Ronaldo auza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2013 Ballon d’or

cristiano-ronaldo

Nyota wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameuza tuzo yake ya mchezaji bora wa dunia mwaka 2013 (Ballon d’or). Ronaldo amesema dhamira yake ya kuuza tuzo hiyo ni kukamilisha hitaji la moyo wake ambalo ni kujitolea kusaidia watoto wenye magonjwa hatari.

Tayari tuzo hiyo imenunuliwa na tajiri aitwaye Idan Ofer kutoka Israel kwa kiasi cha €600,000 sawa na bilioni 1.583 za Kitanzania.

Ronaldo tayari ametwaa tuzo 4 za Ballon d’or ya kwanza ikiwa ni mwaka 2008 akiwa Manchester United, na...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Mchezaji bora wa dunia 2013

Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Christiano Ronaldo jana usiku alinyakua tuzo ya mchezajii bora wa soka wa fifa wa mwaka 2013.

 

5 years ago

GPL

NANI KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA (BALLON D'OR) LEO?

TUZO ya Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon d'Or) inatolewa leo jijini Zurich, Switzerland, lakini kitendawili kinabaki ni mchezaji gani kati ya hawa Christiano Ronaldo, Lionel Messi na Frank Ribery ataibuka na tuzo hiyo?

 

2 years ago

Dewji Blog

Listi ya wachezaji 30 wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2016 (Ballon d’Or)

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina ya wachezaji 30 ambao wanataraji kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia kwa mwaka 2016 maarufu kama Ballon d’Or.

Majina ya wachezaji ambao wanawania tuzo hiyo kwa mwaka huu imeongezeka kutoka 23 hadi 30 na Disemba, 13 yatatangazwa majina ya wachezaji watatu ambao wataingia katika kinyang’anyiro kwa kupigiwa kura na mshindi kupatikana.

Wachezaji 30 ambao wametajwa kuwania Ballon d’Or 2016 ni, Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick...

 

3 years ago

MillardAyo

List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa …

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi […]

The post List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa … appeared first on...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia

Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA.

Ronaldo, 31, amewapiku Lionel Messi wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid katika sherehe zilizofanyika mjini Zurich, Uswisi.

Ronaldo pia alishinda tuzo ya Ballon d’Or mwezi Disemba mwaka jana, kufuatia mafanikio yake katika Klabu Bingwa Ulaya akiwa na Real Madrid, na pia kushinda Euro 2016 akiwa na timu ya taifa ya Ureno.

Meneja wa Leicester City Claudio Ranieri ametajwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa).

 

5 years ago

GPL

CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA BALLON D'OR 2013

Christiano Ronaldo. MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2013 (Ballon d'O 2013) usiku huu jijini Zurich, Switzerland na kuwabwaga wenzake Lionel Messi na Frank…

 

2 years ago

Bongo5

Mchezaji wa Barcelona amtabiria Ronaldo kutwaa tuzo ya Ballon d’Or

Mchezaji wa zamani wa timu ya Barcelona, Hristo Stoichkov amedai kuwa Ronaldo anaweza akatwaa tuzo ya Ballon d’Or.

cristiano-ronaldo_amlzub6ckmtz1gg96ijpc475c

Hristo Stoichkov ambaye alifanikiwa kuichezea timu a Barcelona mara mbili tofauti kwa miaka saba na kucheza jumla ya mechi 175 na kufunga magoli 84, ameiambia radio ya Cadena Cope ya Hispania kuwa kutokana na umbile la Ronaldo anaweza akapewa tuzo ya Ballon d’Or.

“Griezmann is blowing everyone away and playing some spectacular football. But they’ll probably give it to Cristiano...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016

cristiano-ronaldo-wins-ballon-dor-2016-2017-hd-mp4-00_01_47_15-still001

Staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kushinda tuzo yake ya nne ya Ballon d’Or 2016, Ronaldo alikuwa akiwania tuzo hiyo huku mshindani wake mkuu akiwa ni Lionel Messi. ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

The post VIDEO: Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani