SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KUFUATIA AJALI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WANAFUNZI 32 HUKO KARATU

Watanzania wenzangu,  ninaungana na Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, pamoja na Mheshimiwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kutoa pole nyingi sana kwa uongozi wa shule ya Lucky Vicent pamoja na wazazi wa watoto waliopoteza maisha kwenye ajali ya jana. 
Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Tunamuomba Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amina. 
Mhe. Kassim Majaliwa (MB.)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS JAKAYA M.KIKWETE NA WAZIRI WA UCHUKUZI MHE MWAKYEMBE NA MKUU WA MKOA WA MARA KWA AJALI MBAYA YA BASI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 40


Chama cha Ujenzi wa Taifa cha NRA ,(National Reconstruction Alliance); kinatoa salamu za pole/rambirambi kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Jakaya Kikwete, Waziri za Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mara na Wafiwa kwa ajali mbaya ya Basi iliyopelekea kupotea kwa maisha ya watanzania zaidi ya 40, akiongea kwa njia ya simu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani  kigoma Naibu KATIBU MKUU NA KATIBU MKUU wa BODI ya chama Mhe Hassan Kisabya (pichani) , ametoa salamu hizo kwa niaba ya Chama...

 

2 years ago

Michuzi

UPDATE: TAARIFA YA KAMANDA WA POLISI MKOANI ARUSHA KUFUATIA AJALI YA GARI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WANAFUNZI ZAIDI YA 30 HUKO KARATU LEO


Zoezi la uokoaji kwa wanafunzi hao likiendelea. 
Zoezi la uokoaji likiendelea. 
 Majina ya Baadhi ya wanafunzi waliotambulika mpaka sasa.

 

2 years ago

Michuzi

UWT YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA VIFO VYA WANAFUNZI NA WALIMU KARATU

imagesUmoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umepokea kwa majonzi na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu 36 ambao ni wanafunzi 33, walimu wawili na dereva wa gari la shule ya msingi Lucky Vicent ya Arusha vilivyotokea jana tarehe 6 Mei 2017 katika ajali ya gari katika eneo la Rhotia Marera Wilayani Karatu, Arusha. Katibu Mkuu wa UWT Ndg Amina Makilagi ametoa salamu za pole na rambi rambi kwa familia, wazazi, ndugu na walezi waliopoteza wapendwa wao hasa watoto wadogo waliokuwa wakilelewa kuwa...

 

2 years ago

Malunde

RAISI MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA BASI KARATU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha vilivyotokea leo saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.Wanafunzi na walimu hao walikuwa wakitoka shuleni kwao kwenda shule ya msingi iitwayo Tumaini kwa ajili ya kufanya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani