RIDHIWANI ATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA WILAYA YA BAGAMOYOMbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mchezaji anayeshiriki katika mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akitoa vifaa kwa washiriki wa mashindano ya Kombe la Mazingira,yaliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na wabunge.Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akitoa vifaa kwa washiriki wa mashindano ya Kombe la...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mkuu wa wilaya ya Kilolo ametoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya soka ya wanawake, Panama FC

kilolo

MKUU wa wilaya ya Kilolo, Asiah Abdallah ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1 kwa timu ya soka ya wanawake, Panama FC ya mkoani Iringa inayoshiriki Ligi ya Kuu ya Soka ya Wanawake Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza tarehe 1, Novemba na kutoa wito kwa wadau wa michezo kujitokeza kwa wingi kuisaidia timu hiyo ambayo ndio wawakilishi pekee kutoka mkoani humo katika ligi hiyo.

Kufuatia tangazo hilo lililotolewa hivi karibuni naMwenyekiti wa...

 

3 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

1 year ago

Mwananchi

JPM atoa vifaa tiba vya Sh16 milioni jimboni kwa Ridhiwani Kikwete

Raisi John Magufuli ametoa msaada wa vifaa vya afya vyenye thamani ya zaidi ya Sh16milioni kwa Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani.

 

3 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

2 years ago

Dewji Blog

Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu shiriki

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri wa  Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mhandisi Hamad Masauni amekabidhi vifaa vya michezo ikiwemo jezi na mipira kwa manahodha wa timu kumi  zinazotarajiwa kushiriki mashindano yaliyopewa jina la Masauni – Jazeera CUP 2016, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi ya Jimbo la Kikwajuni

Akizungumza kabla ya kutoa vifaa hivyo vya michezo, Mhandisi Masauni alisema lengo la kuanzisha ligi hiyo ni kuwafanya vijana wawe na afya pamoja na...

 

2 years ago

Channelten

Vodacom yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu nane

screen-shot-2016-11-09-at-4-18-36-pm

Kampuni ya mawasiliano ya vodacom,  imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu nane za vyuo vya elimu ya juu ya Dar es Salaam kwa ajili ya mashindano yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Mashindano hayo ya siku mbili yanatarajiwa kufanyika jumamosi na jumapili hii, ambapo yatajumuisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na mpira wa kikapu.

Jacqueline Materu ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano  wa vodacom, akiwa pia ndiye aliyeongoza zoezi la kukabidhi vifaa hivuo amesema lengo...

 

3 years ago

Michuzi

LAPF YAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI

 Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Manispaa ya Kinondoni. Vifaa vilivyotolewa na mfuko huo ni jezi seti 30, mipira 30 pamoja na viatu jozi 30. (Na Mpiga Picha Wetu)Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 5 mjumbe wa bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni, Abbas Tarimba. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA BUNGE.

NA MWANDISHI WETU, DODOMABENKI ya CRDB imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa wabunge wa Jamhuri la Muungano wa Tanzania.
Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Mkurugenzi wa benki ya CRDB Tawi la Dodoma, Rehema Hamis na kupokelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Vifaa vilivyokabidhiwa ni jezi seti mbili ikiwamo ya golikipa, viatu, mpira, soksi na suti za michezo ambavyo vimegharimu zaidi ya Sh. Milioni 5.
Awali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliwapongeza wafadhili na...

 

4 weeks ago

Michuzi

Naibu Waziri Masauni akabidhi vifaa vya michezo kwa timu 20

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni amekabidhi vifaa vya michezo kwa Timu 20 zinazoshiriki ligi ya Masauni and Jazeera Cup.Akizungumza wakati akikabidhi vifaa hivyo Masauni amesema michezo inajenga udugu kutokana na mkusanyiko wa watu mbalimbali.Masauni amesema michezo kwa sasa ni ajira kwani wengine wataonyesha vipaji vyao na timu zikawaona na zikaweza kuingia nao mikataba.Aidha amesema kwake ataona faida pale baadhi ya vijana watakaonyesha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani