RIPOTI: MAAMBUKIZI YA MARADHI MALARIA YAPUNGUA KWA WASTANI WA ASILIMIA 50

Ripoti ya Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ugonjwa wa Malaria hapa Nchini, inaonesha Kupungua kwa Maambukizi ya Maradhi Malaria Kwa Wastani wa asilimia 50 tangu Mwaka 2000.

Wakati Maambukizi yakionesha kupungua, inakadiriwa asilimia 90 ya Watanzania Wanaishi kwenye maeneo ambayo kuna maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria.

 Kiongozi wa Uchunguzi na Matibabu kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria nchini, Dkt Sixbert   Mkude akizungumza na waandishi wa habari leo  Jijini Dar es Salaam amesema pamoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33


Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO 
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...

 

5 years ago

Habarileo

Malaria Mwanza yapungua kwa asilimia 62.5

KIWANGO cha maambukizi ya ugonjwa wa malaria mkoani Mwanza kimepungua kutoka wagonjwa 979,035 kwa mwaka 2009 hadi kufikia jumla ya wagonjwa 367,545 kwa mwaka 2013 sawa na asilimia 62.5.

 

2 years ago

Michuzi

MAAMBUKIZI MAPYA YA VIRUSI VYA UKIMWI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 50


Na Anthony John- Glob ya Jamii.
TAKWIMU zinaonyesha kuwa maambukizi mapya ya ukimwi yamepungua ikiwemo kwa watoto kwa asilimia 50% japokuwa bado ni janga kubwa kwa Dunia,Afrika na Tanzania hivyo nguvu zaidi inahitajika kupambana na ugonjwa huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo hii Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania Leonard Maboko amesema kuwa mapambano dhidi ya virusi vya Ukimwi yanatakiwa kuwa endelevu haswa katika maeneo...

 

5 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua

WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.

 

4 years ago

BBCSwahili

Maambukizi ya malaria yapungua Afrika

Juhudi za pamoja za kukabiliana na malaria zimechangia kuzuiwa kwa visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya ugonjwa huo Afrika.

 

3 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua Kilimanjaro

MKOA wa Kilimanjaro umefanikiwa kupunguza mambukizi ya malaria kutoka asilimia tatu mwaka 2012 na kufikia asilimia moja mwaka 2015.

 

3 years ago

StarTV

Maambukizi ya Malaria yapungua kufikia 8.5% Kagera

Kaya zaidi ya laki moja na nusu katika wilaya za Bukoba, Missenyi na Ngara, mkoani

Kagera zinatarajia kunufaika na mradi wa unyunyuziaji wa dawa ya kuzuia mbu majumbani wanaoambukiza ugonjwa wa Malaria.

Takwimu zinaonesha kuwa maambukizi ya ugonjwa huo yamepungua kwa  asilimia 41 toka mwaka 2007 hadi kufikia asilimia 8.5.

Hayo yamebainika katika uzinduzi  wa mradi wa unyunyuziaji dawa majumbani  unaofadhiliwa na serikali ya  Marekani  ambao  umezinduliwa kimkoa  katika kata ya Kabale...

 

4 years ago

Dewji Blog

Halmashauri ya wilaya ya Morogoro yapunguza maambukizi ya Malaria kwa asilimia nane

01

Nyumba ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Mkuyuni ambayo imefunguliwa  na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Ndugu Juma Khatib Chum ili watumishi hao waweze kuishi karibu na Kituo hicho.

Na Andrew Tangazo Chimesela – Morogoro

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, imefanikiwa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa  asilimia 8 ukilinganisha na maambukizi ya ugonjwa huo mwaka 2014.

Hayo yamebainishwa hivi karibuni na Dkt. Mwanahamisi Yahya ambaye ni Kaimu mganga wa kituo cha Afya cha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani