Ronaldo apiga Hat Trick Madrid ikiinyosha Bayern 4-2 na Kutinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya

article-0-1D74970700000578-13_634x445

Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya imeendelea usiku wa jana kwa kuchezwa michezo miwili.

Cristiano Ronaldo ameendelea kudhihirisha yeye ni hatari baada ya kupiga hat trick wakati Real Madrid ikiitwanga Bayern Munich kwa mabao 4-2 na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Madrid inakwenda nusu fainali kwa jumla ya mabao 6-3 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mjini Munich na yote mawili ya Madrid yalifungwa na Ronaldo.
Kwa mabao hayo, maana yake Ronaldo amefikisha mabao 103 aliyofunga katika...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Atletico Madrid, Bayern zatinga nusu fainali

Michezo ya mwisho ya hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imechezwa usiku wa Jumatano na kushuhudiwa mabingwa watetezi wa kombe hilo, Barcelona wakitolewa nje ya mashindano hayo na Atletico Madrid.

Ikumbukwe mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa  Camp Nou, Barcelona waliibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja na katika mchezo wa jana wa marudiano Barcelona walipokea kipigo cha goli mbili kwa bila kutoka kwa Atletico Madrid.

Magoli ya Atletico Madrid yote mawili...

 

2 years ago

MillardAyo

Hat-trick ya Cristiano Ronaldo imeipeleka Real Madrid nusu fainali.

ttt

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 12 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya  Wolfsburgs kutoka Ujerumani ilisafiri kuelekea Hispania kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji wao  Real Madrid. Mchezo uliopita uliopigwa April 6 2016  Real Madrid walikuwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa […]

The post Hat-trick ya Cristiano Ronaldo imeipeleka Real Madrid nusu fainali. appeared first on...

 

2 years ago

Channelten

USIKU WA ULAYA; nani kutinga nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya.?

 

UCL

Mechi za Marudiano za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .

Manchester City watakuwa wenyeji wa Paris St-Germain katika dimba lao la Etihad na huko Santiago Bernabeu Real Madrid wako kwenye kibarua kigumu cha kugeuza kichapo cha 2-0 toka VfL Wolf-sburg walichokipata wiki iliyopita.

Madrid wataingia wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kipigio cha mabao mawili bila huku deni hilo lilimlenga Zine Dine...

 

3 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

3 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

3 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

1 year ago

Mwanaspoti

Waafrika waliopiga hat trick Ligi ya Mabingwa wa Ulaya

KUFUNGA hat trick siyo jambo la masikhara. Siyo kila mchezaji amefanikiwa kufunga mabao matatu ndani ya mechi yote. Kuna idadi ndogo sana ya wachezaji wa Afrika waliowahi kufunga hat trick katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya.

 

2 years ago

Bongo5

Matokeo ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya Messi na Ozil wapiga hat trick

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 19 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi, moja kati ya michezo ilikuwa ukitazamwa na wengi ni katiki ya Barcelona ambao walikuwa nyumbani walimdhalilisha kocha wao wa zamani Pep Guardiola kwa kumpa kichapo cha 4-0, Messi akipiga hat-trick, Arsenal nao waliiadhibu Ludogorets Razgrad ya Bulgaria 6-0, wakati Mesut Ozil nae akipata hat trick.

3988b82f00000578-0-image-m-36_1476921044768

Mlinzi wa Man city Claudio Bravo akilambwa kadi nyekundu huku pia mlinzi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani