Senegal yasimamisha shughuli za michezo kwa muda

Senegal imesimamisha shughuli zote za michezo kwa mwezi mzima, baada ya vifo vya watu wa wanane katika uwanja wa mpira

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Tanzania Daima

‘Takbir’ yasimamisha shughuli za mahakama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, jana ililazimika kusimama kwa muda kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamuhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

4 years ago

BBCSwahili

Sudan yasimamisha shughuli za misaada

Wakuu wa Sudan waliarifu Shirika la Mataifa la Msalaba Mwekundu, ICRC, kusimamisha shughuli za misaada nchini humo

 

1 year ago

Michuzi

SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA MFUKO WA UENDELEZAJI WA ZAO LA KOROSHO.

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.
Serikali imesimamisha shughuli za Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho ili kupisha uchunguzi wa matumizi ya fedha za mfuko huo.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Mfuko huo kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu pamoja na kuwepo kwa malalamiko ya muda mrefu kuhusu utendaji wa mfuko huo.
Uamuzi huo umechukuliwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya...

 

6 months ago

Michuzi

SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA NGO YA COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA)

Ofisi ya Msajili wa NGOs inapenda kuujulisha umma kuwa imesimamisha shughuli za Shirika la COMMUNITY HEALTH EDUCATION SERVICES AND ADVOCACY (CHESA) kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2017 ili kupisha uchunguzi unaofanywa dhidi ya tuhuma za shirika tajwa kujihusisha na uhamasishaji wa vitendo vya ndoa za jinsia moja katika maeneo mbalimbali nchini. 
Shirika tajwa pamoja na tuhuma mbalimbali zilizopo, linatuhumiwa kuratibu warsha kuhusu masuala ya ndoa za jinsia moja tarehe 17 Oktoba, 2017 katika hoteli...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar (BTMZ) lasitisha michezo yote kwa muda wasiku saba

Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar (BTMZ) limewatumia barua vyama tofauti vya michezo Zanzibar vikiwemo ZFA Chama cha SOKA pamoja na BAZA Chama cha Mpira wa Kikapu kusitisha kuendelea na mashindano yao kwa siku 7 za Maombolezi kufuatia kifo cha aliyekuwa raisi wa awamu ya pili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Alhajji Abudu Jumbe Mwinyi aliezikwa mchana wa leo nyumbani kwake Migombani mjini Unguja.

inamaana ya kwamba kwa siku 7 hizi hakutokuwa na ligi kuu soka ya Zanzibar wala ligi kuu...

 

3 years ago

StarTV

Shughuli zasimama kwa muda Stendi ya mabasi Singida.

Na Emmanuel Michael,

Singida.

Shughuli mbalimbali katika Stendi kuu ya mabasi Mjini Singida, jana zilisimama kwa zaidi ya saa tano, baada ya wapigadebe na mawakala kufunga kwa lundo la mawe lango la kuingilia katika kituo hicho.

 

Hatua hiyo ilichukuliwa kama moja ya njia za kuushinikiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, kukifanyia matengenezo kipande cha barabara ya kuingia katika kituo hicho chenye mashimo makubwa na kuweka lami pamoja na ukarabati wa miundombinu mingine...

 

2 months ago

Michuzi

MLIPUKO WA TRANSFOMA WASIMAMISHA KWA MUDA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KISUTU


Na Karama Kenyunko,Globu ya JamiiHALI ya taharuki imeibuka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutokea kwa mlipuko wa moto uliosababishwa na Transfoma.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mtendaji wa Mahakama hiyo, Gasto Kanyairita amesema moto huo umetokea saa nne asubuhi.
Amesema wakati mlipuko huo unatokea kulikuwa na kesi nyingi zikiendelea mahakamani.
"Baada ya kufuatilia tulibaini kuwa ni transformer ambapo ilisababisha kuungua kwa waya wa TTCL, simu na Internet ambapo...

 

4 years ago

Bongo5

Shughuli za kijamii zamfanya Ray C aweke muziki pembeni kwa muda hadi November

Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila aka Ray C ambaye pia alianzisha taasisi ya kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ‘Ray C Foundation’, asema kazi ya kuwaokoa vijana walioingia kwenye dibwi la matumizi ya madawa hayo imemfanya auweke muziki pembeni. Ray C ameiambia Bongo5 kuwa tangu January mwaka huu alikuwa na mpango wa kuachia […]

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani