SERIKALI IMEZITAKA TAASISI ZOTE KUJIUNGA KATIKA MATUMIZI YA KITUO CHA TAIFA CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU

ngonyani-1

Mhandisi Edwin Ngonyani

Serikali  imezitaka taasisi zote  kujiunga katika matumizi  ya  Kituo cha Taifa cha  Kutunzia  Kumbukumbu (Internet Data Center)  ili kupunguza  gharama kubwa  za utunzwaji  wa ‘data’ wanazolipia nje ya nchi.

Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, lengo la kujenga kituo hicho ni kutunza ‘data’ nchini kwani ni salama zaidi kuliko nje ya nchi ambapo  baadhi ya watu wasio waaminifu wanaweza kusambaza data zako bila wewe...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto) na Mwakilishi wa Ofisi ya Uchumi na...

 

1 year ago

Habarileo

Waagiza matumizi Kituo Mahiri cha Kutunzia Kumbukumbu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imezitaka taasisi za serikali na mashirika yote ya umma kutumia Kituo cha Kutunzia Kumbukumbu cha Taifa chenye hadhi ya juu kabisa katika viwango vya ubora na usalama wa taarifa na kumbukumbu.

 

1 year ago

Habarileo

Watakiwa kujiunga na Kituo cha Kumbukumbu

SERIKALI imezitaka taasisi za umma, sekta binafsi na wafanyabiashara kujiunga katika matumizi ya Kituo cha Kutunzia Kumbukumbu (IDC) kwa ajili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji, kuchochea maendeleo na kukuza uchumi.

 

3 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Kituo Cha Taifa Cha Kumbukumbu Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Taifa Kumbukumbu huko kisasa mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa BungeMh. Zungu na kulia ni Waziri wan chi Ofisi ya Rais Utawala BoraMh.George Mkuchika. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kufungua rasmi Kituo cha Taifa Cha Kumbukumbu kilichopo Kisasa mjini Dodoma leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

4 years ago

GPL

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UTUNZAJI KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Kituo cha Taifa cha Utunzaji  Kumbukumbu (NRC) Dodoma leo.…

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA TAIFA YA MATUMIZI YA BIOTEKNOLOJIA SALAMA YARIDHISHWA NA UTAFITI WA MAHINDI KATIKA KITUO CHA MAKUTUPORA MKOANI DODOMA

KAMATI ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC) imeridhishwa na matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) yenye lengo la kuwakwamua wakulima nchini.
Wajumbe wa kamati hiyo wakizungumza kwa nyakati tofauti na waandishi wa habari wakati walipotembelea shamba la majaribio la mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya uhandisi jeni (GMO) chini ya mradi wa Wema katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mjini Dodoma leo walisema hatua iliyofikiwa na watafiti hao ni kubwa...

 

2 years ago

Michuzi

Waziri Mbarawa azitaka taasisi na idara kutumia kituo cha kuifadhi taarifa cha Taifa.

Mkuu wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa Ally (kwanza kulia) akielezea namna Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre' kinavyofanya kazi kwa baadhi ya wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za Serikali leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza na wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara...

 

2 years ago

Michuzi

Taasisi ya Brigite Foundation yazindua Mradi wa Kisasa wa Taa za Solar Katika Kituo cha Albino cha Buhangija Shinyanga

Julai 23,2016 Taasisi ya Brigite Foundation imezindua mradi wa taa za solar katika kituo cha walemavu wa ngozi cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kuimarisha usalama katika kituo hicho ambacho sasa kina jumla ya watoto albino 220,wasiosikia 61 na wasioona 33.
Uzinduzi huo umefanywa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ambapo mbali na uzinduzi huo wa mradi wa umeme mbadala,watoto katika kituo hicho walishiriki michezo mbalimbali pamoja na kula chakula cha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani