SDA YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO

JOSEPH MPANGALA -MTWARAShirika la msaada wa  maendeleao ya Michezo SDA Mkoa wa Mtwara Limefanikiwa kutoa Mafunzo pamoja na Vifaa vya michezo kwa Shule Mbili za Msingi Libobe Pamoja na Sekondari zilizopo Kijiji cha Libobe Kilichopo Wilaya na Mkoa wa Mtwara.Mafunzo hayo yamelenga Kujenga uwezo kwa wanafunzi hasa wa kike katika maswala ya Afya Kupitia Michezo pamoja na kujua haki zao ili kuweza kujiamini katika kutoa maamuzi mbalimbali ya maisha yao.Meneja Mradi wa Mradi wa Kuwezesha wasichana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO VYA TAMASHA LA MZIKI MNENE.

 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati kampuni ya Vodacom Tanzania ilipokabidhi vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya tamasha la Mziki Mnene litakaloanza kufanyika katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. Wengine pichani ni waratibu wa tamasha hilo litakaloendeshwa na kituo cha redio cha Efm, Dennis Busulwa maarufu Ssebo (kulia) na Gerald Hando. Meneja Uhusiano wa Vodacom...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel yakabidhi vifaa vya michezo

 Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya soka ya vijana wa TFF Ayoub Nyenzi  kwa ajili ya mashindano ya Airtel Rising Stars yanayotariwa kuanza kutimua vumbi ngazi ya mkoa Jumapili ijyayo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jana jijini Dar-es-Salaam.·          Saidi Meck Sadiki mgeni ramsi ufunguzi Jumapili.
Airtel Tanzania Jana Alhamis Julai 24, 2014 imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu 18 za wavulana zinazoshiriki...

 

3 years ago

Michuzi

Airtel yakabidhi vifaa vya michezo vya thamani ya Milioni 200 kwa maendeleo ya soka la vijana

Kampuni ya simu za mikononi Airel Tanzania leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu zikaoshiriki michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ngazi ya mkoa ambayo inatarajiwa kuanza Julai 30 mpaka Agosti 30 2016 kwenye mikoa tofauti hapa nchini.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya milioni 200 vimekabidhiwa kwa Wasimamizi wa vituo vyote vya mikoa na Taifa. Vifaa hivyo hivyo ni pamoja na jezi za wachezaji, shin guards, soksi, jezi za marefa, mipira pamoja na glovu.
Akizungumza wakati wa...

 

4 years ago

GPL

LAPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MANISPAA YA KINONDONI

Isaya Mwakifulefule akikabidhi vifaa. Wajumbe wa Bodi ya Manispaa ya Kinondoni wakikabidhiwa vifaa vya michezo kwa timu ya Kinondoni. Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Musa Nati, akizungumza kabla ya kukabidhiwa vifaa vya michezo na Mfuko wa Pensheni wa…

 

4 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI


Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

4 years ago

Michuzi

CRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.
Mtanange wa viongozi hao unatarajiwa kufanyika Oktoba 12, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuadhimisha siku ya amani duniani.
Akizungumza wakati wa kukabidhi jezi na hundi ya sh. milioni tano  ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya wateja, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,...

 

2 years ago

Channelten

Vodacom yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu nane

screen-shot-2016-11-09-at-4-18-36-pm

Kampuni ya mawasiliano ya vodacom,  imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu nane za vyuo vya elimu ya juu ya Dar es Salaam kwa ajili ya mashindano yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Mashindano hayo ya siku mbili yanatarajiwa kufanyika jumamosi na jumapili hii, ambapo yatajumuisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na mpira wa kikapu.

Jacqueline Materu ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano  wa vodacom, akiwa pia ndiye aliyeongoza zoezi la kukabidhi vifaa hivuo amesema lengo...

 

2 years ago

Dewji Blog

Benki ya Standard Chartered yakabidhi vifaa vya michezo kwa Coca Cola, Mwananchi

Benki kongwe nchini Standard Chartered imekabidhi vifaa kwa timu za Mwananchi Communication Limited na Coca cola kwa ajili ya mashindano ya ya Kombe la Standard Chartered 2017 (Road to Anified) yaliyopangwa kufanyika Jumamosi, kwenye viwanja vya JMK Park Kidongo Chekundu.

Mbali ya kutafuta washindi wa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Afrika Mashariki, mashindano hayo pia ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 100  tangu benki hiyo kuanzishwa mwaka 1917.

Akizungumza na waandishi wa...

 

3 years ago

Michuzi

PSPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA MAGEREZA UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi seemu ya vifaa vya michezo, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Rajabu Nyange Bakari, Agosti 25, 2016. Vifaa hovyo ni vya michezo ya ngumi, mpira wa miguu na mpira wa pete. 
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umekabidhi vifaa vya michezo kwa wanamichezo wa Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam na kasha kufuatiwa na PSPF bonanza la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani