SEMINA YA KUJITAMBUA, KUBADILI FIKRA NA MBINU ZA KUONGEZA KIPATO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WATANZANIA WATAKIWA KUBADILI FIKRA KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

Watanzania wametakiwa kubadili fikra za kimtanzamo na kila mtu kutimiza wajibu wake kwa lengo la kuunga mkono dhamira ya serikali ya  awamu ya tano ili kujenga uchumi wa viwanda na kuboresha ustawi wa jamii.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama alisema hayo wakati alipokuwa akifungua Kongamano la Pili la  Uwezeshaji Watanzania Kiuchumi, kuwa watanzania wanatakiwa kubadili fikra za kimtanzamo ili kuweza kufikia uchumi wa viwanda, na...

 

2 years ago

Michuzi

ASASI YA FEDHA YAAMSHA FIKRA KWA VIJANA WA CHUO CHA KILIMANJARO ILI KUFIKIA UHURU WA KIPATO

Muanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa Asasi ya FEDHA Jafari Selemani akizungumzia changamoto za vijana na watanzania kwaujumla juu ya kutokufikia Uhuru wa kifedha (financial freedom) ikiwemo ukosefu wa elimu ya usimamizi fedha binafsi ambapo inapelekea umasikini wa watanzania wengi, pia alitumia nafasi hiyo kuzindua progranu ya FEDHA KLABU ambayo itakayowapa fursa vijana kupata elimu ya udhibiti fedha binafsi buree kila jumamosi chuoni hapo.  Ni mshauri wa vijana pia ni Meneja Masoko wa...

 

5 years ago

Habarileo

Polisi kuongeza kipato

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ame Pereira Silima RAIS Jakaya Kikwete ameridhia kuundwa kwa Shirika la Uzalishaji la Jeshi la Polisi litakalosaidia kuongeza mapato ya Jeshi hilo ili kuendelea kuboresha huduma ndani ya Jeshi la Polisi na hatimaye kuongeza ufanisi katika huduma kwa wananchi.

 

2 years ago

Mtanzania

NJIA YA KUONGEZA KIPATO KATIKA BIASHARA

Kuweka akiba ni muhimu

Kuweka akiba ni muhimu

Na FERDNANDA MBAMILA, DAR ES SALAAM

HAKUNA mtu ambaye hapendi kuongeza kipato katika biashara yake, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe.

Na sheria ya kipato ni kwamba inabidi kiongezeke kwa sababu kadiri siku zinavyokwenda, gharama za maisha zinaongezeka na hata mfumuko wa bei unapunguza thamani ya fedha. Milioni moja ya miaka mitano iliyopita, si sawa na milioni moja ya mwaka huu.

Pamoja na  kujua umuhimu wa kuongeza kipato, lakini bado watu wengi hawajui njia...

 

3 years ago

Michuzi

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA YA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

   Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design  Ambaye pia ni   Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

3 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

  Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design Ambaye pia ni Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

5 years ago

Michuzi

INVITATION TO A MOTIVATIONAL SEMINAR FOR MINDSET AND "KUONGEZA KIPATO"


Dear Sir, We invite you to extremely exceptional Motivational Seminar for Self-Recognition involving changing the Mindset and MBINU ZA KUONGEZA KIPATO. The Seminar will mainly feature: JINSI YA KUBADILI FIKRA; KUONGEZA KIPATO na KUTIMIZA NDOTO. Your Organization can invite some key prospect clients and existing clients to attend. Your Organization may wish to provide any kind of Sponsorship and will be able to take advantage to promote its products and services at the events.
The Seminar...

 

2 years ago

Mwananchi

CCM Z’bar kubadili mbinu

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk Abdallah Juma Abdallah maarufu Mabodi amesema chama hicho kimejipanga kufanya siasa za kisayansi zenye ushindani wa sera, kitaaluma na ubunifu zitakazojenga mazingira ya ushindi mwaka 2020.

 

4 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wanufaika na semina ya maswala ya udhibiti wa kipato

Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania wa kitengo cha IT Josephat Kyando akichangia hoja wakati wa semina ya jinsi ya udhibiti wa matumizi ya kipato binafsi iliyofanyika katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani