Serena Williams alitwaa ubingwa akiwa na ujauzito

Mchezaji nguli wa tennis nambari moja kwa sasa duniani, Serena Williams amejitangaza kuwa ni mjamzito kupitia Snapchat.
A

Hbaari hizi zinaonyesha kwamba, Serena alikua Mjamzito wa wiki nane, pale alipotwaa ubingwa wa Tennis katika Mashindano ya Australian Open, jijini Melbourne mnamo January mwaka huu.

Mwanadada huyo mwenye miaka 35 aliweka picha yaka akiwa amejipiga picha kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani, majuma 20 kisha akaifuta hiyo post.

Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Serena na Venus Williams waibuka na ubingwa wa pamoja Wimbledon

Madada wa Marekani, Serena na Venus Williams jana waliibuka na ubingwa wa pamoja kwenye mchezo wa tennis wakiwa pamoja Wimbledon.

361CAA4D00000578-3682453-image-a-38_1468092477383

Walikuwa wakichuana na Timea Babos na Yaroslavl Shvedova.

361B5F8700000578-0-image-a-4_1468088006086

Ushindi wao ulikuwa wa seti 6-3, 6-4 katika mchezo wa saa moja na dakika 27. Ushindi huo umekuja baada ya Serena kuchukua ubingwa wa Wimbledon kwa seti 7-5, 6-3 dhidi ya Angelique Kerber.

361CBF1700000578-3682453-image-a-1_1468099958330

361B5F9F00000578-0-image-a-6_1468088017159

361B699B00000578-3682453-image-a-12_1468089829081

361CABF300000578-3682453-image-a-47_1468092570362

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...

 

1 year ago

BBCSwahili

Serena Williams achumbiwa

Nyota wa mchezo wa mpira wa tennis, Serena Williams, ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mmoja wa waanzilishi wake Alex Ohanian kwenye mtandao wa kijamii.

 

4 years ago

BBCSwahili

Serena Williams bingwa US Open

Serena Williams, ametwaa ubingwa wa US Open baada ya kumshinda Caroline Wozniacki

 

2 years ago

BBCSwahili

Djokovic na Serena Williams wasonga

Mabingwa watetezi wa mashindano ya tenisi ya Australian Open Novak Djokovic na Serena Williams wamefuzu kwa raundi ya tatu ya mashindano hayo.

 

2 years ago

Global Publishers

Utajiri wa Serena Williams Noma

serena-williams1-(1)MWANDISHI WETU na Mitandao

AKIWA Amezaliwa Septemba 26 mwaka 1981, Serena Williams, mchezaji bora wa muda wote wa mpira wa wavu maarufu kama Tennis, ana utajiri mkubwa unaofi kia kiasi cha dola milioni 145, sawa na shilingi bilioni 290.

NY-AX393_nyscen_G_20110422204810 Ni mkwanja mrefu kwa Watanzania wengi, lakini cha kushangaza, binti huyo mwenye umri wa miaka 34 mwenye uwezo wa kupata kila anachokihitaji maishani mwake, hana mume, mtoto wala mchumba na kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe, vitu hivyo havipo kabisa akilini...

 

5 months ago

BBCSwahili

Serena Williams kuikabili Uholanzi.

Mchezaji wa Tenisi mkongwe wa Marekani Serena Williams ameitwa kwenye kikosi cha taifa kwaajili ya mchezo wa kwanza wa michuano ya Marekani ya Fed Up dhidi ya Uholanzi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Serena Williams kupumzika kwa mwaka

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mmoja

 

3 years ago

BBCSwahili

Serena Williams atinga nane bora.

Nyota wa mchezo wa tenesi Serena Williams ametinga katika hatua ya nane bora ya michuano ya BNP huko Indian Wells.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani