Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United

Paul-Pogba-key-visual

Bado July 27 2016 mitandao ya soka Ulaya imeandika headlines za usajili za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, dili la Pogba kujiunga na Man United lilikuwa linatarajiwa kukamilika kabla hata la Gonzalo Higuain kujiunga na Juventus. Man United wametuma ofa ya pound […]

The post Real Madrid wanavyovuruga dili la Paul Pogba kujiunga na Man United appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Dili la Pogba kujiunga Man United lakaribia kukamilika

Ni muda sasa tangu kuwepo kwa tetesi kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Juventus ya Italia, Paul Pogba kujiunga na mashatenai wekundu wa Uingereza, Manchester United.

Uhamisho wa Pogba kwenda Man United unatajwa kukaribia kukamilika lakini endapo wakala wa Pogba, Mino Raiola ataweza kumshawishi Pogba kujiunga United na kuachana na Real Madrid ambayo ndiyo imekuwa chaguo lake.

Taarifa zinaeleza kuwa Pogba atakutana na wakala wake, Raiola hivi karibuni baada ya kumalizika...

 

3 years ago

MillardAyo

Siku ambazo dili la Pogba litakamilika kujiunga na Man United zimetajwa

1469278158_050631_1469313788_portada_normal (1)

Magazeti mengi ya soka ya Italia kwa sasa ni majina ya wachezaji wawili ndio yanatumika sana kupamba kurasa za mbele katika kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka duniani wanasubiria rekodi ya usajili ya dunia ikivnjwa na Man United kwa kumsajili Paul Pogba kutoka Juventus kwa zaidi ya pound milioni 100. Paul Pogba kuhusishwa kwenda Man United […]

The post Siku ambazo dili la Pogba litakamilika kujiunga na Man United zimetajwa appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa Real Madrid amegoma kujiunga na Man United ya Jose Mourinho

asdea

July 21 2016 bado headlines za magazeti mengi ya michezo barani Ulaya yameamka na headlines za usajili, katika kipindi hiki ni kawaida kusikia mchezaji fulani akihitajika na timu fulani, sasa leo July 21 2016 beki wa kati wa Real Madrid Raphael Varane ameingia kwenye headlines baada ya kugoma kujiunga na Man United. Stori za Raphael […]

The post Staa wa Real Madrid amegoma kujiunga na Man United ya Jose Mourinho appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

IMAGINATION: Baada ya Pogba kuthibitika kujiunga na Man United, chat za wachezaji wa Man zilikuwa hivi

Screen-Shot-2016-08-09-at-19.03.55

Imekuwa ni kawaida kwa kundi au wafanyakazi wa taasisi fulani kuwa na group lao la whatsapp kama sehemu ya kushea mambo tofauti tofauti, mfano Jarmie Vardy wa Leicester City alishawahi kukiri kuwa yupo katika group na wachezaji wenzake wakubwa. Mtu wangu wa nguvu katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii sio conversation halisi ya group […]

The post IMAGINATION: Baada ya Pogba kuthibitika kujiunga na Man United, chat za wachezaji wa Man zilikuwa hivi appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba

Paul-Pogba-GPG2

Baada ya kocha wa Manchester United Jose Mourinho kutambulishwa Old Trafford alifanya mkutano na waandishi wa habari na kuweka wazi kuwa mipango yao kwa sasa ni kusajili wachezaji wanne na kati ya hao watatu tayari wameshafanikiwa kuwasajili ila anaamini mmoja atafanikiwa kumsajili mapema pia bila kumtaja jina. July 7 2016 taarifa kutoka Italia zilizoripotiwa na Di […]

The post Walipofikia Juventus na Man United kuhusu Paul Pogba appeared first on MillardAyo.Com.

 

10 months ago

BBCSwahili

Chimbuko la mchezaji wa Man United na Ufaransa Paul Pogba

Paul Pogba alianza kuvutia klabu kadhaa kabla ya ya kufikisha umri wa miaka 17 alipoondoka nyumbani na kujiunga na Manchester United kutoka klabu ya Ufaransa ya Le Havre.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake

36FFE1B600000578-3729304-Paul_Pogba_has_arrived_in_England_ahead_of_his_medical_with_Manc-a-48_1470655935936

Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba August 8 2016 aliwasili katika klabu ya Man United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake utakaoweka rekodi ya dunia, Pogba amewasili katika uwanja wa mazoezi wa Man United. Pogba amewasili katika uwanja wa AON unaotumiwa na Man United kwa ajili ya […]

The post PICHA 6: Paul Pogba alivyowasili Man United na mama yake appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Mashabiki wa Man United pokeeni good news kuhusu Paul Pogba

Pogba-Chelsea-gossip-584530

Headlines za kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, zinaelekea kumalizika kwa kiungo huyo kurudi Man United toka aondoke mwaka 2012. Leo August 7 2016 klabu ya Juventus ambayo ilikuwa inahitaji rekodi ya dunia ya usajili ya pound milioni 100 kama ada ya […]

The post Mashabiki wa Man United pokeeni good news kuhusu Paul Pogba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

Juventus ya toa ruhusa Paul Pogba kufanyiwa vipimo Man United

Klabu ya Juventus imetoa ruhusa kwa kiungo Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake kujiunga na Manchester United.

Pogba-Chelsea-gossip-584530

Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja rekodi ya dunia ya ununuzi wa wachezaji ya pauni milioni moja.

Meneja wa United Jose Mourinho alikuwa amedokeza kwamba klabu hiyo ilikuwa imekaribia sana kumpata Pogba.

Kuanzia saivi Pogba anaweza kutangazawa kama mchezaji wa Manchester United.

Tovuti ya Man United imeandika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani