RC MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE BAADHI YA VIJIJI VYA WILAYA YA MUFINDI NA KILOLO


 Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akimtusha ndoo ya maji mmoja ya wananchi walihudhulia uzinduzi wa mradi maji ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nandala alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa maji ambao utasaidia kupunguza changamoto ya maji na kuchochea maendeleo kwa wananchi ambao watakuwa wananufaika na mradi huo ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Wilaya za Mufindi na Kilolo Mkoani Iringa zatumia Tehama kuboresha utoaji wa Huduma kwa umma

Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Mkoa wa Iringa hasa Wilaya ya Kilolo na Mufindi. Usikose kuangalia kipindi hiki.

 

3 years ago

CCM Blog

MBUNGE COSATO CHUMI AANZA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE SHULE ZA JIMBOBw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akikagua pump kwenye moja ya kisima kwenye shule ya Msingi Makalala, anayetizama ni Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi Bw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akimsikiliza kwa makini Mhandisi wa Maji wa Mji wa Mafinga Eng Eradius.  Pichani baadhi ya wanafunzi na waalimu wa shule ya Msingi Makalala wakiwa katika picha ya pamoja na Mrs Lee na Mbunge wa...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI AANZA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE SHULE ZA JIMBO LA MAFINGA MJINI.

Bw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akikagua pump kwenye moja ya kisima kwenye shule ya Msingi Makalala, anayetizama ni Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi Bw Donsun Lee ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya Kutoka Korea ya Serving Friends International akimsikiliza kwa makini Mhandisi wa Maji wa Mji wa Mafinga Eng Eradius.  Pichani baadhi ya wanafunzi na waalimu wa shule ya Msingi Makalala wakiwa katika picha ya pamoja na Mrs Lee na Mbunge wa...

 

1 year ago

Michuzi

UWT KILOLO KUTATUA TATIZO LA VYOO SHULE YAMSINGI ILULA,ISOLIWAYA MKOANI IRINGA

Na Fredy Mgunda,Iringa. 
WALIMU wa shule ya msingi Ilula na Isoliwaya zilizoko katika kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo wanakabiriwa na magonjwa ya Mlipuko kwa kukabiliwa na changomoto ya choo.
Shule hizo zilizotenganishwa baada idadi kubwa ya wanafunzi, walimu 49 wanalazimika kutumia choo Chenye matundu mawili hali inayohatarisha usalama wa afya zao.
Akizungumza mbele ya Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer, mwalimu Msaidizi wa shule ya Msingi Isoliwaya, Huruma...

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI GEITA YAJIPANGA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWA WANANCHI

Na Joel Maduka, GeitaSerikali mkoani Geita imejipanga kutatua kero ya maji kwa wananchi inayowakabili wananchi kwa muda mrefu.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ametoa kauli hiyo alipotembelea miradi ya uzalishaji wa maji inayosimamiwa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jinni Geita, GEUWASA.
Alisema serikali imedhamiria kuona mji wa Geita unakuwa na maji ya kutosha ambapo kwa sasa kuna tanki lenye Mita za ujazo elfu moja na mia mbili na kwamba zipo jitihada za...

 

1 year ago

CCM Blog

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KIMEFANIKISHA KUPATIKANA KWA SH. 130 KUTOKA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KUMALIZA TATIZO LA MAJI WILAYA YA ROMBO

Ndg. Polepole akizungumza na Halmashauri Kuu ya Rombo CCMTAARIFA
Katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Rombo, Katibu wa NEC Mwenye dhamana ya Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole ameujulisha umma wa wananchi wa Rombo kuwa baada ya ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani na kutambua uwepo wa kero kubwa ya Maji, amewasiliana na Uongozi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwamba ukosefu wa kiasi cha shilingi Milioni 130 kilichokuwa kinakosekana ili kufanya upembuzi yakinifu wa mradi wa...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNGE COSATO CHUMI KUTATUA TATIZO LA MAJI KATIKA MJI WA MAFINGA LILOTUDUMI KWA MUDA MREFU.

 Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua chanzo maji cha ikangafu wakati wa ziara yake ya kutembelea vyanzo vya maji na matanki ya kuhifadhia maji Mbunge wa mafinga mjini cosato chumi akikagua moja ya tanki la kuhifadhia maji.kushoto ni bw uhaula ,bw shaibu nnunduma mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa mafinga wakijadili jambo baada ya kukagua baadi ya vyanzo hivyo vya maji.
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini cosato chumi amefanya ziara ya kuangalia jinsi gani anaweza kutatua tatizo la...

 

4 years ago

Michuzi

TATIZO LA MAJI KILOLO NA ISMANI LAISUMBUA SERIKALI WADAI KUTOKUTHAMINIWA NA VIONGOZI

WANANCHI wa vijiji vya Ilole, kitumbuka, Ilambilole, Ikengeza, Chamdindi  na vingine vilivyopo Katika wilaya ya Kilolo na Ismani mkoani Iringa wailalamikia serikali kwa kushindwa kutatua kero ya maji iliyodumu kwa muda mrefu Katika maeneo hayo.
Wakizungumza kwa huzuni mbele ya mkuu wa mkoa wa Iringa aliyefanya ziara ya kugagua miradi ya maji Katika wilaya hizo Mh Amina Masenza wananchi hao walisema kumekuwa na ubabaishaji wa kisiasa juu ya namna ya kupelekewa maji jambo ambalo linawafanya...

 

4 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijalibisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
  Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula wa kwanza kushoto akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha Engaresero...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani