Senegal yatoka sare na Afrika Kusini

Senegal iliwashangaza wengi ilipotoka nyuma na kuizuia Afrika Kusini katika mechi za mataifa ya Afrika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Tanzania yatoka sare na Korea Kusini

Timu ya soka ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini

 

3 years ago

StarTV

Serengeti Boys yatoka sare na Korea Kusini

serengetiboys

Timu ya soka ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya nusu fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini katika mfululizo wa michuano maalumu ya kimataifa iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini humo (AIF Youth Cup 2016 U-16). Katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Tilak, Maidan mjini Goa, India, mabao ya Serengeti yalifungwa na Assad Juma katika dakika ya 12 na Maulid Lembe katika dakika ya 87 ambaye alisawazisha...

 

3 years ago

Michuzi

YANGA YASONGA MBELE MASHINDANO YA KLABU BINGWA AFRIKA, YATOKA SARE NA APR

 Beki wa Timu ya Yanga, Haji Mwinyi akimtoka Mchezaji wa timu ya APR ya nchini Rwanda, katika Mchezo wa marudiani wa Klabu Bingwa barani Afrika, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Mchezo huo umemalizika kwa timu zote kufungana bao 1-1, na kuifanya timu ya Yanga kuendelea na mbio za mashindano hayo, huku timu ya APR ikiyaaga baada ya   kukubali kipigo cha bao 2-1 katika mchezo wa awali uliopigwa nchini Rwanda.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI - MMG Kiungo wa Timu...

 

3 years ago

Bongo5

Serengeti Boys yatoka sare na Korea Kusini watinga nusu fainali mashindano ya (AIF Youth Cup 2016 U-16)

Timu ya soka ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ Mei 19, 2016 wametinga hatua ya nusu fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini katika mfululizo wa michuano maalumu ya kimataifa iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka nchini India (AIF Youth Cup 2016 U-16).

738X503_51105618573da85489750

Katika mchezo huo uliofanyika uwanja wa Tilak, Maidan mjini Goa, India, mabao ya Serengeti yalifungwa na Assad Juma katika dakika ya 12 na Maulid Lembe katika dakika ya 87 ambaye alisawazisha...

 

1 year ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yakubali kurudia mechi na Senegal

Shirikisho la kandanda duniani FIFA lilitoa ilani kwamba mechi hiyo irudiwe baada ya mwamuzi wa mechi hiyo Joseph Lamptey kupigwa marufuku kwa kutoisimamia vyema mechi hiyo

 

1 year ago

BBCSwahili

FIFA yataka mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal urudiwe

Shirikisho la kandanda la Kimataifa FIFA, limeamuru mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal uliofanyika Novemba 12 urudiwe .

 

1 year ago

BBCSwahili

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa

 

1 year ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yailaza B Fasso huku Ghana na Uganda zikitoka sare

Afrika Kusini ilijipatia matokeo mazuri katika kampeni yake ya kutaka kufuzu katika kombe la dunia baada ya kuifunga Burkina Faso 3-1 mjini Johannesburg.

 

4 years ago

BBCSwahili

Cameroon yatoka sare na Guinea

Cameroon na Guinea zilitoka sare ya 1-1 na kuzifanya timu zote katika kundi la D kuwa sawa kwa pointi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani