Seif aipinga ZEC, ataka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakubaliani na maamuzi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo yote ya uchaguzi na kuahirisha uchaguzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

RFI

Upinzani Tanzania kuendelea na maandamano yao, waomba Jumuiya ya Kimataifa kuingilia

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesisitiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika September Mosi mwaka huu, yako pale pale na kwamba hawana nia ya kusitisha mkakati wao.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tundu Lissu aitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati Tanzania

Mnadhimu mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema Bw Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali.

 

3 years ago

Mwananchi

Lipumba aibukia ofisi za CUF, ataka JK aingilie kati suala za ZEC

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar  (ZEC ) kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa uliofanyika Zanzibar ili kuipusha nchi kuingia katika machafuko.

 

4 months ago

RFI

Uhusiano kati ya Tanzania na jumuiya ya kimataifa matatani

Serikali ya Tanzania imelaani kile ilichokiita "propaganda inayoendelea" baada ya Marekani kuwataka wananchi wake kuwa waangalifu nchini Tanzania. Hali ambayo inaonyesha sintofahamu katika utawala wa Rais Magufuli.

 

2 years ago

Channelten

Palestina yaitaka jumuiya ya kimataifa ihimize mchakato wa amani kati yake na Israel

1

Msemaji wa Ikulu ya Palestina ametoa taarifa akiitaka jumuiya ya kimataifa itumie fursa kuhimiza mchakato wa amani kati yake na Israel.
Taarifa inasema rais Mahmoud Abbas wa Palestina kesho atakutana na mwenzake wa Marekani Donald Trump, ambapo atasisitiza umuhimu wa haki na amani kwenye kushughulikia suala hilo katika msingi wa “ufumbuzi wa kuwepo kwa nchi mbili” na pendekezo la amani la nchi za kiarabu.

Habari nyingine zinasema, Kundi la Hamas limetoa waraka mpya wa kisiasa, likieleza...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali afungua Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei Bay Mjini Haikou Jimboni Hainan.  Gavana wa Jimbo la Hainan Bwana Jian Dingzhi akitoa neno la makaribisho kwa wajumbe wa mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel i& SuitesShiney Bay Mjini Haikou. Meya Wa Manispaa ya Zanzibar...

 

3 years ago

Channelten

WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni

kilimo-cha-tumbaku

WAKULIMA wa tumbaku mkoani Iringa wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati kutatua mgogoro kati yao na makampuni ambayo wanadai awali yalifanya makubaliano ya kununua tumbaku kutoka kwa wakulima kwa msimu wa kilimo wa 2016/17 lakini baadaye yakavunja makubaliano hayo.

Wakulima hao kutoka vyama vya msingi vya ushirika kutoka wilaya ya Iringa wametoa kilio hicho kupitia walaka ambao wamemkabidhi mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela ambapo wamesema ktk msimu huu wa kilimo wa...

 

2 years ago

Habarileo

RC aombwa kuingilia kati mgogoro

WANANCHI wa Kata ya Tingatinga iliyopo wilayani Longido mkoani Arusha, wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu wa malisho kati yao na mwekezaji wa shamba la Ndarakwai.

 

4 years ago

BBCSwahili

Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati

Rais wa Yemen ameliomba baraza la usalama la umoja wa mataifa kuidhinisha hatua za kijeshi dhidi ya kundi la waasiwa houthi

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani