo cha Habari cha Chanel Ten kitakuwa katika kuhamasisha na kukusanya michango mbali mbali ili kufanikisha ujenzi wa ofisi hizo.

Akizungumza na kamati hiyo pamoja na vyombo vya habari Makonda amesema serikali imekuwa katika jitihada za kukabialiana na changamoto ya Elimu jijini Dsm,ambapo pamoja na ujenzi wa madarasa na...

 

2 years ago

Channelten

Ujenzi ofisi za walimu wazinduliwa, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda awashukuru waliochangia

MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda leo amezindua rasmi ujenzi wa Ofisi 402 za kisasa za walimu pamoja na Vyoo katika mkoa wa dsm zitakazojengwa katika shule zote za msingi na Sekondari ambapo pia amewataka walimu kuongeza bidii ya kazi huku serikali ikiendelea kushuhuglikia changamoto zinazowakabili.

Uzinduzi huo wa ujenzi wa Ofisi za walimu na vyoo pia uliwashirikisha wakuu wa wilaya wa Mkoa wa DSM pamoja na kamati inayosimamia ujenzi wa ofisi hizo wakiwemo wajumbe kutoka Afrika Media Group...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani