REKODI KALI KUELEKEA MAN CITY NA LIVERPOOL LEO

Kuelekea mchezo wa marudiano leo ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali kati ya wenyeji Manchester City dhidi ya Liverpool, hizi ni rekodi ambazo zinaweza kuvunjwa au kuwekwa na timu zote mbili endapo zitapata matokeo chanya.
Katika Historia ya ligi ya Mabingwa ni timu mbili tu ambazo zimewahi kubadili matokeo kutoka kufungwa mabao matatu au zaidi kwenye mchezo wa raundi ya kwanza. Deportivo La Coruna dhidi ya AC Milan mwaka 2003-04 na Barcelona dhidi ya Paris Saint-Germain msimu...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City

_89775101_89775100

Mashabiki wa soka ulimwenguni kote wanashauku ya kutaka kuona mchezo wa kwanza wa durby unaowakutanisha makocha wenye upinzania mkubwa Jose Mourinho na Pep Gurdiola, huu ni mchezo ambao unatajwa kuwa weekend hii utakusanya na kuangaliwa na mashabiki wengi, tayari magazeti ya England yameripoti maafisa usalama 400 kuwa watahudhuria mchezo huu. Kuna vingi inawezekana ukawa hufahamu […]

The post Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City

Latest-Stats

Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo, Club Brugge katika mchezo utakaochezwa saa 16:30 leo February 27. Ligi Kuu Uingereza inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa, ila mchezo kati ya Man United […]

The post Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Liverpool, Man City kiama Anfield leo

VINARA wa Ligi Kuu ya hapa Liverpool, leo wanashuka dimba la nyumbani la Anfield, kuwaalika wapinzani wao wakuu katika mbio za ubingwa wa ligi hiyo Manchester City, katika pambano la...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Man City 2-Man Utd 1: Ndivyo ilivyosomeka, Rekodi nyingine ya Guardiola dhidi ya Mourinho

Ubishi umemalizika, majigambo yamepotea na matokeo yameandikwa. Manchester City ya Guardiola imewatia minyororomashetani wekundu ndani ya dimba lao la Old trafford wakiongozwa na kocha wao Jose Mourinho. Magoli ya Manchestre City yamefungwa na Kevin de Bruyne na Kelechi Iheanacho, wakati la kufutia machozi la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic

f6

 

The post Man City 2-Man Utd 1: Ndivyo ilivyosomeka, Rekodi nyingine ya Guardiola dhidi ya Mourinho appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

BBCSwahili

Liverpool,Man City zashinda Man United nje

Kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp,ameandikisha ushindi wake wa kwanza,huku Man United ikiambulia kichapo mikononi mwa Middlesbrough

 

2 years ago

MillardAyo

Mambo matano ya kufahamu kuelekea mechi ya Liverpool vs Man United

liverpool-vs-manchester-united

Usiku wa October 17 2016 klabu za Liverpool na Man United zitakutana kwa mara ya 192 katika historia lakini mchezo huo wa Ligi Kuu utakuwa ni mchezo wa 162 kukutana vilabu hivyo katika michezo ya Ligi Kuu. Mtu wangu wa nguvu kuelekea mchezo naomba nikusogezee takwimu za timu hizo. 1- Kwa ujumla Man United na […]

The post Mambo matano ya kufahamu kuelekea mechi ya Liverpool vs Man United appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Man City yairudia rekodi yao mbovu

SAHAU kupoteza mchezo kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Manchester United na kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi, lakini Manchester City haikufanikiwa kupiga shuti hata mmoja liliolenga lango kwa dakika zote 90 za mchezo huo. Mara ya mwisho klabu hiyo kumaliza mchezo bila ya kupiga shuti lolote lililolenga lango ilikuwa mwaka 2012 walipocheza ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani