Seleman Matola apata jeuri baada ya kutoka sare na Simba

Seleman Matola ambaye ni Kocha wa Lipuli FC, amesema kuwa jeuri ya kikosi chake kuwa na mwendelezo wa kupata matokeo mazuri ni  sare waliyoipata na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu waliocheza uwanja wa Taifa.

Baada ya sare hiyo, Lipuli walifanikiwa kukusanya pointi 9 katika michezo ya Ligi kuu waliyocheza ambayo ni pamoja na Mbeya City kwa kuwachapa bao 2-0 wakiwa  ugenini, walishinda pia dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Samora, Biashara United Samora  na kesho watakuwa nyumbani dhidi ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

Haji Manara amewasikia wanaoibeza Simba kutoka sare ya 2-2 vs Mwadui FC

Baada ya wekundu wa msimbazi Simba kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu jana dhidi ya Mwadui FC katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga na kutoka sare ya kufungama magoli 2-2 maneno yamekuwa mengi na watu wameanza kukosoa kuwa Simba imepunguza kasi ya Ubingwa. Kupitia ukurasa wake wa instagrama afisa habari wa Simba Haji Manara ameamua […]

 

3 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Alichokisema kocha Jose Mourinho baada ya kutoka sare na Liverpool

Baada ya kumalizika kwa mchezo wa EPL kati ya Liverpool iliyokuwa mwenyeji wa Manchester United na timu hizo kutoka sare ya bila kufungana, kocha wa Man United, Jose Mourinho amezungumza kuhusu mchezo huo.

Mourinho amesema Liverpool alicheza vizuri lakini walifanikiwa kuwadhibiti na kuwafanya kushindwa kupata goli lakini pia wapinzani wao walikuwa na washambuliaji wa kawaida ambao walishindwa kuwaletea madhara licha ya kumiliki mpira kwa muda mrefu.

“Liverpool ni timu nzuri sana, unaweza...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14

IMG_0243

Baada ya kucheza mchezo wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya AFC Leopard ya Kenya siku ya Simba Day na kuibuka na ushindi wa goli 4-0, leo August 14 2016 Wekundu wa Msimbazi Simba walirudi tena uwanja wa taifa Dar es Salaam kuwakaribisha wakusanya kodi wa Uganda URA katika mchezo wao wa pili wa […]

The post Baada ya ushindi mnono Simba imelazimishwa sare na URA ya Uganda leo August 14 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz)

Bado hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar inazidi kushika kasi kila kukicha, baada ya mchana wa January 6 kupigwa mchezo wa tatu wa Kundi A lenye timu za URA, JKU, Jamuhuri na Simba, usiku wa January 6 ukapigwa mchezo wa nne wa kundi hilo kwa kuzikutanisha timu za URA ya Uganda […]

The post Baada ya kutoa sare mechi ya kwanza, hivi ndivyo Simba ilivyowaadhibu URA ya Uganda (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

GPL

NGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’

Twanga wakikamua jukwaani. Umati wa watu wakisebeneka Kalala Junior akiimba kwa hisia. Luiza Mbutu akiyarudi…

 

4 years ago

Habarileo

Matola abwaga manyanga Simba

HALI si shwari ndani ya timu ya soka ya Simba, baada ya jana Kocha Msaidizi Suleiman Matola kujiuzulu wadhifa huo. Matola, kiungo mahiri na nahodha wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, amechukua uamuzi huo kutokana na kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu wake raia wa Uingereza, Dylan Kerr.

 

4 years ago

Mwananchi

Matola ajiuzulu ukocha Simba

Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha msaidizi wa timu hiyo, Seleman Matola na kueleza kumweka hadharani mrithi wake atakayesaidiana na kocha mkuu, Goran Kopunovic wakati wowote kuanzia sasa.

 

4 years ago

GPL

Mkenya atua Simba SC, Matola out

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola. Na Waandishi Wetu
UONGOZI wa Simba umelazimika kuachana na kocha msaidizi, Selemani Matola na tayari kuna taarifa kuwa nafasi yake itachukuliwa na Mkenya, Yusuf Chippo ambaye aliwahi kuifundisha Coastal Union ya Tanga. Simba imefikia hatua hiyo baada ya kujadili kwa kina barua aliyoiandika Matola kwa viongozi wake kutaka kupumzika ili kutatua matatizo ya kifamilia lakini pia akiomba au...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani