Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robofainali baada ya sare hiyo ya 1-1 kwani walikuwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hilo lilikuwa na maana kwamba walihitaji angalau mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

UEFA Champions Ligi: nusu fainali kuanza leo, Real Madrid na Atletico Madrid

2

Leo kutakuwa na mtanange mkali huko Stadio Santiago Bernabeu ambapo Real Madrid watakutana na Atletico Madrid. Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid walimaliza ndoto za Atlético Madrid kwenye UCL katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.

Na kesho jumatano ni nusu fainali ya pili kati ya AS Monaco itakapokwaana na Juventus.

Kesho jumatano pia kutakuwa na nusu fainali ya kwanza ya UEL, UEFA EUROPA Ligi...

 

2 years ago

Africanjam.Com

LIVESTREAM: ATLETICO MADRID vs REAL MADRID | UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL | LIVE NOW |

FIND THE SYMBOL 'x' AND CLICK ON IT TO REMOVE ADSENJOY THE GAME


Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit...

 

3 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

2 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya nusu fainali ya UCL: Man City kupambana na Madrid, Atletico Madrid na Bayern Munich

Leo mchana imefanyika droo ya kupanga ratiba ya michezo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champion League), ambapo Manchester City imepangwa kupambana na Real Madrid huku Atletico Mardid ikipangwa kupambana na Bayern Munich.

Michezo ya nusu fainali itachezwa kati ya Aprili 26 na 27 na michezo ya marudiano itachezwa kati ya Mei, 3 na 4.

Mchezo wa fainali wa mashindano hayo makubwa barani Ulaya inataraji kupigwa Jumamosi ya Mei 28 katika dimba la San Siro lililopo Milan, Italia.

333575CF00000578-3541545-image-a-11_1460714891183

2 years ago

MillardAyo

Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA

34BB0F7800000578-3614372-image-a-203_1464472773898

Usiku wa May 28 2016 wapenda soka wote duniani macho na masikio yao ilikuwa ni katika uwanja wa San Siro katika jiji la Milan Italia, ili kutaka kufahamu nani atafanikiwa kuchukua Kombe la Klabu Bingwa Ulaya 2016 kati ya Real Madrid na Atletico Madrid. Real Madrid ambao wanatajwa kama klabu yenye mafanikio katika michuano ya […]

The post Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kupambana na wapinzani wao Atletico Madrid

Nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City ilichezwa usiku wa Jumatano ambapo Real Madrid ilipata nafasi ya kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila, goli ambalo limewapa nafasi ya kufuzu fainali ya mabingwa hayo.

Goli pekee la Real Madrid katika mchezo huo lilipatikana baada ya kiungo wa Manchester City, Fernando kujifunga katika dakika ya 20 baada ya Gareth Bale kupiga mpira ambao ulimgonga na kuelekea golini.

Baada ya matokeo hayo sasa Real...

 

4 years ago

Mwananchi

Ni Atletico, Real Madrid fainali

Atletico Madrid imeitupa Chelsea nje ya mashindano baada ya kuichapa mabao 3-1 katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Stamford Bridge na hivyo kutinga fainali ya mashindano hayo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani