Sauti fupi ya maneno ya Polisi walipovamia mkutano shule ya Lucky Vicent

Jana May 18 2017 Polisi walivamia mkutano ulioongozwa na Meya wa Arusha, Shule binafsi za Arusha, Madiwani na viongozi wa dini wa kukabidhi rambirambi walizochanga kwa ajili ya kukabidhi mkono kwa mkono kwa zile familia zilizopatwa na msiba. Sauti ya Polisi walivyoingia na walichosema cha kwanza ilinaswa kwenye vyombo vya Waandishi wa habari kutokana na vyombo hivyo […]

The post Sauti fupi ya maneno ya Polisi walipovamia mkutano shule ya Lucky Vicent appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

MillardAyo

Ndani ya mkutano Lucky Vicent Arusha kabla ya Polisi kuvamia (+video fupi)

Leo May 18 kwenye shule ya Lucky Vicent Arusha, Polisi walivamia mkutano ulioongozwa na Meya wa jiji hilo akiambatana na viongozi wa dini, Madiwani na Waandishi wa habari ambao Meya alidai lengo lake ni kukabidhi rambirambi walizozichanga wao kutokana na msiba wa ajali ya Wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent. Wakati viongozi hao wakiendelea kuhojiwa na […]

The post Ndani ya mkutano Lucky Vicent Arusha kabla ya Polisi kuvamia (+video fupi) appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

Mwananchi

Mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent aendelea kushikiliwa na Polisi

Jeshi la Polisi mkoa hapa linaendelea kumshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, Innocent Mosha kutoka na tuhuma za gari lake kuzidisha idadi ya abiria na  kusababisha ajali iliyogharimu maisha ya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Polisi Arusha waeleza chanzo cha vifo katika ajali ya basi la Shule ya Lucky Vicent

Ajali ya basi la Shule ya Lucky Vicent iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha na kusababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja vifo hivyo vingeweza kupungua kama kama basi hilo lingekuwa na mikanda na kila mmoja akaufunga kabla ya kuanza safari.

Kamanda wa Polisi Msaidizi wa Mkoa wa Arusha, Yusuf K Ilembo amesema kuwa wengi waliofariki katika ajali ile ni kutokana na kuumia ndani ya mwili kulikosababishwa na kugongana wakati ajali...

 

11 months ago

Mwananchi

Shule ya Lucky Vicent yafunguliwa

Arusha. Shule ya Lucky Vincent ya jijini hapa imefunguliwa baada ya mapumziko ya wiki moja. Shule hiyo ilifungwa  baada gari la shule hiyo kupata ajali na kusababisha  vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva wao huku wengine watatu wakijeruhiwa.

 

11 months ago

Mwananchi

Ukimya watawala shule ya Lucky Vicent

Arusha.Wakati wanafunzi  watatu majeruhi katika ajali ya basi la shule ya Lucky Vicent  wakienda kwa matibabu nchini Marekani wanafunzi waliobaki shuleni leo wataendelea na masomo huku kukiwa na ukimya shuleni hapo.

 

12 months ago

Mwananchi

Shule ya Lucky Vicent yafungwa, Lema afika kutoa pole

Shule ya Lucky Vicent imefungwa kwa siku saba kufuatia vifo vya wanafunzi wake 32 vilivyotokea kwenye ajali ya gari jana Karatu. Kutokana na ajali hiyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na wabunge wengine wa Chadema wamefika shuleni hapo kutoa pole.

 

11 months ago

Mwananchi

Lucky Vicent shule kinara iliyoacha vilio kwa Taifa

Mwaka mmoja wa furaha ya walimu, wazazi na wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent kushika nafasi ya kwanza Mkoa wa Arusha, imepotea ghafla.

 

11 months ago

Mwananchi

Majeruhi wa Shule ya Lucky Vicent kupelekwa Marekani kwa matibabu

Jopo la madaktari bingwa wa Shirika la Stemm la Marekani kwa kushirikiana na Serikali, limeamua kuwapeleka  Marekani kwa matibabu majeruhi watatu  wa ajali ya wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent iliyoua wanafunzi 32, walimu wawili na dereva.

 

11 months ago

Mwananchi

Mmiliki wa Lucky Vicent, makamu mkuu wa shule waachiwa kwa dhamana

Mmiliki wa shule ya msingi Lucky Vincent,Innocent Mosha amefikishwa mahakamani leo  mjini hapa kujibu makosa manne  yaliyosababishwa na  ajali ya basi lake lililouwa watu 35 wakiwamo wanafunzi 32.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani