Real Madrid walaza Manchester United 2-1 Kombe la Super Cup Uefa

Manchester United are outclassed as Spanish and European champions Real Madrid retain the Uefa Super Cup victory in a sweltering Skopje.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Real Madrid yailaza Barcelona na kushinda kombe la Super Cup

Kwa mara nyengine Real Madrid imeilaza Barcelona 2-0 katika uwanja wa nyumbani wa Bernabeu na kuibuka mshindi kwa jumla ya mabao 5-1

 

1 year ago

BBCSwahili

UEFA: Real Madrid walaza Juventus 4-1 na kutwaa ubingwa Ulaya

Mreno Cristiano Ronaldo alifunga mabao mawili, la kwanza dakika ya 20 na la pili dakika ya 64.

 

1 year ago

BBCSwahili

UEFA: Real Madrid walaza Bayern Munich 4-2 Ligi ya Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo alifungia Real Madrid mabao matatu na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100 Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 20 : Real Madrid walivyowasili jijini Madrid na Kombe lao la 11 la UEFA

34BDAE9600000578-3614796-image-a-89_1464511870207

Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa May 28 2016 ilicheza mchezo wake wa fainali ya Klabu Bingwa barani dhidi ya Atletico Madrid katika jiji la Milan Italia uwanja wa San Siro, hiyo ilikuwa fainali inayohusisha timu kutoka jiji moja la Madrid, hivyo upinzani ulikuwa mkubwa. Katika mchezo huo wa fainali ya Ligi ya […]

The post PICHA 20 : Real Madrid walivyowasili jijini Madrid na Kombe lao la 11 la UEFA appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Dewji Blog

News Alert: Real Madrid yashinda Kombe la Mabingwa Ulaya UEFA, yaichapa Atletico Madrid mikwaju 5-3

Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza wenzao wa Atletico Madrid, mchezo uliomalizika kwa mikwaju ya penati huku mashujaa hao Real Madrid wakiibuka kwa ushindi wa penati 5-3.

Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, lakini Real Madrid walijipatia bao lao la kwanza la kuongoza kwa kipindi cha kwanza tu cha mchezo kupitia kwa mchezaji wake Sergio Ramos na bao hilo lilidumu kwa dakika zote 45 cha mchezo kipindi cha kwanza.

34BB142F00000578-3614372-image-a-224_1464473125834

2 years ago

Bongo5

Picha: Real Madrid ya Hispania baada ya kutwaa ubingwa wa kombe lao la 11 la UEFA walivyo pokewa katika Jiji la Madrid

Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro, ilikuwa ni fainali inayohusisha timu kutoka jiji moja la Madrid.

34BD773C00000578-3614796-image-a-77_146450669793234BD6C1E00000578-3614796-image-a-45_1464504191608

34BDC59D00000578-0-image-a-85_1464511821930

Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 120...

 

2 years ago

Global Publishers

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Real Madrid walivyotwaa Ubingwa wa Super Cup dhidi ya Sevilla

370D357300000578-3732024-Real_Madrid_captain_Sergio_Ramos_celebrates_with_the_European_Su-a-22_1470779120794

Usiku wa August 9 2016 mchezo wa fainali ya UEFA Super Cup ulichezwa katika uwanja wa lerkendal Norway , kwa kawaida huu ni mchezo ambao unamkutanisha Bingwa wa michuano ya klabu Bingwa Ulaya na Bingwa wa michuano ya UEFA Europa League, hivyo August 9 ilikuwa ni siku ya Real Madrid kukutana na Mabingwa wa Europa […]

The post VIDEO: Real Madrid walivyotwaa Ubingwa wa Super Cup dhidi ya Sevilla appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Real Madrid watwaa Ubingwa wa Super Cup dhidi ya Sevilla

Timu ya Real Madrid wametwaa taji la Super Cup ya UEAFA usiku wa August 9 2016 katika Uwanja wa Lerkendal mjini Rosenborg, Norway baada ya kuwafunga kwa Sevilla 3-2 ndani ya dakika 120.

370D357300000578-3732024-Real_Madrid_captain_Sergio_Ramos_celebrates_with_the_European_Su-a-22_1470779120794

Real iliyowakosa nyota wake kama Pepe, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo, Mabao yalifungwa na Marco Asensio dakika ya 21, Nahodha Sergio Ramos dakika ya 90 na Dani Carvajal dakika ya 119, wakati ya Sevilla yalifungwa na Franco Vazquez dakika ya 41 na Yevhen Konoplyanka dakika ya 72.

370D3D1700000578-3732024-The_Real_Madrid_players_celebrate_on_Rosenborg_s_Lerkendal_Stadi-a-37_1470780133796

370CC3A500000578-3732024-image-a-3_1470775802102

article-3732024-370D6A8400000578-487_636x358

Jiunge na Bongo5.com...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani