SERIKALI YAKAMILISHA UJENZI BOMBA LA GESI KIWANDA CHA DANGOTE

JOSEPH MPANGALA,MTWARASerikali imesema imekamilisha ujenzi wa Bomba la gas utakoyoiwezesha kampuni ya kuzalisha saruji ya Dangote iliyopo mkoani Mtwara ambayo inataraji kuzalisha umeme wa megawatts 35 ambazo zitatumika kwa ajili ya matumizi ya Kiwanda Hicho.Akiongea mara baada ya kutembelea plants ya Kuzalisha umeme ambayo inatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi huu waziri wa Nishati Dk.Medard Kalemani amesema kuwa tayari serikali ipo tayari kwa ajili ya kutoa nishati ya Gas ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali yaridhia ujenzi wa Bomba la Gesi HOIMA – TANGA

SERIKALI ya Tanzania imeridhia rasmi utekelezaji wa mradi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale katika Wilaya ya Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania.

Uamuzi huo umefikiwa katika Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika jana  Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Magufuli.

Taarifa ya kuridhiwa rasmi kwa mradi huo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye amesema ujenzi wa mradi huo utakaoanza...

 

4 years ago

CloudsFM

BILIONEA DANGOTE AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA

Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo.Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege...

 

3 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha simenti. Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini maofisa kutoka...

 

3 years ago

Dewji Blog

Bilionea Dangote akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake cha Saruji Mtwara

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha simenti.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini maofisa...

 

4 years ago

Dewji Blog

DANGOTE akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha Saruji Mtwara

 Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Group of Industries), Alhaji Aliko Dangote (kulia) mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria, akiteremka kwenye ndege alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara, kwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji kinachojengwa mkoani humo.,

 Dangote akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa kampuni hiyo nchini, Esther Baruti (kushoto)

 Dangote akisalimiana na Balozi Mdogo wa Nigeria nchini, Adamu Mussa

 Dangote...

 

4 years ago

Michuzi

BILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA

 Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo. Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege...

 

3 years ago

GPL

BILIONEA DANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha simenti.   Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote,… ...

 

1 year ago

BBCSwahili

Aliko Dangote aombwa kukamilisha ujenzi wa kiwanda kikubwa zaidi cha mafuta duniani

Kiwanda hicho ndicho kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta duniani kilichojengwa eneo moja na cha pili kwa kutengeneza mbolea duniani.

 

2 years ago

Ippmedia

Rais Magufuli akutana na Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote Ikulu DSM

Mmiliki wa kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote amemthibitishia rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kuwa makaa ya mawe ya Tanzania yana ubora wa hali ya juu na bei nafuu kuliko yanayotoka nje ya Tanzania.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani