Real Madrid yailaza Real Betis 5-3

Marco Asensio alifunga mabao mawili na kuisaidia Real Madrid kuizaba klabu ya Real Betis 5-3 na kuipatia klabu hiyo ushindi wa tatu mfululizo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Ronaldo arejea na mkosi La Liga: Real Madrid 0-1 Real Betis

Cristiano Ronaldo amaerejea kwa mkosi La Liga baada ya usiku wa kuamkia leo timu yake ya Real Madrid kuchezea kichapo cha goli 1-0 katika uwanja wake wa nyumbani wa Santiago Bernabeu dhidi ya Real Betis.

Goli la dakika za mwisho za nyongeza lililofungwa na Antonio Sanabria liliiwezesha Betis kuibuka na ushindi huo mbele ya wenyeji.

The post Ronaldo arejea na mkosi La Liga: Real Madrid 0-1 Real Betis appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

Real Madrid hali sio nzuri, waambulia sare dhidi ya Real Betis (+Pichaz&Video)

Klabu ya Real Madrid ya Hispania usiku wa jumapili ya January 24 walishuka dimbani kutafuta poitnt tatu katika dimba la ugenini kucheza na Real Betis, kwa sasa Real Madrid inaendelea kuongozwa na Zidane kama kocha mkuu wa timu hiyo baada ya Rafael Benitez kutimuliwa. Licha ya kuwa Benitez alitimuliwa kutoka na uongozi wa Real Madrid […]

The post Real Madrid hali sio nzuri, waambulia sare dhidi ya Real Betis (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yalazwa 1-0 na Real Betis Bernabeu

Antonio Sanabria alifunga bao la ushindi kunako dakika ya 94 huku Real Betis ikiishangaza Real Madrid na kupata ushindi katika uwanja wa Bernabeu kwa mara ya kwanza

 

2 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yaicharaza Real Betis 6-1

Klabu ya Uhispania Real Madrid imeongeza presha kwa wapinzani wake Atletico Madrid katika kilele cha jedwali la ligi ya La Liga

 

4 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yailaza Liverpool 1-0

Katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya katika michezo minane ,watetezi Real Madrid wameinyuka Liverpool bao 1-0

 

5 years ago

GPL

REAL MADRID YAILAZA BAYERN MUNICH

Karim Benzema (kushoto) akiifungia Real Madrid bao pekee. Kulia ni mchezaji wa Bayern Munich,  David Alaba. Wachezaji wa Madrid, Pepe (kushoto) na Sergio Ramos (katikati) wakiondosha hatari langoni mwao.…

 

2 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yailaza Barcelona na kushinda kombe la Super Cup

Kwa mara nyengine Real Madrid imeilaza Barcelona 2-0 katika uwanja wa nyumbani wa Bernabeu na kuibuka mshindi kwa jumla ya mabao 5-1

 

2 years ago

MillardAyo

Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. FC Barcelona walisafiri kuelekea Madrid tayari wakiwa […]

The post Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid appeared first on millardayo.com.

 

10 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani