Samatta si wa Mchezo Mchezo, Aibeba Stars, Atupiamo Dakika 3 za Mwanzo na 3 za Mwisho

MSHAMBULIAJI wa anayeiwakilisha Tanzania Kimataifa kutoka Klabu inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji na Europa League, KRC Genk, Mbwana Ally Samatta ameibeba Taifa Stars baada ya kuongoza jahazi na kufanikiwa kutupia bao mbili za kwake wakati Taifa Stars ikiichapa Botswana bao 2-0.

Katika mchezo huo wa kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Samatta alitupia bao hizo kunako dakika ya 3 na ya 87 ya mchezo huo huku akionesha kiwango bora cha...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

Samatta aibeba Stars ikitoka sare na Malawi 1-1

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo imegawana pointi na timu ya Malawi baada ya sare ya bao 1-1 kwenye mchezo ambao umepigwa kunako Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Bao la Stars limefungwa na Mbwana Samatta akisawazisha bao baada ya kupokea pasi safi ya Ngassa kunako dakika ya 76.Malawi walipata bao katika dakika ya 4 kupitia kwa Esau Kanyenda kufatia mpira wa Kona baada ya Kipa Mwadini Ally akapangu mpra na kuangukia miguuni mwa mchezaji wa Malawi ambaye hakufanya makosa .
Katika...

 

1 year ago

Mwananchi

Mashabiki wavunja mchezo dakika ya 88

Mchezo kati ya Ivory Coast na Senegal umelazimika kumalizika dakika ya 88 baada ya mchezaji kuvamiwa kwa mtindo wa rugby na mashabiki walioingia uwanjani na kuwasumbua wachezaji.

 

5 months ago

Malunde

Video ya asili : EMMASON - NIELEZE MARIA ...WANENGUAJI SIYO WA MCHEZO MCHEZO...BALAA

Ninayo ngoma nyingine ya asili kutoka kwa Emmason,wimbo unaitwa Nieleze Maria...Hii video balaa,wanenguaji hawa siyo wa mchezo mchezo.
Tazama hapa chini

 

1 year ago

Bongo5

Picha: Harmorapa si wa mchezo mchezo, aonyesha mahela mtandaoni

Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni.

Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii zimesambaa picha mtandaoni akionyesha kinachompatia jeuri.

Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa rapa huyo yupo chini ya wafanyabiashara wakubwa jiji Dar es salaam.

Rapper huyo hivi karibuni aliachia wimbo mpya ‘Usigawe...

 

2 years ago

MillardAyo

Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)

Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa. Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na […]

The post Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

Global Publishers

#GlobalCelebrityUpdates: Trevor Noah Sio Wa Mchezo Mchezo! Hii Ndio Nyumba Yake Mpya Ya $10 Million – (Pichaz)

Trevor Noah sio wa mchezo mchezo! Akiendelea kukitendea haki kipindi cha The Daily Show, haya ndio maisha anayoishi mchekeshaji huyo nchini Marekani kwa sasa.

Trevor Noah amenunua nyumba aina ya ‘Penthouse’ maeneo ya Midtown Manhattan nchini Marekani yenye thamani ya $10 Million ambayo kwa pesa ya hapa nyumbani ni zaidi ya shillingi Milioni 200 za Kitanzania. Kwa mujibu wa mtandao wa WSJ awali nyumba hiyo ilikuwa inauzwa kwa $11.5 million kabla ya bei kushuka.

Ndani ya nyumba hiyo kuna...

 

2 years ago

MillardAyo

Simba imeiadhibu Mbao FC dakika nne kabla ya mchezo kuisha

img_4531

Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 iliendelea tena Alhamisi ya October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Mchezo wa Simba na Mbao FC umekuwa tofauti na ulivyokuwa unatarajiwa na wengi kuwa Mbao […]

The post Simba imeiadhibu Mbao FC dakika nne kabla ya mchezo kuisha appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Habarileo

Magufuli kuishangilia Stars mwanzo mwisho

RAIS wa Awamu ya Tano nchini, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mmoja wa mashabiki watakaoipa nguvu timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumamosi.

 

2 years ago

Channelten

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo

 

golf

Chama cha mchezo wa gofu nchini ‘TGU’ kimeandaa mkakati maalum wa kuhakikisha kinawaelimisha makocha na nyota wa mchezo huo ‘Maprofessionals’ nchini ili waweze kufikia viwango vya kimataifa.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa chama hicho Joseph Tango wakati wa mahojiano na channel ten mara baada ya kukamilika kwa kliniki maalum ya mchezo wa gofu kwa vijana iliyokuwa ikiendeshwa nchi nzima na mtaalam wa mchezo huo kutoka makao makuu ya chama cha gofu ulimwenguni Norman Mashaba ambaye ni Raia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani