RC MGHWIRA ATOA ONYO KALI KWA WANAOHARIBU MIUNDOMBINU YA TANESCO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mghwira ametoa onyo kali kwa wakazi wa mkoa huo wanao jihusisha na uhabifu wa miundombinu ya Shirka la Umeme Tanzania (Tanesco) na kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. 
Mkuu huyo wa mkoa alisema, serikali inatumia gharama kubwa sana kuendesha shirika hilo hivyo kulihujumu kwa kuharibu miundimbinu sio sahihi na halivumiliki. 
Aliyasema hayo jana wakati akiongea na waandisi wa habari, katika kampeni maalumu inayofanywa na Tanesco makao makuu ikiwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

3 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

3 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Lipumba atoa onyo kali kwa wakuregezi wa CUF alio watengua

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Pr. Ibrahim Lipumba atoa onyo kwa wakurugenzi alio tengua teuzi zao kutoendelea kufanya kazi za wakurugenzi wa chama hicho kwa kuwa ni kinyume cha Sheria ya Vyama vya Siasa kifungu cha 8B (2).

Lipumba alitoa onyo hilo Machi 12, 2017 katika Ofisi Kuu za chama hicho, wakati akitoa taarifa ya uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Utendaji CUF. Licha ya kutoa onyo, Lipumba amesema hatovumilia baadhi ya viongozi wanaokigawa chama hicho kwa misingi ya ubara na...

 

1 year ago

CCM Blog

MPINA ATOA ONYO KALI KWA WATENDEJI WANAOHUJUMU ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akimshika mkia ng’ombe kuangalia kama amepigwachapa alipotembelea mnada wa Kizota nje kidogo ya mji wa Dodoma leo ambapo ametoa tathimini ya upigaji chapaunaoendelea nchini.
--------------
Na John Mapepele, Dodoma
Waziri wa  Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa, Luhaga Mpina ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali katika Halmashauri zote nchini wanayoihujumu operesheni maalum ya kitaifa ya kupiga chapa  mifugo inayoendelea nchi nzima kwa kutoa...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

 

1 year ago

Michuzi

RC GEITA ATOA ONYO KALI KWA VIONGOZI WA VIJIJI, KATA NA TARAFA WANAOTUMIA MICHANGO YA WANANCHI KWA MASLAHI BINAFSI

Viongozi wa vijiji, kata na tarafa Wilayani Bukombe wametakiwa kutumia michango inayotolewa na wananchi kwa shughuli zilizokusudiwa ili kuwaletea wananchi maendeleo katika maeneo yao.

Akizungumza katika kijiji cha Kazibizyo kata ya Ng'anzo Wilaya ya Bukombe Mhandisi Robert Gabriel Mkuu wa Mkoa wa Geita amesema katika  vijiji, kata na tarafa wananchi wamekuwa wakihimizwa kujitolea kuchanga michango ya hiari ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo lakini baada ya michango hiyo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Dk. Kigwangalla atoa onyo kali kwa Madaktari na wauguzi wanaojihusisha na matendo ya kuomba na kupokea rushwa

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa onyo kali kwa wanataalum wa sekta ya afya kuacha mara moja vitendo vya kupokea na kuomba rushwa kwani endapo watabainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.

Dk. Kigwangalla emesema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kuadhimisha siku ya kinywa na meno duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya tiba ya kinywa na Meno, Muhimbili.

Ambapo amesema kuwa kwa utawala...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani