Sababu ya Ronaldo kuorodheshwa wa 49 duniani katika thamani ya wachezaji

Cristiano Ronaldo amefunga mabao 58 miaka miwili iliyopita na kuwasaidia Real Madrid kushinda Kombe la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mara mbili mtawalia na pia La Liga mara moja.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

BBCSwahili

Neymar, Lionel Messi na Harry Kane: Wachezaji wa thamani ya juu zaidi duniani watajwa

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, 32, aliyetawazwa mchezaji bora zaidi wa kiume duniani na Fifa 2017 yumo nafasi ya 49 kwenye orodha hiyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Ronaldo na Messi ndio wanasoka pekee walioingia katika TOP 10 ya wanamichezo matajiri duniani

proxy

Forbes wametoa list ya wanamichezo 100 matajiri duniani, kwa upande wa TOP 10 mchezo wa soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela nyingi, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi pekee ndio wamefanikiwa kuwa na utajiri uliowafaya waingie TOP 10. Ronaldo ndio ameongoza katika list ya wanamichezo matajiri duniani kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 […]

The post Ronaldo na Messi ndio wanasoka pekee walioingia katika TOP 10 ya wanamichezo matajiri duniani appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

TOP 5: Wachezaji bora wa Laliga katika historia, Ronaldo hayumo hata Top 20

messi

Moja kati ya habari zinazo-trend katika soka leo October 9 2016 ni kuhusiana na list ya wachezaji bora wa muda wote wa LaLiga, kituo cha uchunguzi, histoaria na takwimu za soka Hispania  (CIHEFE) kimetaja majina ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ya LaLiga. Licha ya kuwa utafiti huo wa CIHEFE uliotaja list hiyo […]

The post TOP 5: Wachezaji bora wa Laliga katika historia, Ronaldo hayumo hata Top 20 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon Dor)

neymar-fc-barcelona-2013-2014

Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.

Na Rabi Hume

Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...

 

4 years ago

BBCSwahili

Ronaldo ana thamani ya pauni milioni 300

Imeelezwa kuwa Ronaldo ana thamani ya Pauni 300 iwapo ataamua kuihama Real Madrid

 

2 years ago

BBCSwahili

Neymar awapiku Messi, Ronaldo na Pogba kwa thamani

Neymar ndio mchezaji mwenye thamani ya juu barani Ulaya akiwa na pauni milioni 216 kulingana na utafiti mpya ambao pia unatoa thamani ya wachezaji kumi walio na thamani ya Yuro milioni 100

 

3 years ago

MillardAyo

Shirika la Afya Duniani limetoa hii Top Ten ya sababu zinazoongoza kwa vifo duniani

hospital

Shirika la Afya Duniani lilikusanya taarifa za sababu za vifo mwaka 2012 na kuzifananisha na sababu kubwa za vifo mwaka 2000. Magonjwa ya moyo yamekuwa ni sababu kubwa ya vifo duniani kwani vimesababisha vifo vya watu milioni 7.4 mwaka 2012. Magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile shambulio la moyo, saratani na kisukari yamesababishwa 68 % ya vifo […]

The post Shirika la Afya Duniani limetoa hii Top Ten ya sababu zinazoongoza kwa vifo duniani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Mchango wa Ronaldo kwa familia za wachezaji wa Chapocoense waliyopata ajali

12r

Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia. Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha huku 72 kati ya hao walikuwa ni sehemu ya msafara wa timu hiyo na […]

The post Mchango wa Ronaldo kwa familia za wachezaji wa Chapocoense waliyopata ajali appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ronaldo amponda Benitez, amsifia Zidane kuwa anakubalika na wachezaji wote

cronaldo-e1443289001946

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Staa wa Real Madrid na mshindi wa pili katika tuzo za Ballon d,or 2015, Cristiano Ronaldo (pichani) ameweka wazi kuwa kocha mpya wa timu hiyo, Zinedine Zidane anaeleweka na wachezaji wa klabu hiyo kuliko kocha aliyekuwepo awali, Rafa Benitez.

Akizungumza baada ya mchezo wa ligi kuu ya Hispania dhidi Sporting de Gijon, Ronaldo alisema tangu nafasi ya kocha kuchukuliwa na Zidane kumekuwepo na mabadiliko katika klabu hiyo hali inayochangia kupata ushindi mkubwa katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani