Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch

Ripoti ya Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch inayoonesha kuwa wafanyakazi wa majumbani kutoka Tanzania wanateseka katika mataifa ya Uarabuni

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

SERIKALI YA TANZANIA YAZUIA UZINDUZI WA WA RIPOTI YA SHIRIKA LA HUMAN RIGHTS WATCH

Afisa wa shirika la Human Rights Watch**Mamlaka nchini Tanzania imezuia uzinduzi wa ripoti kuhusu unyanyasaji wa wafanyakazi wanawake kutoka taifa hilo wanaofanya kazi katika mataifa ya Uarabuni.
Shirika la Human Rights Watch limedai katika matokeo yake kwamba wafanyikazi wa nyumbani kutoka nchini Tanzania walikuwa wakibakwa , kuteswa na kulipwa mishahara duni na waajiri wao katika mataifa ya Uarabuni.
Ripoti yenye kurasa 100 inayodai kuteswa kwa wafanyikazi wa nyumbani wa Tanzania nchini Oman...

 

1 year ago

BBC

Rwanda killed 37 petty criminals, Human Rights Watch says

Human Rights Watch accuses Rwandan authorities of summarily executing "at least 37" people.

 

6 months ago

BBC

Human Rights Watch: Libya 'incapable' of holding elections

The US-based group worries that voters, candidates and political parties risk 'coercion'.

 

2 years ago

Africanews

Human Rights Watch applaud Tanzania's ban on child marriages


Africanews
Human Rights Watch applaud Tanzania's ban on child marriages
Africanews
Human Rights Watch (HRW) has applauded a landmark decision by a Tanzanian High Court which ruled that the marriages for girls and boys under age 18 was unconstitutional. The court ruled as unconstitutional sections 13 and 17 of the Tanzania Law of ...
New Laws in Tanzania Make Child Marriage a Punishable CrimeCare2.com
Dispatches: Tanzanian High Court Rules Against Child MarriageHuman Rights Watch
Tanzania: How the...

 

2 years ago

Africanews

Human Rights Watch applauds Tanzania's ban on child marriages


Africanews
Human Rights Watch applauds Tanzania's ban on child marriages
Africanews
Human Rights Watch (HRW) has applauded a landmark decision by a Tanzanian High Court which ruled that the marriages for girls and boys under age 18 was unconstitutional. The court ruled as unconstitutional sections 13 and 17 of the Tanzania Law of ...
New Laws in Tanzania Make Child Marriage a Punishable CrimeCare2.com
Dispatches: Tanzanian High Court Rules Against Child MarriageHuman Rights Watch
Tanzania: How the...

 

2 years ago

Bongo5

Human Rights Watch: Watoto milioni 1.5 wa Tanzania hawapo shuleni

Shirika lisilo la kiserikali ya Human Rights Watch linaloshughulikia haki za watoto na wanawake limetoa ripoti yake ambayo inadai kuwa takribani watoto milioni 1.5 wa Tanzania hawajapata haki yao ya elimu kutokana na changamoto zinazowakabili wao binafsi pamoja na familia zao.

Aidha ripoti hiyo ya taasisi hiyo yenye kurasa 98 iliyoandikwa na Elin Martinez ambaye pia ni mtafiti wa Human Rights Watch imesema asilimia 40 ya vijana wa hapa nchini hawapati elimu bora katika masomo yao ya elimu...

 

2 years ago

RFI

Human Rights Watch yasema Kenya inawalazimisha wakimbizi kurudi Somalia

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, linasema kuwarudisha nyumbani wakimbizi raia wa Somalia wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Daadad Kaskazini Mashariki mwa Kenya ni kinyume cha sheria na utaratibu wa Kimataifa.

 

3 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU WA ZANIZBAR, OMAR OTHMAN MAKUNGU AZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINAADAMU

Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria, Migombani mjini Zanzibar jana.
Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba..

 

8 months ago

RFI

Human Rights Watch yalaani kuzimwa kwa mitambo ya Vyombo vya Habari nchini Kenya

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yameishtumu serikali ya Kenya kwa kuzima mitambo ya vyombo vya Habari nchini humo na kuwanyima raia haki ya msingi, kufuatilia kuapishwa kwa kiongozi wa muungano wa upinzani Raila Odinga kuwa rais wa watu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani