Sentensi 8 alizoongea Meneja wa Diamond Platinumz baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba

4x7a9636

October 11, 2016 Amplifaya ya Clouds FM na mtu wako wa nguvu Millard Ayo imempata Sallam Jorge a.k.a Mendez meneja wa msanii Diamond Platinumz. Mendez amezungumzia issue ya yeye kuhusishwa kuzima Mic wakati Alikiba akianza kuperform weekend iliyopita huko Mombasa Kenya kwenye tamasha lililowakutanisha mastaa kama Chris Brown, Vanessa Mdee, Wizkid na Alikiba mwenyewe. Tamasha […]

The post Sentensi 8 alizoongea Meneja wa Diamond Platinumz baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba appeared first...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Sentensi 8 za Meneja wa Diamond baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba

4x7a9636

October 11, 2016 Amplifaya ya Clouds FM na mtu wako wa nguvu Millard Ayo imempata Sallam Jorge a.k.a Mendez meneja wa msanii Diamond Platinumz. Mendez amezungumzia issue ya yeye kuhusishwa kuzima Mic wakati Alikiba akianza kuperform weekend iliyopita huko Mombasa Kenya kwenye tamasha lililowakutanisha mastaa kama Chris Brown, Vanessa Mdee, Wizkid na Alikiba mwenyewe. Tamasha […]

The post Sentensi 8 za Meneja wa Diamond baada ya kudaiwa alimzimia Mic Alikiba appeared first on...

 

2 years ago

Global Publishers

Undani meneja wa Diamond kudaiwa Mil. 250

babu-tale Hamis Taletale ‘Babu Tale’.

Andrew Carlos na Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi

BAADA ya hivi karibuni Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutoa hati ya kukamatwa kwa Meneja wa ‘Diamond Platnumz’, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ kwa kutotii amri ya kumlipa Shehe Hamis Mbonde Sh. Milioni 250, kisha yeye kuibuka na kukanusha madai hayo, kiongozi huyo wa dini naye amefunguka kwa kirefu undani wa suala hilo, Risasi Jumamosi lina mchongo kamili.

babu-taleBabu Tale na Diamond.

BABU TALE ALIMFUATA KWAKE

Gazeti...

 

2 years ago

Bongo Movies

Meneja wa Diamond Aeleza Ukweli Kuhusu Madai ya Alikiba Kwenye Show ya Mombasa

Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na kuzungumzia tuhuma hizo pamoja na kilichompeleka katika tamasha hilo.

salam93

Sallam Akiwa na Alikiba Mwanzoni mwa Mwaka Huu

Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic aliyokuwa anaitumia kuonekana kupata mushkeli/kuzimwa na kumlazimu kuondoka jukwaani na muda mchache baadaye akapanda Chris...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…!

PhotoGrid_1456999573152

Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>> Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>> ‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona hapo juu ndio ya hacker […]

The post Baada ya kudaiwa kumdiss...

 

6 months ago

Malunde

BAADA YA KUDAIWA KUKURUPUKA....SHONZA ASEMA 'HAWEZI KUJIBIZANA NA DIAMOND'


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amesema amesikia malalamiko ya mwanamuziki Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata kama anaona hajatendewa haki.

Shonza analijibu hilo ikiwa ni siku moja tangu mwanamuziki 'Diamond' amtaje waziri huyo katika malalamiko yake, akidai amekuwa akikurupuka na kutolea mfano wa kufungia nyimbo na wasanii wakati akihojiwa na kituo cha redio cha Times.

Waziri huyo amesema hayupo tayari kumjibu Diamond ingawa...

 

3 years ago

MillardAyo

Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram

Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’. Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita […]

The post Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram appeared first on...

 

2 years ago

Bongo Movies

Meneja wa Diamond Ataja Anapokosea Alikiba, Asema Yupo Tayari Kufanya Nae Kazi

Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana na Kiba, Nairobi, alinifuata akaomba tupige picha, sikuwa na kinyongo, tukapiga ikawa safi japokuwa ile picha aliitumia kunitukanisha baadaye.

saLLAM NA KIBA

Akifafanua kuhusu hilo, Sallam alisema: Hakuiweka yeye katika mtandao, aliitoa kwa mashabiki wake ambao wakasema nimeenda Nairobi kumfuata Ne-Yo halafu nikafukuzwa,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani