SABABU ZA MAANDAMANO YA MANGE KIMAMBI KUTOFANYIKA TANZANIA

Polisi waliwatia mbarani watu 40 wanaodaiwa kushiriki kwenye maandamano wiki iliyopita nchini Tanzania

Maandamano ya kitaifa yaliyopangwa nchini Tanzania, hayakufanikiwa kutokea leo baada ya Polisi kuwaonya waandamanaji kutoingia barabarani.
Polisi jijini Dar es Salaam imethibitisha kukamatwa kwa watu kumi na moja kwa tuhuma za kushiriki maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima yenye lengo la kupinga utawala wa Rais John Pombe Magufuli.
Hayo yamethibitishwa na kamanda wa kanda maalumu ya...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

WAWILI WAKAMATWA KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO YA MANGE KIMAMBI TANZANIA

Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limewakamata na kuwawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii yanayotarajiwa kufanyika April 26 mwaka huu.
Kamanda wa polisi wa mkoa Dodoma Gilles Muroto amesema watu hao wamekua wakisambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuandamana huku wakijua ni kosa kisheria.
Aidha Kamanda Mruto ametoa wito kwa watu kutofuata mkumbo kuhamasisha watu kufanya maandamano kwani ni kosa kisheria na kuwa yeyote ambaye...

 

1 year ago

BBCSwahili

Sababu za maandamano ya Aprili 26 kutofanyika Tanzania

Watu 11 wamekamatwa kwa kwa tuhuma za kufanya maandamano jijini Dar es salaam.

 

1 year ago

Malunde

MRISHO GAMBO AUMIZWA MBUNGE LEMA KUSUSIA MWALIKO WAKE....APONDA MAANDAMANO YA MANGE KIMAMBI

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo amefunguka na kuwaomba viongozi wa CHADEMA jijini humo akiwepo Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema pamoja na Meya wa Jiji la hilo, Calist Lazaro kushirikiana na serikali.

Mrisho Gambo amesema hayo baada ya jana Machi 24, 2018 viongozi hao wa CHADEMA ambao anadai walikuwa wamealikwa kushiriki katika zoezi la utoaji wa mikopo kwa kina mama kutotokea kwa kuwa zoezi hilo lilikuwa likisimamiwa na serikali.

"Nipenda kutumia fursa hii kuwaomba viongozi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Meneja Tanesco ametakiwa kufanya uchunguzi kumbaini mtumishi aliye hamasisha maandamano Mange Kimambi

Meneja Tanesco Mkoa wa Pwani, Martin Madulu ametakiwa kufanya uchunguzi kumbaini mtumishi wa shirika hilo, aliyemtaka mkazi wa Kibaha kushiriki katika maandamano ya Mange Kimambi, Aprili 26 ndipo apate umeme.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu Machi 26 katika Mtaa wa Sagale, Magengeni, Kata ya Viziwaziwa, Kibaha baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa mkazi wa eneo hilo, Bebronia Meteli.

Meteli alitoa malalamiko hayo katika mkutano wa hadhara akilalamika kuwa...

 

1 year ago

Malunde

JESHI LA POLISI TANZANIA LAMPONGEZA MANGE KIMAMBI...

Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ametoa wito kwa vijana kuacha ushabiki bila kuchunguza madhara yake.
Kamanda Mambosasa ameyasema hayo mapema leo wakati akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam ambapo amesema mnamo Aprili 26, 2018 Jeshi la Polisi liliwakamata vijana ambao walikuwa kwenye maandalizi ya maandamano ambayo yalihamasishwa kwa njia ya mtandao na mwanadada Mange Kimambi lakini baada ya muda mfupi alianza kuipongeza serikali.
"Nawasihi vijana mnaotumia...

 

1 year ago

Malunde

MBUNGE GODBLESS LEMA AZUNGUMZIA HARAKATI ZA MANGE KIMAMBI KUHUSU TANZANIA

Mbunge wa Arusha Mjini CHADEMA Mhe, Godbless Lema amefunguka na kuweka wazi kuwa kama chama cha siasa hakiwezi kufundisha watu wake kufanya siasa za kuleta fujo bali uvunjifu wa amani, uonevu ni vitu ambavyo vinaweza kuwafanya watu wapiganie haki zao.
Lema amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya CHADEMA na kusema kuwa wapo watu wengi ndani ya CHADEMA na nje ya CHADEMA ambao wamekuwa wakilia na kuumia na mambo yanayoendelea nchini ndiyo maaana hata mwanaharakati...

 

2 years ago

Bongo Movies

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi

Alikiba, Mange Kimambi na Ommy Dimpoz

Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na kusema anashukuru sana kuona anapenda kazi zake na kumpa nguvu katika kazi zake hizo kwa kutoa ‘support’.

“Ni kama shabiki wangu na...

 

1 year ago

Malunde

MANGE KIMAMBI AIBUKIA TARIME

Mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha (CHADEMA) ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha polisi kutaka kuzuia mkutano wa Mbunge wa Tarime Vijijini CHADEMA, Mhe. John Heche kwa kile kinachodaiwa kuhofia maandamano yanayoratibiwa na Mange Kimambi.
Mara Ryoba amesema kuwa polisi wamekuwa na upendeleo kwa kuwa wanaona watu wa CCM wakiendelea kufanya maandamano na mikutano ya kisiasa ili hali watu wa upinzani wakizuiliwa. 
"Haki huinua taifa; bali dhambi ni aibu ya watu wote. Nimepata taarifa...

 

2 years ago

Malunde

IGP SIRRO KUMSHUGHULIKIA MANGE KIMAMBI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amefunguka na kusema kuwa jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwanadada Mange Kimambi na kusema kuwa jeshi la polisi linashughulikia suala hilo.

IGP Sirro amesema hayo jana alipokuwa mjini Iringa kwenye ziara ambapo alisema kuwa jeshi la polisi linatambua uvunjifu wa sheria ya makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada huyo maarufu mitandaoni ambaye amekuwa mkosoaji wa mambo mbalimbali na kutoa machapisho...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani