RC Mbeya atoa miezi mitatu kwa Halmashauri ya Mbeya kuacha tabia ya kutoa maamuzi yanayosababishia serikali hasara adai atamshauri Raisi kuivunja isipojirekebisha

1

Halmashauri ya Mbeya imepewa miezi mitatu kubadili mwenendo wake wa kutoa maamuzi yasiyofuata kanuni, taratibu na sheria, kwa maelezo kuwa yamekuwa yakiingizia serikali hasara ya mamilioni ya shilingi ambapo mkuu wa mkoa Amos Makala pia ameonya kuwa ikiwa itashindwa kujirekebisha atashauri mamlaka husika kuichukulia hatua ikiwa ni pamoja na kuivunja.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amosi Gabriel Makala amefikia hatua hiyo baada ya uongozi wa halmashauri ya Mbeya , kudaiwa kukaidi ushauri inaopewa na...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

TPSF kwa kushirikiana na Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni imeanzisha Program Maalum ya miezi mitatu ya kutoa mafunzo kwa Vijana wajasiriamali

Screen Shot 2016-02-16 at 3.55.41 PM

Taasisi ya Sekta binafsi nchini TPSF kwa kushirikiana na Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni imeanzisha Program Maalum ya miezi mitatu ya kutoa mafunzo kwa Vijana wajasiriamali wenye biashara na mitaji midogo ili kuwajengea uwezo wa hatimaye kupatiwa mitaji mikubwa na taasisi za fedha nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya sekta binafsi nchini Godfrey Sembeye amesema mpango huo umelenga kusaidia vijana kati ya 3600 hadi 4000 katika manispaa hiyo lengo likiwa kuwajengea uwezo wa...

 

1 year ago

Channelten

Watumishi wanne wafutwa kazi Mbeya Kwa kuisababishia hasara halmashauri

mbeya
Watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ambao ni Wakuu wa Idara mbalimbali akiwemo Afisa Elimu, Elimu ya Msingi Lita Mlaki wamefutwa kazi wakituhumiwa kufanya uzembe kazini na kuisababishia hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja Halmashauri hiyo .

Uamuzi huo wa kuwafuta kazi watumishi hao, umetangazwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Mwalingo Kisemba mbele ya vyombo vya habari, na kuwataja majina yao akidai wamesababisha hasara kubwa ya ipotevu wa fedha kwa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli:”EAC inahitaji miezi mitatu kutoa maamuzi kuhusu mkataba wa EPA”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Viongozi na wananchi wa Sudan Kusini kutanguliza mbele maslahi ya nchi yao ili kusaidia kumaliza mgogoro wa kisiasa unaondelea nchini humo.

Akizungumza katika mkutano wa 17 wa Jumuiya hiyo leo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alisema jumuiya hiyo inasikitishwa na mapigano ya ghafla yaliyoibuka hivi karibuni nchini humo.

Rais Magufuli...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOANI MBEYA YAFUTA HATI YA KIWANJA CHA MAKAZI KILICHOTOLEWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA

Na EmanuelMadafa,Mbeya(Jamiimojablogu)
SERIKALI Mkoani Mbeya imeagiza kufutwa kwa hati ya kiwanja kilichotolewa na halmashauri ya Jiji la Mbeya kwenye chanzo kikuu cha maji kilichopo eneo la Nyibuko kata ya Mwakibete kwa matumizi ya makazi.
Agizo hilo, limetolwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala mara baada ya kutembelea na kukagua chanzo kikuu cha maji cha Nzovwe, chenye uwezo wa kuzalisha mita 12 za ujazo kwa siku na kusambaza maji kwa asilimia 41 kwa wakazi wa jiji la Mbeya wapatao zaidi...

 

10 months ago

Michuzi

WAKAZI WA MBEYA WAASWA KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.


Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu.

Aidha Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na matukio makubwa ya uhalifu pamoja na wahalifu. Jitihada zinaendelea kwa...

 

1 year ago

Michuzi

MAKALLA ATOA SIKU 14 KWA HALMASHAURI ZOTE MKOANI MBEYA KUWAONDOA WALIOVAMIA MAENEO YA HIFADHI

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza na waanchi wa kijiji Cha Hanzya Kata ya Itagano jijini Mbeya katika kilele cha Kampeni ya Upandaji MitiKimkoa .
Na Emanuel Madafa,Mbeya
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametoa siku 14 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha inawaondoa watu wote waliovamia maeneo ya hifadhi za misitu pamoja na hifadhi ya misitu ya mlima Mbeya.
Aidha amesema agizo hilo pia liendane na suala la kudhibiti shughuli zote za kibinadamu kando kando ya mita 60...

 

3 months ago

Michuzi

Serikali kutoa uamuzi kuhusu uingizaji wa mita za umeme nchini baada ya miezi mitatu

Na Teresia MhagamaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amesema kuwa, baada ya miezi mitatu Serikali itatoa uamuzi kama nchi iendelee kutumia mita za umeme zinazotengenezwa nje ya nchi au kupiga marufuku uingizaji wa mita hizo baada ya kujiridhisha  na uwezo wa viwanda vya ndani katika kuzalisha  mita husika.Dkt. Kalemani ameyasema hayo  jijini Dar es Salam tarehe 23 Machi, 2018 wakati alipofanya ziara katika kiwanda cha Baobab Energy Systems kinachozalisha mita za umeme lengo likiwa ni...

 

1 year ago

CCM Blog

DR.KIGWANGALA ATOA AGIZO LA MIEZI MITATU KWA RMO PWANI

Picha mbalimbali zikionyesha vifaa tiba mbalimbali vilivyogharimu mil.400 ,vilivyotolewa msaada na Mbunge wa jimbo la Mji wa Kibaha ,Silvestry Koka ,ambapo vitagawiwa katika zahanati na vituo vya afya 11 vilivyopo mjini hapo ikiwemo Kituo cha afya Mkoani ,msaada huo umepongezwa na Naibu waziri wa afya ,jinsia na watoto Dr .Hamis Kigwangala ,katika makabidhiano hayo Naibu Waziri huyo ,amempongeza Koka kwa jitihada zake za kushirikiana na serikali kutatua kero za afya .(picha na Mwamvua...

 

1 year ago

Michuzi

RC MBEYA,AMOS MAKALA AINGILIA KATI MGOGORO WA HALMASHAURI YA MBEYA NA WAFANYABIASHARA SOKO LA MBALIZI

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akiagiza vyumba vya wafanyabiashara vilivyofungwa na halmashauri vifunguliwe mara moja,na kuwarejeshea Wafanyabiashara kwenye meza ya mazungumzo na kuiondoa kesi baraza la Ardhi , RC Makala pia ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa halmshauri hiyo amalize Mgogoro wa kodi kwa kukaa meza moja na wafanyabiashara.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amefanya ziara katika mji wa Mbalizi kwa kutembelea kituo cha mabasi na soko la mbalizi na baadaye kufanya mkutano...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani