Rigobert Song alaza hospital Cameroon

Nahodha na mlinzi wa zamani wa timu ya Taifa ya CAMEROON, RIGOBERT SONG amelazwa hospitalini baada ya kuugua kiharusi

Mmoja ya wanafamilia wa mchezaji huyo amesema RIGOBERT SONG alikuwa mahututi wakati anakimbizwa hospitalini mjini YOUNDE, mjii mkuu wa CAMEROON.

Mapema jana asubuhi mkurugenzi wa kitengo cha dharura cha Hospitali aliyolazwa nguli huyo wa soka wa CAMEROON amesema SONG  atapelekwa nchini UFARANSA kwa matibabu zaidi.

Enzi anacheza soka SONG aliichezea timu ya Taifa ya CAMEROON...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBC

Cameroon legend Rigobert Song in hospital after 'stroke'

Former Cameroon international Rigobert Song is in hospital in Yaounde after suffering a "cerebral attack".

 

2 years ago

BBCSwahili

Rigobert Song alazwa hospitalini Cameroon

Nyota wa zamani wa Liverpool na West Ham Rigobert Song amekimbizwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kuugua kiharusi.

 

2 years ago

Bongo5

Rigobert Song akimbizwa hospitalini siku ya Jumapili huko Cameroon

Aliyekuwa nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Rigobert Song alifikishwa mjini Yaounde, Cameroon baada ya kuugua ghafla.

Song, 40, ambaye ni mjomba wa aliyekuwa mchezaji wa Arsenal, West, Ham Alex Song, alichezea timu ya taifa ya Cameroon mechi 137.

rigobert-song-702x336-696x333

Taarifa zinasema alikuwa nyumbani kwake Odza, Yaounde alipopatwa na kiharusi na akakimbizwa hospitalini siku ya Jumapili.

Baada ya kuugua ghafla, Song alifikishwa katika Hospitali ya Messa ambapo yupo mpaka sasa akiwa katika uangalizi...

 

1 year ago

BBC

Rigobert Song resumes coaching role with local Cameroon team

Former Cameroon captain, Rigobert Song, who suffered a brain aneurysm ten months ago, takes charge of the home-based national side in CHAN qualifiers.

 

3 years ago

Bongo5

Rigobert Song atangazwa kuwa kocha mkuu wa Kikosi cha Chan Cameroon

Mchezaji wa zamani wa Cameroon aliwahi pia kuwa nahodha, Rigobert Song amateuliwa kuwa kocha Mkuu wa kikosi cha wachezaji wa nyumbani wa Cameroon ‘Simba’, akichukua nafasi ya Martin Ndtoungou Mpile aliyeiongoza timu hiyo kwenye michuano ya CHAN mapema mwaka huu nchini Rwanda.

Rigobert-Song-620x400

Song, ametangazwa Feb 18 katika Mkutano na Waandishi wa Habari ambao pia ilimtangaza Hugo Broos kama kocha mpya wa kikosi kikubwa cha Cameroon, Song ataendelea pia kuwa katika benchi la Ufundi la timu ya kwanza ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rigobert Song apata fahamu

Song mwenye umri wa miaka 40 alilazwa katika hospitali ya Younde siku ya Jumapili baada ya kupoteza fahamu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Rigobert Song asafirishwa Ufaransa

Mchezaji wa zamani wa timu ya soka ya Cameroon Rigobert Song amesafirishwa nchini Ufaransa ili kupata matibabu zaidi baada ya kupata fahamu

 

1 year ago

BBC

Rigobert Song: God would have been in trouble if I'd died!

Former Cameroon and Liverpool defender Rigobert Song talks about his near-death experience after suffering from a brain aneurysm in 2016.

 

2 years ago

Dewji Blog

Rigobert Song afikishwa hospitali kwa matatizo ya ubongo

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon na kocha wa sasa wa timu ya taifa ya vijana wadogo ya Cameroon, Rigobert Song amefikishwa mjini Yaounde, Cameroon baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka vyanzo vya habari vya Cameroon, zinaeleza kuwa Song amepatwa na tatizo katika mishipa yake ya kwenye ubongo (cerebral vascular) wakati akiwa nyumbani kwake Odza.

Baada ya kuugua ghafla, Song alifikishwa katika Hospitali ya Messa ambapo yupo mpaka sasa akiwa katika uangalizi maalumu wa madaktari...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani