SERIKALI INAFANYA MAZUNGUMZO NA CYPRUS ILI KUWALIPA WATEJA WA BENKI YA FBME

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Serikali ya Cyprus ili kuweza kutatua changamoto za malipo kwa wateja walioweka amana zao katika Benki ya FBME ambayo ilifutiwa leseni ya kufanya shughuli za kibenki hapa nchini na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) alipokuwa akijibu swali la Msingi la Mbunge wa Viti maalaum  Mhe. Asha Abdullah Juma,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YALIPA FIDIA YA BIMA YA AMANA KWA WATEJA WA BENKI YA FBME SH. MILIONI 728

SERIKALI imetumia kiasi cha Sh. Mil 728 kuwalipa amana zao wateja zaidi ya 695 wa Benki ya FBME ambayo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeifutia leseni ya kufanya shughuli za kibenki hapa nchini.
Hayo yamesemwa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakati akijibu maswali ya Mbunge wa Viti Maalum Mhe.  Rukia Kassim Ahmed (CUF), aliyetaka kufahamu, pamoja na mambo mengine, hatma ya wateja wa Benki hiyo baada ya kufutiwa leseni yake ya kujihusisha na...

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Benki kuu Tanzania yafuta leseni ya Benki ya FBME

Taarifa ambayo imetolewa na Benki kuu ya Tanzania leo May 8 2017 imesema mnamo tarehe 24 July 2014 Benki Kuu ya Tanzania iliiweka chini ya usimamizi maalumu (statutory management) FBME Bank Limited (FBME). Uamuzi huo wa Benki Kuu ulitokana na notisi iliyotolewa July 15 2014 na Taasisi ya Marekani inayopambana na uhalifu wa kifedha “the US Financial […]

The post BREAKING: Benki kuu Tanzania yafuta leseni ya Benki ya FBME appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAWALETEA WATEJA WAKE HUDUMA YA TRADE FINANCE ILI KUENDELEZA UCHUMI WA VIWANDA

Benki ya NMB imekuja na huduma yake ijulikanayo kama Trade Finance yenye lengo lakuendana na mabadiliko na kuendeleza Uchumi wa Viwanda nchini.
Trade Finance ni utaratibu wa Benki ambao unamwezesha Mteja kama Mkandarasi, Wazalishaji na Wasambazaji kupata bidhaa na huduma za Kibiashara ndani na nje ya nchi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Warsha fupi iliyoandaliwa na Benki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji - NMB, Bi. Ineke Bussemaker amesema kuwa huduma hiyo inahusika na Manunuzi pamoja na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wateja wa FBME Zanzibar wapata wasiwasi juu ya hatma yao

Kufuatia Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuifutia  leseni ya biashara Benki ya FBME Baadhi ya wateja wa Benki hiyo hapa Zanzibar wameonyesha wasiwasi wao juu ya hatma ya akiba zao zilizopo katika Benki hiyo.

Wakizungumza na mwandishi wetu baadhi ya wateja hao wamesema tokea kufungwa kwa banki hiyo  hakuna taarifa  yoyote waliyopewa kuhusu kupatikana kwa fedha zao.

Kwa upande wake Mshauri Bodi ya Bima ya Amana Rashid Mrutu ambayo imepewa dhamana ya kuwa mfilisi wa Benki hiyo amewataka wadai na...

 

5 years ago

Mtanzania

Benki ya FBME yawekwa chini ya uangalizi

FBME

FBME

NA MWANDISHI WETU

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) jana ilitangaza kuchukua usimamizi wa Benki ya FBME Tanzania, MTANZANIA Jumamosi linaripoti.

Hatua hiyo imechukuliwa kuanzia juzi Alhamisi kutokana na kashfa zilizoikumba benki hiyo inayomilikiwa na raia wa Lebanon.

Taarifa hizo zimeeleza kuwa uamuzi huo umetokana na Benki Kuu ya Cyprus (CBC) kuchukua uendeshaji tawi la FBME Ltd nchini Cyprus, kufuatia taarifa za Mtandao wa Kupambana na Uhalifu wa Kifedha wa Marekani (FinCEN), kuihusisha na...

 

2 years ago

Mwananchi

BoT yaifutia leseni benki ya FBME

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeifutia leseni ya biashara Benki ya FBME na kuteua Bodi ya Bima ya Amana  kuwa mfilisi kuanzia leo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

BOT yaifutia leseni Benki ya Biashara ya FBME

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imeifutia rasmi leseni Benki ya Kimataifa ya Biashara(FBME) huku Wadai na Wadaiwa wote wa Benk hiyo waombwa kuwa wavumilivu.

Hakati huo huo (BOT) pia imeteuwa Bodi maalum ya Bima ya Amana ili kusimamia taratibu zote za ufilisi wa Benk hiyo.

The post BOT yaifutia leseni Benki ya Biashara ya FBME appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Michuzi

MAKINDA AZITAKA HOSPITALI ZA SERIKALI ZIBORESHE HUDUMA ILI ZIPATE WATEJA WENGI WA BIMA YA AFYA

Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Anne Makinda amezishauri hospitali, vituo vya afya na zahanati za serikali kuboresha huduma za afya ili wananchi waliojiunga katika mifuko ya afya ya jamii (CHF) na mfuko wa bima ya afya washawishike kutumia huduma katika hospitali zao.
Makinda ametoa rai hiyo alipotembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kujionea huduma za Bima ya afya zinavyotolewa na changamoto zilizopo ili kwa ushirikiano wa mfuko wa bima ya afya na wadau...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani