RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa  wahakikisha wanatokomeza uvuvi haramu katika ziwa Victoria.
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana (Jumapili, Januari 21, 2018) wakati akizungumza na viongozi wa mkoa huo katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya kikazi  mkoani Mara.
“Kuna tatizo kubwa la uvuvi haramu katika Ziwa Viktoria. Fanyeni doria za mara kwa mara na watakaobainika hatua stahiki za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Uvuvi haramu washamiri Ziwa Victoria

UVUVI haramu wa kutumia sumu na nyavu zenye matundu madogo unadaiwa kukithiri katika Ziwa Victoria wilayani Rorya mkoani Mara.

 

2 years ago

Habarileo

Samia akerwa uvuvi haramu Ziwa Victoria

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kuendelea kushamiri kwa uvuvi haramu katika Ziwa Victoria unaosababisha samaki zipungue na kuharibu mazingira.

 

10 months ago

CCM Blog

NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAUNGANISHA NGUVU KUTOKOMEZA UVUVI HARAMU KATIKA ZIWA VICTORIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Tanzania, Luhaga Mpina mwenye miwani akimkabidhi uenyekiti  wa Baraza  la Mawaziri wa Sekta ya Uvuvi na Utunzaji wa Viumbe Kwenye Maji katika nchi za Afrika Mashariki(FASCoM)  Ssempija Vicente Bamulangaki ambaye ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Uganda hivi karibuni

Na Mwandishi Maalum, Entebbe 
NCHI za Tanzania, Kenya na Uganda zimeridhia kufanya operesheni ya pamoja kupambana na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria ili kuokoa samaki aina ya sangara walioko...

 

4 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

3 years ago

Michuzi

UVUVI HARAMU VICTORIA TISHIO KWA UHIFADHI

 

Na Woinde Shizza alivyotembelea ,Mwanza .
Uvuvi haramu wa kutumia sumu kali,pamoja na neti umekua ukitishia uhifadhi katika hifadhi ya Taifa ya Saa Nane na Lubondo ambazo zimepewa jukumu la kulinda mazalia ya samaki ili samaki hao wasipotee kwenye uso wa dunia.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake waliofanya ziara ya kutembelea hifadhi hiyo ya Saa Nane iliyoko jijini Mwanza ,ziara iliyoratibiwa na Tanapa Mhifadhi Mkuu Donatus Bayona amesema kuwa changamoto inayowakabili ni uvuvi...

 

3 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kuangalia upya sheria za uvuvi ziwa victoria

 

Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Musoma mkoani Mara, wameitaka Serikali kuangalia upya Sheria za uvuvi kwa kuainisha maeneo husika kutokana na sheria zilizopo kuwakandamiza Wavuvi hasa Waliopo ndani ya Ziwa Victoria.

Hatua ya Madiwani hao kujenga hoja hiyo inatokana na aina ya Samaki wanaopatikana katika Ziwa Victoria Kupishana na Samaki waliopo katika Ziwa Tanganyika huku Sheria Ikiwa ni Moja na kutumika Katika Maeneo Yote.

Kilio cha wananchi Waishio Kando ya Ziwa Victoria, Kutokana na...

 

2 years ago

VOASwahili

Wanasiasa wataka sheria za uvuvi ziwa Victoria zitungwe upya

Mara nyingi, tanzania haijihusishi katika migogoro ya matumizi ya ziwa Victoria licha ya kuwa na mgao mkubwa wa asilimia 37.5.

 

12 months ago

Michuzi

WAVUVI WAASWA KUZINGATIA SHERIA,TARATIBU ZA UVUVI KUZILINDA RASILIMALI ZIWA VICTORIA

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ameteketeza Nyavu haramu 242 zenye thamani ya Sh Mil.242 baada ya wavuvi kuzisalimisha wenyewe katika kisiwa cha Zilagula kilichopo halmshauri ya Buchosa wilayni Sengerema mkoani Mwanza.

Akizungumza wakati wa uteketezaji wa nyavu hizo, Ulega aliwapongeza wavuvi hao kwa hatua hiyo walioichukua huku akikazia msimamo wa serikali wa kupambana na uvuvi halamu. Pamoja na kuwapongeza huko,Ulega aliwasisitiza wavuvi hao kuzingatia sheria na...

 

2 years ago

Mwananchi

Momba wakamata na kuteketeza zana haramu za uvuvi katika Ziwa Rukwa

Wilaya ya Momba mkoani Songwe imefanikiwa kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh 15 milioni zilizokamatwa ziwani Rukwa katika doria iliyofanyika  hivi karibuni.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani