SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA)

12729266_1062483053815688_1282160462629705337_n

SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano.

Waliosimamishwa kazi ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Bi. Magdalena Chuwa na Meneja Vipimo Kitengo cha Bandari, Bi. Bernadina Mwijarubi. Bi. Mwijarubi ndiye anashughulikia kitengo cha mafuta bandarini.

Akitangaza uamuzi huo kwenye kikao cha Makatibu Wakuu...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI WAKALA WA VIPIMO TANZANIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitaka maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani, Bibi Magdalena Chuwa (kulia) kuhusu sababu zilizomfanya azuie matumizi ya flow Meter katika kuhakiki kiwango cha mafuta yanayoingia nchini kupitia bandari ya Dar es salaam wakati alipofanya ziara kwenye badari hiyo Februari11, 2016. 
SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini...

 

1 week ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAENDELEA KUHAKIKI VIPIMO KUELEKEA MAADHIMISHO YA VIPIMO DUNIANI

  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
   Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAOFISA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAFANYA UKAGUZI WA MIZANI KATIKA SOKO LA KISUTU LEO


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.

.............................................................................

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa Wakala huo wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

2 weeks ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) ILALA WAKAGUA MIZANI ZA KUPIMIA VYAKULA SOKO LA KISUTU


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.
.............................................................................
Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa WMA  wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

1 week ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) BANDARINI AELEZEA UMUHIMU WA KUPIMA MAFUTA KATIKA HATUA MBALIMBALI


Bw. Peter Chuwa Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Bandarini akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za (WMA) zilizopo kwenye Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam leo wakati akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu vipimo vya mafuta kwenye Meli Kwenye Matanki ya kuhifadhia na kwenye maroli yanayosafirisha nishati hiyo hapa nchini na nchi mbalimbali. 
Bw. Peter Chuwa amesema kuna umuhimu mkubwa sana kupima mafuta katika hatua yoyote ile iwe kwenye...

 

2 weeks ago

Malunde

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAHAKIKI PAMPU KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo  ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa  kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum...

 

7 days ago

Malunde

MADEREVA WA MALORI YA MAFUTA WAPONGEZA WAKALA WA VIPIMO 'WMA" KUWAFUNGULIA KITUO CHA KUPIMA MAFUTA MISUGUSUGU


Na Emmanuel MbatiloMadereva wa Malori ya Mafuta (Trucker) wameishukuru taasisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa kuwafungulia kituo cha kupima mafuta kilichopo Misugusugu mkoani Pwani kwa kuwa kimewasaidia kupunguza kero ya kusubiri kupima kwa muda mrefu.

Wamesema uanzishwaji wa kituo hicho umeleta tija kwa sababu kimepunguza sana msongamano wa maroli wakati wa kupima mafuta
Wamesema awali walikuwa wakipima katika kituo cha Ilala ambacho eneo lake ni finyu sana hivyo ilikuwa vigumu sana...

 

3 years ago

Channelten

Waziri Lwenge ameagiza kuwasimamisha kazi watendaji tisa wa DAWASCO

Screen Shot 2016-03-11 at 5.24.09 PM

Waziri wa maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge ameiagiza bodi ya kampuni ya maji safi na taka Dar es salaam (DAWASCO kuwasimamisha kazi watendaji tisa wa mamlaka hiyo pamoja na aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo Injinia Jackson Midalla kupisha uchunguzi uliosababisha hasara ya kiasi cha shilingi bilioni.2.9 ambazo kampuni ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka Strabag ilipaswa kulipa.

Agizo hilo limetolewa jijini Dar es salaam na Mhandisi Lwenge alipokuwa akizungumza na...

 

3 years ago

Habarileo

Majaliwa amsimamisha kazi bosi Wakala wa Vipimo

SERIKALI imewasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo (WMA), kuanzia jana ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini, kutokana na zuio la kufunga mita kwa zaidi ya miaka mitano.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani