Ripoti ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa ulipofikia kuanzia Januari hadi Aprili 2018

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Ujenzi wa Reli ya Kisasa (standard Gauge) itakayotumia umeme kuanzia Dar es saalm mpaka Morogoro

56

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amezindua na kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (standard Gauge) itakayotumia umeme kuanzia Dar es saalm mpaka Morogoro kwa gharama ya shilingi trilioni 2.8 fedha za Tanzania.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo Rais Magufuli amesema kuwa reli hiyo inayotarajiwa kujengwa katika kiwango cha kisasa na kimataifa itakuwa na spidi ya kilomita 160 kwa saa.

Aidha Rais Magufuli amesema kuwa Reli hiyo mbali ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA STANDARD GAUGE KUTOKA DAR HADI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI RELI YA KISASA ITAKAYOTUMIA UMEME SGR-KUTOKA MOROGORO HADI MAKUTUPORA- DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa itakayotumia umeme Standard Gauge (SGR) itakayotoka mkoani Morogoro hadi Makutupora Dodoma katika eneo la Stesheni ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke...

 

2 years ago

Channelten

Kampuni ya Reli yaanza ujenzi wa Reli ya Kisasa

screen-shot-2016-11-10-at-4-42-37-pm

Kampuni Hodhi ya rasilimali za reli nchini (RAHCO) imeanza utekelezaji wa ujenzi mkubwa wa reli ya kati ya kisasa kwa kiwango cha Standard Gauge, ukijumuisha maandalizi ya hatua za mwanzo, sanifu na kuwapata makandarasi, ambapo awamu ya kwanza ya ujenzi kutoka Dar es salaam kwenda Isaka na Mwanza imegawanyika katika awamu ndogo nne.

**Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Injiania Masanja Kadogosa, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwamba awamu hiyo ya kwanza itajumuisha...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Jionee ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la kisasa la abiria Airport Dar ( Terminal 3)

Mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ( TERMINAL 3) unaendelea ambapo Serikali imesema jengo hilo litakamilika ifikapo December 2017 na ni jengo litakalokua na uwezo wa kuhudumia Abiria milion 6 kwa mwaka. Kwenye hii video hapa chini utajionea sehemu ya […]

The post VIDEO: Jionee ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la kisasa la abiria Airport Dar ( Terminal 3) appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Mwananchi

Ujenzi reli ya kisasa kigugumizi

Licha ya wabunge kushinikiza ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge), Serikali jana imeendelea kusisitiza kuwa haiwezi kujenga reli hiyo kwa kutumia bajeti yake, huku akishikwa kigugumizi kueleza mpango ilionao kuhusu ujenzi huo.

 

3 years ago

Habarileo

Ujenzi reli ya kisasa kuanza

UJENZI wa reli ya kati ya kisasa (standard gauge) unatarajiwa kuanza kwa kilometa 1,219 na mchakato unaendelea ili kupata mzabuni.

 

2 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaanza kujenga reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro

Rais wa Tanzania John Magufuli leo hii ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa awamu ya kwanza ya mradi mkubwa wa reli ya kisasa ya Standard Gauge ambayo hapo baadae itaunganisha nchi za Rwanda na Burundi pia.

 

4 years ago

Mtanzania

Serikali yatenga trilioni 14/- ujenzi wa reli ya kisasa

samuelNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga Sh trilioni 14 kwa ajili ya kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha kisasa cha ‘Standard Gauge’, ambao utakuwa mradi mkubwa kutekelezwa na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema reli hiyo mpya itakuwa tofauti na nyingine na yenye uwezo wa kimataifa kutokana na kuchukua mabehewa ya ghorofa, ambapo itaanzia Dar es Salaam hadi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani