Sakata la Lugumi bado halijachacha

Sakata la mkataba baina ya Kampuni ya Lugumi Enterprises na Jeshi la Polisi, halijafa; ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeliibua ikionyesha madoa lukuki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Kova aibuka sakata la Lugumi

Kamishi-wa-Kanda-Maalu-ya-Dar-Es-Salaam-Suleiman-Kova-akitoa-ufafanuzi-juu-ya-kifo-cha-Sista-kilichotokea-jana-maeneo-ya-Ubungo-kwa-kuuwawa-na-Majambazi-600x360Kamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

Stori: Ojuku Abraham,
UWAZI
DAR ES SALAAM: Kamanda Mstaafu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (pichani) ameibuka kufuatia ‘kubumburuka’ kwa sakata linalomhusu mfanyabiashara Said Lugumi, anayemiliki kampuni ya Lugumi Enterprises inayodaiwa kuingia mkataba tata na Jeshi la Polisi Tanzania.

Mkataba kati ya Lugumi Enterprises na jeshi hilo ulisainiwa mwaka 2011, ulihusu kufungwa kwa vifaa vya kuchukulia...

 

2 years ago

Mwananchi

Sarakasi ya sakata la Lugumi yaendelea

Sarakasi juu ya mkataba tata wa Lugumi Enterprises na polisi umechukua sura mpya baada ya uongozi wa kampuni hiyo kujitokeza jana na kutoa taarifa ‘kiduchu’ ya kilichomo ndani yake huku ukidai kwamba mambo mengi yanayoelezwa sasa ni uzushi.

 

2 years ago

Mwananchi

Bunge lakana sakata la Kampuni ya Lugumi

Wakati sakata la Kampuni ya Lugumi kudaiwa kushindwa kutekeleza mradi wa utambuzi wa vidole kwenye vituo polisi likipamba moto, Bunge limekana uwapo wa maagizo ya Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) kupeleka mkataba baina yake na kampuni hiyo.

 

2 years ago

Mwananchi

Chadema wamgeukia Majaliwa sakata la Lugumi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema uzito wa Rais John Magufuli kumwajibisha Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kutokana na kutajwa kuhusika na Kampuni ya Lugumi inayodaiwa kulitapeli Jeshi la Polisi, utasababisha waanze harakati za kumng’oa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

 

2 years ago

Mwananchi

Sinema sakata la Lugumi sasa vituoni

Wakati sakata la kampuni ya Lugumi Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita.

 

2 years ago

Habarileo

Utata zaidi sakata la Lugumi, PAC yafafanua

BUNGE la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, limetoa ufafanuzi kuhusu zabuni iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini kwa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd yenye thamani ya Sh bilioni 37, inayodaiwa kuwa na harufu ya ufisadi.

 

2 years ago

Global Publishers

Wabongo Wataja Njia 3 za Kumaliza Sakata la Lugumi

magufuli1Rais John Pombe Magufuli.

DAR ES SALAAM: Sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises inayomilikiwa na Said Lugumi (pichani) kudaiwa kuingia mkataba tata wa mabilioni ya shilingi wa kufunga mashine za kutambua alama za vidole kwenye vituo vya polisi nchini, limeingia mitaani huku baadhi ya Wabongo wakitaja njia 3 za kumaliza ishu hiyo.

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti, baadhi ya wananchi walionesha shaka yao kuhusu sakata la Lugumi kuwa gumzo likiumiza vichwa vya wabunge kama vile...

 

2 years ago

Global Publishers

Mjadala wa Sakata la Lugumi Bungeni wazikwa rasmi

tuliaKiu ya wabunge kujadili sakata la utekelezwa mbovu wa mkataba baina ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enteprises Limited, imezimwa baada Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kuiagiza Serikali kukamilisha utekelezaji wa mradi huo ndani ya miezi mitatu ijayo.  Kwa muda mrefu, wabunge walikuwa wakisubiri ripoti ya uchunguzi kutoka Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC) ili waweze kujadili kwa kina sakata hilo linalohusisha mradi wa Sh37 bilioni wa kufunga vifaa vya kielektroniki vya...

 

2 years ago

MillardAyo

Kamati ya Bunge ya Mambo ya Ndani wameyapendekeza haya kuhusu sakata la Lugumi

NEWS

May 16 2016 Sakata la Mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises lilitarajiwa kujadiliwa bungeni wakati wa mjadala wa Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  Kamati ya Bunge Wizara ya Mambo ya Ndani imependekeza suala la Mkataba huo unaohusisha ufungwaji mashine za alama za vidole ‘fingerprint’ usijadiliwe bungeni na badala […]

The post Kamati ya Bunge ya Mambo ya Ndani wameyapendekeza haya kuhusu sakata la Lugumi appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani