Ronaldo azindua nguo zake mpya

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, jana Machi 8 amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).

kwa mujibu wa tovuti ya mchezaji huyo, imeonyesha kuwa nguo hizo zinauzwa kuanzia kiasi cha Euro 17.95 ambazo ni takriban shilingi 49,778 za kitanzania hadi Euro 26.95 ambazo ni zaidi ya shilingi 74,766.

 

The post Ronaldo azindua nguo zake mpya appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Picha: Rihanna azindua nguo zake za Fenty For Puma Season 2

Rihanna ametimiza ahadi yake aliyoahidi mwezi uliopita kuwa ifikapo mwezi Septemba atazindua collection yake ya pili ya mavazi yake akishirikiana na kampuni ya Puma.

rrr

Muimbaji huyo ametimiza hilo baada ya kuzindua mavazi yake hayo yanayojulikana kama Fenty For Puma kwenye tamasha la mitindo la ‘Paris Fashin Week’ lililofanyika Jumatano hii kwenye ukumbi wa Hotel de Salomon De Rothschild, Ufaransa.

rr

Rihanna anaungana na msanii mwenzake Kanye West kutengeneza pesa za ziada kwenye fashion....

 

3 years ago

Bongo5

Video: Beyonce akitangaza nguo zake mpya ‘Ivy Park’

landscape-1459435078-beyonce4

Beyonce ametoa promo ya brand ya mavazi yake ya Ivy Park yatakayoingia sokoni April 14 akishirikiana na Topshop.

Mavazi hayo ambayo mengi ni kwaajili ya wanawake na kufanyia mazoezi yatauzwa kuanzia $30 hadi $200.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

2 years ago

Bongo5

Rihanna kuzindua nguo zake mpya mwezi Septemba mwaka huu

Brands create money. Mwanamuziki wa Marekani, Rihanna ametangaza tarehe atakayoachia nguo zake.

french-montana-remy-ma-fat-joe

Msanii huyo ambaye alisaini mkataba na kampuni ya Puma mwezi Disemba, 2014 ametangaza kuachia nguo zake mpya mwezi Septemba mwaka huu akishirikiana na kampuni hiyo.

“As Creative Director, @badgalriri fuses her independent approach to music and fashion with the sport-driven design of PUMA. The result is fearless. The collection drops in 15 days. Start the countdown… #FENTYxPUMA,” wameandika...

 

2 years ago

Bongo5

Kanye West apanga kuachia nyimbo mpya na nguo zake kwa kushtukiza

Rapper Kanye West anadaiwa kuandaa mashambulizi kwa ajili ya kuachia kazi zake mpya kwa kushtukiza.

Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa E! News, Kanye amekuwa katika hali nzuri kila siku tangu aliporuhusiwa hospitalini miezi miwili iliyopita lakini pia ana kazi chache ambazo anatarajia kuachia kwa kushtukiza ikiwemo kazi zake za mitindo pamoja na muziki.

“Kanye has a few surprise projects coming up that involves music and concerts in the spring and summer. Plus he is working on his fashion...

 

3 years ago

MillardAyo

Wolfsburg wameikatisha furaha ya Ronaldo iliyomfanya ashangilie akiwa kavaa nguo ya ndani

2592

Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa April 6 2016 kwa michezo miwili kupigwa, klabu ya Real Madrid ya Hispania ililazimika kusafiri kutoka Hispania hadi Ujerumani kucheza dhidi ya wenyeji wao Wolfsburg. Real Madrid ambao weekend iliyopita walikuwa na furaha ya kuifunga FC Barcelona 2-1 katika uwanja wa Nou […]

The post Wolfsburg wameikatisha furaha ya Ronaldo iliyomfanya ashangilie akiwa kavaa nguo ya ndani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Ronaldo kasherekea ushindi dhidi ya FC Barcelona akiwa na nguo ya ndani tu !!! (+Pichaz&Video)

1q

Baada ya uwepo wa tambo za mashabiki wa soka wa pande za Real Madrid na FC Barcelona kwa zaidi ya wiki moja kuhusu mchezo wa marudiano wa EL Clasico, usiku wa April 2 ilikuwa ni zamu ya kupata majibu ya tambo za mashabiki wa pande zote. Ukiachana na ushabiki, takwimu za karibuni za vilabu hivyo zilikuwa […]

The post Ronaldo kasherekea ushindi dhidi ya FC Barcelona akiwa na nguo ya ndani tu !!! (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

GPL

DAVIDO AZINDUA MRADI WA NGUO

Lagos, Nigeria MWIMBAJI Davido wa Nigeria amezindua mradi wa kuuza nguo ili kushindana na wauza nguo wengine nchini humo. Mwanamuziki huyo ameungana na makundi mengine ya wasanii na waendesha burudani ambao wamejikita katika mauzo ya nguo ili kuongeza vipato vyao mbali na muziki. Moja ya aina ya nguo aliyozindua Davido. Aina ya nguo alizozindua ni T-shirts ambazo amezipa jina la O.B.O.T.  Hii ni katika kutekeleza mafanikio yake...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Jux aingiza sokoni nguo zake za African Boy

1209720_1016120505112306_2017605717_n

Pamoja na kuonesha kitita cha $50,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 100 kwenye Instagram hivi karibuni, Jux hapunguzi speed za kuchase papers.

1209720_1016120505112306_2017605717_n

Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ aliyerejea China anakoendelea na masomo, ameingiza sokoni nguo za brand yake, African Boy.

10549656_922209281191884_1244900222_n

Hadi sasa t-shirt za kike na kiume pamoja na kofia za brand hiyo zimeshaingia sokoni. Hizi ni baadhi ya bidhaa hizo.

12237149_976300702440250_874251772_n

11326333_772185519554486_1666503124_n

11421983_982519548452909_174208484_n

11881803_1526338167683049_2126671777_n

12106291_185219581818718_1360584433_n

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ronaldo azindua sanamu yake

Cristiano Ronaldo amezindua sanamu yake ya kumuenzi kwa mafanikio yake, katika mji aliozaliwa wa Funchal kwenye Kisiwa Madeira.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani