Risala ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu,(Picha na Ikulu.)
RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN YA RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
MHESHIMIWA...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kuwa na mashirikiano ya pamoja na kumcha Mwenyeezi Mungu

 

2 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka.

 

3 years ago

Michuzi

RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa Amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma na baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu. Picha na Ikulu, Zanzibar.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AKUTANA NA MFALME WA MOROCCO MTUKUFU MOHAMED VI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Mfalme wa Morocco,  Mtukufu Mohammed VI, (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Ujumbe wa Mfalme wakijumuika na Waislamu wengine wakiswali swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Unguja,Mfalme Mohammed VI yupo Nchini kwa ziara ya kibinafsi.Mfalme wa Morocco Mtukufu  Mohammed VI(kulia) akisalimiana na Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATOA PONGEZI KWA TIMU YA ZANZIBAR HEROES RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameendelea kutoa pongezi kwa timu ya Taifa ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’ kwa kuirudishia Zanzibar heshima yake na sasa imekuwa inasemwa vizuri kutokana na jinsi timu hiyo ilivyoonesha kiwango safi cha kusakata soka.


Dk. Shein aliyasema hayo leo huko katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar katika chakula maalum cha mchana alichowaandalia wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes pamoja na viongozi wake wote baada ya...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF ATEMBELEA MASOKO KUANGALIA UPATIKANAJI WA VYAKULA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia upatikanaji wa bidhaa hizo zinazotumika zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiulizia bei ya samaki aina ya vibua katika soko la Mombasa ambapo fungu moja linauzwa shilingi elfu tano. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN LEO AMETEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO ZANZIBAR

  STATE HOUSE ZANZIBAR

OFFICE OF THE PRESS SECRETARY

PRESS RELEASE

  Zanzibar                                                                 30.12.2015RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo ametembelea miradi ya Maendeleo ukiwemo mradi wa gati mpya pamoja na mradi wa maji safi na salama huko Wilaya ndogo Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja na kueleza kuwa ahadi zake zina lengo la kuwasaidia wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu.


Akizungumza na wananchi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani